Afande Mtafungwa kwa Rais Samia kulalamikia idadi ya ajali kuongezeka nchini nakushauri omba hata likizo ya ugonjwa ili uepuke fedheha ya kutenguliwa.
Vinginevyo, wiki hili halitaisha lazima wakutengue kichwa hapo kikosi cha barabarani.
Usiseme hatujakushtua!
Kwa sasa Taifa la Tanzania linapitia wakati mgumu sana, kila kona mjadala ni Tozo.
Mpaka mda huu hakuna chama chochote ambacho kimeita media kwa ajili kukemea unyanganyi huu unaofanywa na mama Mwakatozo akishirikiana na Baba Mwakatozo. Na isitoshe haya matozo yako Bara tu Visiwani hakuna haya...
Utangulizi na kauli kuhusu tatizo
Biashara ya samaki ni biashara inayokua kwa kasi sana hapa kwetu nchini Tanzania. Na hii ni kwa sababu ya uhitaji mkubwa sana wa samaki kama kitoweo chenye gharama nafuu na chanzo cha protini miongoni watu walio wengi, hasa wale wa hali ya chini na chanzo cha...
Wanabodi,
Leo nimepata tena fursa kuendelea na zile makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa, ila makala ya leo ni abstract topic, kuielewa mtu ni lazima uwe na levels fulani za uelewa!
leo nikizungumzia kitu kinachoirwa "kauli umba". Kuna hii misemo "Ombeni Mtapewa", "Tafuteni Mtapata", "Bisheni...
Hivi karibuni kiongozi wetu mmoja "aliteleza" na akasema kwamba trafiki wamekuwa wengi barabarani. Watu wengi walishangilia. Ila militia shaka.
Naona ongezeko kubwa la ajali za barabarani baada ya tamko Hilo, nadhani kuna uwiano wa kauli hiyo na matukio ya ajali, trafiki wamepunguzwa...
"NITUMIE BASI PICHA ZAKO!!"
Hii ndio kauli pekee Ambayo mwanamke anajua kabisa anatongozwa na chizi!!๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
Ifike wakati Sasa Afrika tuungane Katika kutetea masilahi yetu. Linapokuja suala la Afrika lisiachwe liwe la mtu mmoja,au taifa moja.
Afrika tuoneshe kujitambua.
Rais wa TFF kwenye mkutano wa ARUSHA ameviomba vilabu kupeana support vinapocheza mechi za kimataifa
hata hivyo wakati wa tamasha la SIMBA Day
Mwanamuziki TUNDAMAN aliingia na watu wake wakaendesha misa ya mzaha kuibeza Yanga kufungwa na Vipers mwaka huu.
Alipotoka ndani ya jeneza akaimba...
Wandugu,
Kuna lugha za kujirudiarudia kutoka kwa hawa viongozi wakisisitiza kwamba mkulima lima jiwekee cha kwako na familia yako chakula kingine nenda kauze nje mipaka ya nchi mipaka imefunguliwa.
Najiuliza ina maana wananchi wengine kama Dar es Salaam wanaotegemea vyakula hivyo havitawafikia...
Wahudum wa bar wanahitajika haraka umri miaka 18-30 awe na uzoefu na kazi tajwa msafi na mwenye kauli nzuri kwa wateja.
Location Moshi Njia Panda.
Kwa wahitaji piga 0685940663
Ni kwamba baada ya kuwa na tabia ya Kuhonga Marefa na Wachezaji wa Timu Pinzani na kuwa Bingwa wa Ligi Kuu kwa miaka Minne mfululizo na Yanga SC nao Kuiga Mbinu hiyo waliyopewa na Haji Manara ( aliyekuwa Simba SC) na Wao kuwa Mabingwa Msimu ulioisha ni kwamba Simba SC wameamua kuurudia huo...
โAliyeko Juu Mngoje Chini!โ
โAliyeko juu mngoje chiniโ? Hii ni methali ya kipepo kabisa. Ambaye anaitendea kazi mithali hii ataendelea kubaki chini akiwasubiria walioko juu kiuchumi, walioko juu kielimu, walioko juu kiroho, walioko juu kiufahamu, washuke chini. Na wasiposhuka chini atafanya...
Pascal Mayala(CCM) alipopata uwakili nilimuuliza kama atakuwa wakili wa wanaccm tu na mwanachadema ambaye siku zote ana hasira naye ataweza kumtetea? Swali langu lilitokana na dunia kuwa duara, tenda ulitendalo lakini kuna siku utakwama na kuwarudia unaowachukia.
Pasikali asiyewapenda...
Kigezo kipi kimetumika kutoa Taarifa ifuatayo.??
"AMUUA MKE WAKE NA KISHA YEYE MWENYEWE KUJIUA."
Kupitia kauli hiyo tunaweza kuwa tunamlinda muhalifu bila hata kufahamu.
Ukifanya Tathimini pengine unaweza tambua aliyemuuwa Mke sio Mume na pengine Mume kajiuwa ili kuepusha shari huenda...
Nalia na madereva pamoja na makondakta wao kwa kauli zao zinazokera wanazozitumia kwa abiria wao. Imekuwa ni changamoto kubwa hususani kwa makondakta wa daladala zinazoelekea maeneo yenye watu wengi maarufu kama ''Uswahilini'' kama vile Manzese, Mbagala, na sehemu nyingine.
''Ungekuwa na haraka...
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Camillus Wambura, ameahidi kushughulika na yeyote ambaye atakuwa na vitendo vyovyote ambavyo ni kinyume na maadili na kinyume na matendo mema ya Watanzania.
โNitoe rai kwa mtu yeyote ambaye anadhani anaweza akaleta aina yeyote ya vitendo vya uvunjifu wa...