Kazi yoyote nafanya

Kazi yoyote nafanya

aroon dismon

Member
Joined
Sep 20, 2024
Posts
28
Reaction score
66
Habari za humu ndugu zangu,Mimi ni kijana mwenye miaka 27
mmekuja mbele yenu kuomba kazi yoyote mradi nijipatie kipato ,japo nmesomea ualimu Nina degree ya kufundisha biology

Hiyo siyo case naombeni kazi yoyote Ile iwe ni site au kokote unakoona unaweza nisaidia maji yamenifika shingoni wakuu,

Nipo iringa kwa sasa naombeni sana Ata mkoa wowote nitakuja mradi tu kazi ipo

Natanguliza shukran zangu 🙏
 
Poa, nikupe kazi ya kuuza unga. (Sio unga wa ugali)
 
Habari za humu ndugu zangu,Mimi ni kijana mwenye miaka 27
mmekuja mbele yenu kuomba kazi yoyote mradi nijipatie kipato ,japo nmesomea ualimu Nina degree ya kufundisha biology

Hiyo siyo case naombeni kazi yoyote Ile iwe ni site au kokote unakoona unaweza nisaidia maji yamenifika shingoni wakuu,

Nipo iringa kwa sasa naombeni sana Ata mkoa wowote nitakuja mradi tu kazi ipo

Natanguliza shukran zangu 🙏
Mtafute seran ni member humu
 
Back
Top Bottom