kazi ngumu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Kazi ngumu wape SUMA JKT

    Rais wetu Dkt. Suluhu Hasan tunazidi kukupongeza kwa maono yako, makusudi nadhamira ambayo umeonesha kwa kipindi hiki kifupi cha utawala wako kwa kufanya jambo lililo shindikana tangu nchi ipate uhuru. Mwangaza wa kutupatia umeme Wilaya ya Kishapu kuipitia REA/Tanesco umeonekana. Suma JKT...
  2. D

    Kuikosoa Serikali ukiwa madarakani ni kazi ngumu mno

    Kufupisha Uzi nitatoa mfano! Chukulia ukiwa na njaa Kali, umepigika, jua kali halafu ukapewa lifti ya gari na dreva ambaye katika safari yenu kuna sehemu akakosea! Kama huwezi kumsema vibaya dereva wako au kumkosoa kwa uderevawake mbovu! Ndivyo ilivyo vigumu kuikosoa serikali inayokulipa...
  3. kavulata

    Kubadilisha mitaala yetu ya elimu vyuo vikuu ni kazi ngumu sana isiyowezekana

    Unapobadilisha mtaala kutoka ule wa kujua tu na kuajiliwa kwenda ule wa kujua na vitendo zaidi na kujiajili kunahitaji uwekezaji mkubwa sana ambao ni ghali sana. Unapobadilisha mtaala maana yake utahitaji seti mpya ya walimu waliohitimu kwenye mitaala ya aina hiyo hiyohiyo au ya aina hiyo ambao...
  4. Abdalah Abdulrahman

    Kusafiri kwa lengo la kuimarisha uchumi wa Tanzania ni moja ya Kazi ngumu anayofanya Rais Samia

    Uchumi wa Kidiplomasia ni uchumi ambao unatumia diplomasia kufanikisha malengo ya serikali katika kuwaletea wananchi maendeleo endelevu.Uchumi wa kidiplomasia unaongeza wawekezaji,uuzaji wa bidhaa nje,misaada,utalii,makubaliano ya kibiashara na mikopo nafuu.Ili malengo ya aina hii ya uchumi...
  5. Mmawia

    Hayati Dkt. Magufuli alijua makinikia ulikuwa 'mziki mnene' kwake

    Nimewawekea clip juu ya hilo sakata jinsi lilivyokwisha kimya kimya. Lakini bado wapo watu wanaamini kuwa aliweza kuwabana mabeberu.
Back
Top Bottom