kauli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. gimmy's

    JamiiForums Tanzania Ni ipi kazi ya vyama vya wafanyakazi, kama kwa mfumuko wa bei hivi sasa hakuna chama chochote kimetoa kauli kutetea maboresho ya mishahara?

    Ndugu zangu vita inayoendelea Irani imesababisha upandaji wa bei ya nishati kitu ambacho kimesababisha mfumuko wa bei kwenye bidhaa karibu zote,kwenye uchumi gharama za nishati/mafuta/gas zikipanda lazima bei ya bidhaa ipande. Kwasasa hali ya maisha kwa upande wa wafanyakazi imekua mbaya zaidi...
  2. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Je, tuliambiwa kinachoendelea South Africa ni AI na video za zamani, je Bado Kauli hio inasimama?

    ..Hadi wakamtuma chawa mbobevu Kitenge kwenda kupiga promo kua South Africa ni salama anaetaka na aje. Sasa nimekaaa hapa na Mwashamu Askofu tunaangalia habari za duniani naona vurugu zimekolea, foreigners wanapigwa, Mozambique, Nigeria, na nchi nyingine wananchi wanaomba kurudi makwao mana...
  3. Think2

    JamiiForums Tanzania Kauli za kihuni Bungeni zipigwe marufuku

    Kauli za kihunihuni bungeni zimekuwa nyingi sana utafikiria bungeni magetoni kwao bunge linatakiwa kuheshimiwa sana Bunge la awamu hii ni la ajabuajabu limejaa wahuni wahuni tu kazi kicheka hovyo hovyo Kauli hii ya Esther bulaya" nimekoshwa na bajeti ya trillion 2.3 " hii ni kauli ya kihuni...
  4. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Wakenya: Samia, sisi si kama watanzania, hatuogopi Ruto, si boss wetu. Kenya inahitaji mazuri zaidi ya Ruto

    Mama Samia kasema na kumwomba Ruto awashughulikie wapinzani huko Kenya kama yeye anvyowashughulikia huku Tanzania. Hii kauli si tu kuwa ni undiplomatic lakini ni kuingilia mambo ya ndani ya nchi jirani. Kwa viwango vyovyote si kauli ya kistaarabu kisiasa. Hapo ndio najiuliza kama speech writers...
  5. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Jaji David Maraga asikitishwa na kauli ya Rais Samia

    Jaji mkuu mstaafu wa Kenya, David Maraga ameandika katika ukurasa wake wa X akieleza masikitiko yake kwa kauli ya Rais Samia Suluhu Hassan aliyoitoa Mei 4 wakati akimpokea Rais wa Kenya, William Ruto jijini Dar es Salaam. Endelea.... "Kama Jaji Mkuu, nilithamini udugu uliopo ndani ya Jumuiya...
  6. Course Coordinator1

    JamiiForums Tanzania Bado tunajifunza na kukua katika mfumo wa demokrasia, ni kauli dhaifu sana

    Huwa nachukua sana kusikia kauli kama hizi Bado tunajifunza na kukua katika mfumo wa demokrasia” Demokrasia yetu bado ni changa Hizi ni kauli za kisiasa zilizo dhaifu ambazo viongozi walioko madarakani huzitumia kukandamiza wengine kuonyesha kuwa, demokrasia ya nchi bado iko katika hatua ya...
  7. Scott junior

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Wahudumu TTCL wana kauli za hovyo hovyo

    Juzi nimetoka ofisi za TTCL mhudumu kanambia kaa hapo kwanza alafu hivi viti vipo mbele ya ofisi yake sijui ndio tuite meza. Mda wote ananiangaliaa, nimekaa wee mpaka nikachoka akawa anapitqpita hapo nikamwmbia vp mbona sikuelewi, akasema et amesahau kama ameniambia nisubirie aisee acheni...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Daladala Mwanza wasitisha huduma wakisubiri kauli ya Serikali kupandisha nauli

    Zaidi ya Madereva 400 wa Daladala katika Jiji la Mwanza na Manispaa ya Ilemela, wamesitisha huduma kwa muda wakisubiri kauli ya serikali kuhusu upandishwaji wa nauli baada ya kupanda kwa bei ya mafuta. Soma pia LATRA: Kupanda kwa bei ya Mafuta sasa, hakuathiri Nauli Chanzo: ITV
  9. G Sam

    JamiiForums Tanzania Kauli tata za Emmanuel Nchimbi vs Samia na kauli tata za Jakaya Kikwete vs Magufuli wakimnukuu baba wa taifa

    Miaka kadhaa iliyopita Kikwete akiwa mstaafu aliwahi kualikwa kwenye kigoda cha Mwalimu na wakati huo Magufuli akiwa Rais. Kikwete aliongea mambo ya kujimwambafai na ubabe kauli ambazo zilionyesha moja kwa moja kumnanga aliyekuwa Rais Magufuli kutokana na ubabe aliokuwa nao. Kikwete kamwe...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA kaamua kuita nyekundu ni nyekundu na si nyeupe au vinginenyo

    Akiongelea sakata la Lissu kuendelea kushikiliwa gerezani, Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA katumia lugha kali kueleza udhaifu wa Bi. Mkubwa huku akirejea na matamshi yake ya jana kuhusu bei ya mafuta duniani. Hakika kaamua liwalo na liwe maana hajazunguka katika matamshi yake. Watu wamechoka...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Dkt. Dugange (Miaka 3 bila Uhamisho), Kilio cha Watumishi, Afya ya Akili na Ndoa zilizo Hatarini. Nini Kifanyike?

    Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (TAMISEMI), Dkt. Festo Dugange, ametoa agizo kuwa waajiriwa wote wapya wa Serikali lazima wafanye kazi kituo kimoja kwa muda usiopungua miaka mitatu (3) kabla ya kuruhusiwa kuomba uhamisho, isipokuwa kwa changamoto za kiafya zilizothibitishwa na jopo la...
  12. L

    JamiiForums Tanzania John Heche inatakiwa akamatwe haraka na kuwekwa ndani bila kupewa dhamana kwa uchochezi na uchonganishi mpaka athibitishe kwa vielelezo kauli zake

    Ndugu zangu Watanzania, Ni lazma kama Taifa Tujijengee Heshima ,utaratibu ,nidhamu ,adabu ya maneno na kauli za kuzungumza Hadharani. Siyo mtu anajitokea zake huko anaanza kuropoka ropoka Bila Breki vitu Hovyo hovyo bila ushahidi wala vielelezo vya aina yoyote ile ilimradi tu Ameona kamera...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Mbunge Jackson Kiswaga: Watanzania mkubali Serikali imeongeza bei za Mafuta kidogo. Punguzeni mambo ya Mitandao, hayana maana

    Mbunge wa Jimbo la Kalenga, Jackson Gidel Kiswaga akizungumza leo Aprili 2, 2026 kwenye Bunge la 13 Mkutano wa 3 kikao cha 3 Dodoma, ameeleza kuwa kulingana na hali ya kukosekana kwa mafuta duniana kufuatia mgoggoro unaondelea mashariki ya kati inabidi watanzania wakubali bei ya mafuta...
  14. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kauli mbiu ya Rais gani iliwahi kufanikiwa hata kidogo tu?

    1. Ukweli na Uwazi-Mkapa 2. Maisha Bora kwa kila Mtanzania-JK 3. Tanzania ya Viwanda-Magufuli 4. Kazi na Utu-Samia
  15. M

    JamiiForums Tanzania Je, unaelewa kauli hii ya wanawake kwamba " ukinichiti nami nakuchiti"?

    Kuna kauli ambayo wanawake wa sasa wanatoa eti ukinichiti na mimi nakuchiti mpaka najiuliza how come Yaani Ukichiti mume wako na mwanaume mwingine unakuwa unamkomoa au unajikomoa sijawahi kuelewa hii mimi
  16. M

    JamiiForums Tanzania Benjamin Netanyahu atoa kauli ya kibabe: Mnaweza kukimbia, mnaweza kujificha, lakini mwishowe tutawapata tu

  17. Inside10

    JamiiForums Tanzania Hii Kauli Ni Sahihi Kutolewa Na Inspekta Wa Polisi: " Tusiruhusu Watu Kula Mchana MwezinWa Ramadhani Ni Mwezi Wa Heshima" !?

    Wakuu Hii Video Sijui Ya Lini Nimekutana Nayo Mtandaoni.. https://www.instagram.com/reel/DVmBxopCM-5/?igsh=Nnp2amUycTVub3Ax
  18. A

    JamiiForums Tanzania Kama Kauli zina Umba Kosa ni Mara Ngapi WA CCM wanafanya Hivyo lakini hatuoni Mashtaka

    Kume kuwa na kauli mbali mbali zanazotolewa na wana siasa hususan wa chichiemu ambazo zina chochea uvunjifu wa Amani na ni kinyume cha sheria, lakini hakuna hatua zinazo chukuliwa dhidi. Yao, lakini ikiwa kauli inayo karibia na hiyo na haipo kinyume cha sheria, lakini nguvu za dola, magazeti...
  19. Pdidy

    JamiiForums Tanzania WAMAMA PUNGUZEN HIZI KAULI KWENYE NDOA ZENU WANAUME WENGI WAMEPINDA NA MAISHA SIKUHIZI USIONE ANACHEKA NYUMBAN

    WAMAMA PUNGUZENI KAULI HIZI KWA WAUME ZENU 🙏 Kila mzazi ana haki ya kumlea mtoto wake. Malezi si jukumu la mama peke yake wala baba peke yake… ni ushirikiano 🤝 Lakini kuna kauli ambazo zinaumiza, zinadhoofisha mamlaka ya baba, na zina changanya watoto😔 Epuka kauli hizi mbele ya watoto👇...
  20. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kama walishindwa kujua Mh Gwajima Bishop alipo, basi Hawana intelijensia yoyote , Kauli ya Polisi ya "Tunawafatilia" ni Kujimwambafai tu !!.

    Jambo nalowahakikishia kama Mh Polepole , Balozi, alifika Nchini hawakujua, Kakaa miezi yote hiyo hawakujua, Utasema wana INTELIJENSIA??. Bisho Gwajima Kakaa Dar , muda wake wotee huo mpaka Leo hii, hata hawajui anapolala ,licha ya wao KUMFATILIA sana usiku na mchana , Utasema wana...
Back
Top Bottom