kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi niko Dar. Ni mwanafunzi wa mwaka wa mwisho wa Shahada ya Uongozi wa Mifumo ya Afya

    Habari wakuu Naomba msaada wa taarifa za kazi/vibarua vya haraka jijini Dar es Salaam. Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa mwisho wa Shahada ya Uongozi wa Mifumo ya Afya (BHSM) Chuo Kikuu cha Mzumbe, na kwa sasa nipo Dar nikisubiri muda wa mafunzo kwa vitendo (Novemba). Nina uzoefu wa: Kuunda...
  2. JamiiForums Tanzania Connection ya kazi ya Upagazi (Porter)

    Habari ya wakati huu!! Wakuu nimechapika na maisha vibaya sana, nimekaa nikawaza nikaona nitimkie Kilimanjaro nikafanye kazi ya Upangazi kule mlimani!! Kama Kuna mtu anafanya hii kazi, au ana mtu wake wa karibu anafanya hii kazi naomba kuunganishwa nao!! Nipo Nyanda za juu kusini, Nina Bachelors...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Kazi yoyote nafanya

    Habari za humu ndugu zangu,Mimi ni kijana mwenye miaka 27 mmekuja mbele yenu kuomba kazi yoyote mradi nijipatie kipato ,japo nmesomea ualimu Nina degree ya kufundisha biology Hiyo siyo case naombeni kazi yoyote Ile iwe ni site au kokote unakoona unaweza nisaidia maji yamenifika shingoni wakuu...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Heche unafanya KAZI nzuri iliyotukuka ila unakipara

    Tundu Lissu akimtania Heche mahakamani leo akimaanisa ana kipara hajaunga kampeni ya kudai haki kwa kutokunyoa nywele kama ambavyo wengine kina Boni Yai wamefanya kushinikiza Lissu kuachiwa kutoka gerezani anakoshikiliwa kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi (SALES)

    Nafasi za kazi kwa watu wa SALES wenye uzoefu wa miaka miwili Tunapatikana Dodoma, tuma Cv yako kwenye email hii: valerianabiseco176@gmail.com
  6. S

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi: Accountant

    Tunahitaji Accountants wenye uzoefu, Waliopo Dodoma watapewa Kipaumbele. Ofisi zetu zipo Dodoma. Tuma CV yako kwenye Email : valerianabiseco176@gmail.com
  7. S

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi: Accountant

    Tunahitaji Accountants wenye uzoefu, Waliopo Dodoma watapewa Kipaumbele. Ofisi zetu zipo Dodoma. Tuma CV yako kwenye Email : valerianabiseco176@gmail.com
  8. S

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya Kazi kwa Wahasibu wenye uzoefu Dodoma

    Tunahitaji Accountants/wahasibu wenye uzoefu. Waombaji waliopo Dodoma watapewa kipaumbele, kwa kuwa ofisi zetu zipo Dodoma. 📩 Tuma CV yako kupitia: valerianabiseco176@gmail.com
  9. V

    JamiiForums Tanzania Naomba fursa ya kujitolea Shuleni, nimemaliza Biology na Geography Chuo

    Wakubwa shikamoo, samahani kwa usumbufu. Nimemaliza mwaka wa tatu Chuo Kikuu cha Mkwawa – Iringa, nikisomea Biology na Geography, pamoja na kozi fupi ya Lugha ya Alama (kwa viziwi). Kwa kweli kwa sasa ninapitia kipindi kigumu sana cha kutafuta mahali pa kuanza maisha baada ya masomo yangu...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Itatuchukua Miaka Mingi saana Kumpata Rais Mchapakazi Aina ya Samia Anayeshinda na Kukesha Akifanya Kazi. Maisha Yake Ni Sadaka Kwa Taifa letu

    Ndugu zangu Watanzania, Anachofanya na kukifanya Rais Wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kwa Sasa ni Zaidi ya Uwajibikaji ,Ni Zaidi ya Kujitolea, ni zaidi ya kutimiza Majukumu yake ,ni zaidi ya kutimiza matakwa ya kisheria na kikatiba ,ni zaidi ya kutumikia nafasi ya...
  11. JamiiForums Tanzania Msaada wa connection ya kazi za security

    Natumai hamjambo, Elimu yangu ni form 6 natafuta kazi ya Security officer/guard nina uzoefu wa kitosha nimefanya kazi maeneo mbalimbali ikiwemo SERENA HOTEL, TERMINAL 3 AIRPOT NA INDUSTRIAL AREAS kupitia GARDAWORLD. Nimefanya applications kwenye kampuni mbalimbali kwa njia ya email nimeishia...
  12. JamiiForums Tanzania Kazi moja nzuri ilimletea mteja mwingine… mteja mwingine akamletea mwingine. Hivi ndivyo Laurent alivyokuza biashara yake ya welding

    SIMULIZI YA LAURENT: KUTOKA KWA WELDER MDOGO HADI KUWA NA BIASHARA INAYOAMINIKA “Nilianza na mashine moja ya welding, lakini nilikuwa na kitu kimoja ambacho nilijua hakipaswi kukosekana—MPANGO.” Laurent alikuwa kijana aliyekuwa na ujuzi wa welding na fabrication, lakini kama wafanyabiashara...
  13. JamiiForums Tanzania Ni kazi gani kiofisi kipindi unakuwa ulijisemea hautakaa hufanye maana unazichukia au labda haziendani na hurka yako?

    LAWYER POLICEMAN HAKIMU hadi leo kwangu ni trash, ingawa ni kazi kama kazi nyingine na zinalisha watu na familia zao
  14. JamiiForums Tanzania Baada ya MOSSAD kufeli huko Iran, viongozi waandamizi wafukuzwa kazi

    Mkurugenzi wa Mossad, Roman Gofman, amewaondoa maafisa wawili waandamizi wa shirika la ujasusi ambao walihusika kwa karibu katika kutengeneza mpango usiofanikiwa wa kuangusha utawala wa Iran, televisheni ya Israeli iliripoti Alhamisi. Kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Israel, mmoja wa maafisa...
  15. JamiiForums Tanzania Usiseme huna kazi PATA kazi hii hapa.

    Hacha KULALAMIKA njoo ufanye kazi na hao jamaaa!
  16. JamiiForums Tanzania Hautakiwi kulipua Kazi Yoyote Maishani Mwako

    Zamani kidogo, kulikuwa na fundi ujenzi mzee aliyekuwa na ujuzi mkubwa na nidhamu ya hali ya juu. Kwa miaka zaidi ya 30, alijenga nyumba nyingi nzuri na za kifahari kwa moyo wake wote. Siku moja, akiwa amechoka na umri umekwenda, alimfuata bosi wake na kumwambia: "Bosi, umri umenitupa mkono...
  17. S

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tume za Rais Samia kuhusu 29/10 ni feki na hazisaidii chochote kwa sababu zinapewa kazi ya kutafuta sababu za kuhalalisha mauaji yaliyofanyika

    Wanabodi Huu ujinga wa kuendelea kutumia fedha za umma ili kutafuta sababu za kuhalalisha mauaji ya 29/10 tutauvumilia hadi lini? Hadi sasa, Raisi Samia na serikali yake walichofanya ni kutafuta kuhalalisha mauaji ya 29/10 ili kuonyesha walikuwa na haki ya kuua watu kwa namna ile. Na sasa, kwa...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Kubadilishana kituo cha kazi (clinical officer)

    Habari za kazi wakuu natafuta mtu wa kubadilishana kituo cha kazi Kutoka mkoa wa songwe wilaya ya momba Kwenda mkoa wowote kati ya hii LINDI MTWARA RUVUMA Mawasiliano 0791823730
  19. JamiiForums Tanzania Kanuni 'auaye kwa upanga, atakufa kwa upanga' imebuniwa na wayahudi na wanaitumia. Hivyo usitegemee ifanye kazi kwako kama hufanyi jitihada

    KANUNI YA AUAYE KWA UPANGA ATAKUFA KWA UPANGA IMEBUNIWA NA WAYAHUDI NA WANAITUMIA. HIVYO USITEGEMEE IFANYE KAZI KWAKO KAMA HUFANYI JITIHADA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Siwakatishi tamaa wala siwavunji moyo. Nipo hapa kusema Ukweli ili utuweke wote huru. Kuna msemo maarufu ambao watu...
  20. JamiiForums Tanzania Kutusomea Password ya WiFi kwenye mabasi; wabongo tunapenda kujipa kazi

    Wabongo tunapenda sana kujipa vitengo na hekaheka zisizo na msingi. Imagine mwanadada anajipa kazi ya kutusomea password halafu abiria tunaacha kila kitu tunabaki kusikilizia kwa makani Password. Ya nini yote hayo?! Si angebandika tu hiyo password kwenye maeneo kadhaa kwenye kuta za basi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…