kazi ngumu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ngara23

    WanaCCM mnatupa kazi ngumu kuwatetea, mkitemwa na system yenu chamani

    Mkiwa CCM tukiongelea haki mnatuona mafala Shetani akiwataka na kuwateka mnaanza kutaka huruma yetu wapenda haki na Chadema Sisi kwakuwa ni Watanganyika, nyie ni wenzetu tunawatetea tu 1. Polepole Alikuwa mwenezi wa CCM ila Sasa katwekwa, hakuna mtu wa CCM anayeshiba ufisadi ana habari nae 2...
  2. The Burning Spear

    Tukubaliane watanzania wana akili mbovu kuliko hata hao ccm kuwatetea ni kazi ngumu sana.

    GT Eti hawa wana akili timamu kweli. Bodaboda na machinga ni maabomu yaliyopakwa rangi ya nanasi na CCM.
  3. ngara23

    Hakuna kazi ngumu kama kuwatetea Simba na coach Fadlu

    Simba imepokea kipigo cha 6 mfululizo na coach Fadlu akifingwa mara 4 mfulilizo peke yake bila kupata goli lolote Kwa Yanga, Coach Fadlu amefungwa na makocha 4 tofauti wa Yanga Gamondi kamfunga Ramovic kamfunga Milouf Hamdi kamfunga Roman Folz kamfunga Tuliaminishwa 1. Usajili huu kuafanya...
  4. kagoshima

    Leo ndo nimeamini kazi ya upolisi ni kazi ngumu sana

    -inabidi utii amri hata ikibidi kufanya mavu kwa kadri ya kiapo chako. -Hivyo inakubidi kutekeleza hata maelekezo ambayo unajua fika si haki na ni uonevu na uovu imagine unaamriwa umshambulie na kumuumiza mtu asiye na kosa lolote kwani ni amri imetolewa. usipotekeleza maelekezo hata kama ni...
  5. Knock life

    Kama haufanyi kazi ngumu, mlo mmoja kwa siku unatosha

    Huwa nashangaa Sana MTU anakula milo mitatu ikiwa Kazi zako ni za Ofisini Mwisho unapata kitambi , kisukari na pressure . Ukila mchana usiku usile
  6. Trubarg

    Kufanya biashara na wajasiriamali ni kazi ngumu sana

    Hizi ndo hints; 1. Wengi wao wanahali mbaya 2. Wengi wao hawana ela 3. Wengi wao huwa wanahisi wanataka kuibiwa muda wote ingawa hawana cha kuibiwa 4. Wengi wao ni walalamishi. 5. Wengi wao mpaka anunue kwako ujue wamekosa mwingine, yaani wamehangaika Sana. MTU yupo radhi aagize kitu china ili...
  7. Knock life

    Ipi kazi ngumu kati ya kuongoza nchi na kuongoza chama cha siasa?

    Ndugu Yericko Nyerere , naona mrija wako upo hatarini kukatwa . Baada ya ujio wa Tundu Lissu ndo tujaua ukweli ikiwa kilimo cha Bamia kinalipa hadi mtu kujenga hekalu na maghorofa.
  8. Mtu Asiyejulikana

    Huu Utekaji wa Abdul Nondo unaleta maswali kadhaa ya kufikiria

    Utekaji huu ni kama maigizo flani yenye lengo flani. Sidhani kama ni kama ule utekaji wa Mzee Kibao. 1. Mtekaji anadondosha Simu ambayo inachukuliwa na kupelekwa Police. 2. Gari ya watekaji na namba zake za usajili zipo tu uchi uchi hivi za Deogratias Beda Minja. 3. Police haraka wametoa tamko...
  9. haszu

    Kua handsome ni kazi ngumu sana, nawapangawisha sana mashemeji zangu

    Ndugu wa mke wangu wamekua na wakati mgumu snaa kila ninapokutana nao, wanashindwa hadi kujizuia, kuna huyu mmoja ametokea kunipenda sana, yani kavurugwa kabisa. Imekua usumbufu sana, sitaki kumueleza mke wangu isije ikavunja undugu. Kila nikiwaza ninapata jibu kua moja, kua handsome ni kazi...
  10. Mi mi

    Kazi ngumu aliyonayo Marekani kwa sasa ni kupambana kwa kila hali na China

    Moja ya kazi ngumu inayomkabili marekani sasa ni kupambana kila awezavyo ili kumdhibiti China. Hii ni kazi ngumu sana kwa sababu inahusu maeneo mengi yakiwemo - Ushindani wa kiuchumi, marekani anahitaji kufanya kila namna kudhibiti ukuaji wa uchumi wa kwa miaka mingi ijayo ili isizidi kuwa...
  11. Yoda

    Milo mitatu kama hufanyi kazi ngumu ni tamaa na ulafi tu

    Kwanza tufahamu utaratibu wa milo mitatu(breakfast, lunch na dinner) ni utamaduni wa magharibi ulioibuka karne ya 17 kutokana na mambo mengi mojawapo ikiwa ni mapinduzi ya viwanda yaliyowafanya wafanyakazi wanaofanya kazi ngumu wahitaji kula mara nyingi kuhimili kazi ngumu. Kabla ya hapo...
  12. L

    Urais ni kazi ngumu sana ambayo siyo kila mtu anaiweza

    Ndugu zangu Watanzania, Kama kuna kazi ngumu na nzito na yenye majaribu mazito na mitihani ya kila aina na yenye kukuweka roho juu juu na presha muda wote basi kazi hiyo ni ya Urais. ni kazi nzito ,ni msalaba Mzito ambao mtu hujitwisha Mabegani mwake Ni kazi inayokufanya ukose usingizi,kukosa...
  13. ndege JOHN

    Faida za kutoka jasho kwa mazoezi au kazi ngumu

    Ukitoka jasho furahia Kazi yake kuu ni kudhibiti joto la mwili. Maji katika jasho yanapovukiza, uso wa ngozi hupoa. Kutokwa na jasho huondoa uchafu katika michakato ya metabolic na sumu kutoka kwa mwili wa binadamu, na kukuza afya. Jasho hutolewa kupitia pores ndogo sana kwenye uso wa ngozi...
  14. stakehigh

    Kua kiongozi wa simba ni kazi ngumu sana

    https://x.com/FKihamu/status/1800621196662206811
  15. Powell Gonzalez

    Hii kazi ngumu sana

    Hii kazi ngumu sana....
  16. Robert Heriel Mtibeli

    Siasa ni kama biashara, ukishajenga ngome ya Wateja wako kudondoka ni kazi ngumu sana

    SIASA NI KAMA BIASHARA UKISHAJENGA NGOME YA WATEJA WAKO KUDONDOKA NI KAZI NGUMU SANA. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli Kila kitu kinahitaji misingi na mizizi ili kiweze kudumu kwa muda mrefu. Katika Sanaa kuna Fans Base. Msanii anapoanza safari yake ya muziki lazima ahakikishe anatoa kazi...
  17. Cybergates

    Hamna kazi ngumu upande wa IT kama ku upgrade software

    Skia tu kwa watu Ku-upgrade sytem kutoka version moja kwenda nyingine sio shuhuli nyepesi, ni bora kufanya development upya
  18. nyboma

    UTEUZI: Maharage Chande aondolewa TTCL, ateuliwa kuwa Postamasta, Ulanga arudishwa TTCL

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo: Amemteua Bw. John Ulanga kuwa Balozi. Bw. Ulanga ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF). Amevunja Bodi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA) na amemteua Balozi Meja...
  19. kwenda21

    Kwanini tunafanya kazi ngumu sana ikiwa tunafanya kazi ili tuishi?

    Hivi jamani kama tunafanya kazi ili tuishi, sasa kwanini tunafanya kazi ngumu inayopelekea kutuua? If we work for the living,why do we kill ourself working
  20. peno hasegawa

    Kwa hali hii kuoa au kuolewa ni kazi ngumu

    Kutoka Kiaraka, Magegeni, Bagamoyo mkoa wa Pwani, kumetokea utata juu kuzikwa kwa mwili wa marehemu Massawe ambapo upande wa mke wanataka mwili usafirishwe na upande wa mume na majirani wakitaka marehemu azikwe nyumbani kwake Kiaraka walipojenga na mke wake. Kutokana na utata huo mke...
Back
Top Bottom