kauli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwa kauli hii ya Hussein Bashe angekuwa kiongozi mwingine angekuwa ameshatenguliwa

    Kauli Chonganishi ya waziri wa kilimo Hussein Bashe kuhusu wananchi wa jimbo la kisesa, Jimbo halali lililo chini ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wananchi wake ni wananchi halali wa Taifa hili kuwa hatowapekekea pembejeo za kilimo, ni kauli tata, ngumu na isiyovumilika hata kidogo. Huko...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM huwa inapokea ushauri wa Mbowe? Sasa kwanini huwa anashauri? Kwani ule ushauri wake wa "never and never again" ulipokelewa?

    Rais Kikwete ndiye rais aliyekuwa akisikiliza kelele za wapinzani. Walikuwa wakisema anawaita ikulu kwa ajili ya mashauriano na kutafuta suluhu. Rais Magufuli alipoingia madarakani, alitangaza hadharani kabisa akasema "mimi huwa sishauriki na huwa sipangiwi. Tena ukinishauri ndiyo unaharibu...
  3. JamiiForums Tanzania Kauli ya mwenye ushahidi apeleke polisi inanikera mno

    Yaani police na idara zake Bado Zinataka taarifa Gani mpya kuhusu kutekwa Kwa Mzee Kibao 1. Mzee Kibao katekwa mchana mbele ya abiria zaidi ya 60 Fuatilia abiria wawape ushahidi 3 Akipanda bus la Tashrif kampuni inajulikana Wafateni dereva na kondakta wawape ushahidi 3.Gari zilizo block njia...
  4. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kauli ya DC Longido, Marco Ng’umbi imetibua kidonda cha Uchafuzi wa Uchaguzi sasa wanahaha kujisafisha

    Kauli ya aliyekua mkuu wa wilaya ya Loliondo mkoa wa Arusha Marco Ng’umbi kua serikali iliwezesha ushindi wa madiwani na baadhi ya wabunge nchini katika uchaguzi uliopita, imetibua kidonda cha madai kua mifumo ya sheria za uchaguzi ili viongozi wanaopatikana watokane na matakwa ya wananchi walio...
  5. JamiiForums Tanzania Je, unadhani ni sahihi viongozi kutenguliwa baada ya kusema 'siri' za serikali? Au wangepewa fursa ya kutengua kauli?

    Mjadala uendelee. Mada hiyo hapo mezani. Nitakuwa wa mwisho kutoa maoni yangu. Karibuni wana jukwaa. Rejea utenguzi wa mhe. Nape, Ndugai, Dc wa longido nk. Pia soma:Kuelekea 2025 - DC wa Longido aliyesema alihusika kutengeneza mazingira ya Madiwani kushinda 2020 atenguliwa
  6. R

    JamiiForums Tanzania Nimefurahishwa na kauli ya Rais Samia kumwita Tundu Lisu Mwanangu

    Furaha iliyoje, Lisu ni "mtoto" wa Rais Samia. Very good and fine! Sasa Mama mlipe mwanao Lisu stahiki zake za matibabu ambazo amekuomba muda mrefu. Biblia inasema: ni mzazi gani mwanawe akimuomba mkate atampa mawe? Hayupo. Basi Mama mpe mwanao stahiki zake
  7. JamiiForums Tanzania Hii Serikali imefeli kwenye usalama

    Niwe mkweli serikali ya CCM Chini ya Rais Samiah imefeli kwenye suala la Usalama kabisa. Kwa Sasa inteligensia ya Polisi ipo Chini kabisa. Uhalifu unafanyika na Wala polisi hawana taarifa ya uhalifu huo na hata ukiwapelekea taarifa hawaufanyii kazi. Kwa mfano kifo Cha Samwaja huko Singida. Mtu...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ninamuunga mkono Lema kwa kauli yake kuhusu utalii.

    Bongo ina vivutio vingi sana ila inashangaza kila siku ni Ngorongoro, Serengeti, Kilimanjaro na Zanzibar. Kule Ziwa Tanganyika kuna Lupita Island ambacho ni kivutio kikubwa kwa wazungu ingawa ni kama vile wazungu waliokinunua wanajifanyia tu mambo yao. Kuna Kalambo falls. Lema kaongea point. Hii...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uzi Maalum wa Kauli tata na za kushangaza kutoka kwa Viongozi na Wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Wakuu, wakati tunaelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 na uchaguzi mkuu 2025 mengi yanasemwa na yataendelea kusemwa, na kati ya hayo ni kauli tata na za kushangaza kutoka kwa wanasiasa ambazo kwa namna moja ama nyingine zitakuwa na aathari fulani si tu katika uchaguzi huu wa mwaka...
  10. JamiiForums Tanzania Eti, hii kauli ilimuhusu nani??

    Mimi,wewe au yule?? Kauli yenyewe hii hapa! Mbwa wenyewe hawa hapa! Wenyewe waliambiwa hivi: Swali: Ni mimi,wewe,au yule? Unajiona hapo??
  11. JamiiForums Tanzania BASKET OF DEPLORABLES kauli iliyomkosesha Urais Hilary Clinton,vipi Alie waita watu MBWA ???

    Ukiwa Kiongozi wa Taasisi yeyote kubwa,lazima uwe na HIGH EMOTIONAL INTELLIGENCE, ukiwa Kiongozi na unaongozwa na hisia unajichimbia shimo mwenyewe... Zaidi ya Mara moja tumeona Mkuu Kadhiirisha kua Ana hisia dhaifu so hapaswi kubeba hisia za watu zaidi ya million 60,. Art Of Public Speaking...
  12. JamiiForums Tanzania Hii kauli Dotto Magari kuhusu Elimu. Anatakiwa achukuliwe hatua za kisheria kwa kupotosha na kutukana umma

    Hi Great Thinkers. Katika Pita pita zangu nimekutana na hii clip. In short siyo nzuri na haina afya yoyote. Yaani kwa huyu jamaa anataka kusema elimu haina msaada wowote licha ya mabilion ya pesa yaanyowekezwa ili watu wasome. Bila elimu hata hilo gari analolinga nalo sidhani kama lingepatikana.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Andika kauli au msemo mmoja unaoukumbuka kutoka kwa hayati Magufuli

    Andika msemo au kauli moja kutoka kwa raisi wetu kipenzi cha watanzania Pombe Magufuli ambao unaukumbuka. Andika msemo huo mpaka msomaji akisoma asisimke ausome msemo huo kwa sauti ya Magufuli. Mie naanza " Mimi nataka kama ni kunipenda, mnipende kwa ajili ya kazi. Kama ni kunichukia mnichukie...
  14. JamiiForums Tanzania Hatua ya jeshi la Polisi kumchukulia hatua RPC wa Dodoma kwa kauli yake inaacha maswali mengi sana.

    Habari wana Jamvi, Nimetafakari sana baada ya jesh la polisi kumchukulia hatua RPC Dodoma kufuatia kauli yake dhidi ya sakata la binti aliebakwa.Hakika niwapongeze kwa uharaka na weredi huu. Laki i. Kama kijana nilie kamilika kichwani siachwi bila kujiuliza maswali kadhaa. 1.Mbona hatukusikia...
  15. JamiiForums Tanzania Chombo Huru kichunguze tukio la Binti kubakwa na kulawitiwa, Kauli za Polisi zinatia shaka kupatikana Haki yake

    Kwa takriban mwezi sasa Polisi bado wanahangaika na uchunguzi wa tukio la Binti aliyeonekana katika Video akifanyiwa vitendo vya Ukatili na Wanaume Watano na bado kumekuwa na kauli za kutia shaka kuhusu haki ya huyo binti. Baadhi ya Askari wamekuwa wakitoa kauli zinazoonesha wazi kumkandamiza...
  16. JamiiForums Tanzania "Hata muonekano wake tu unaonyesha", "hata sura yake..." ni kauli za hovyo sana zilizoshika mizizi.

    Hizi kauli za kumuangalia mtu na kusema hata muonekano wake tu unaonyesha yule ni kahaba, mdangaji, mwizi shoga, muuaji, ana roho mbaya n.k ni kauli za hovyo sana. Yani mtu anaweza kumuangalia tu mwanamke amevaa mini skirt, ana tatoo mkononi au shingoni, kichwani ana bleach na mguuni ana kikuku...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Nchimbi aiagiza Serikali kuwaachia Viongozi wa CHADEMA

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amemwagiza Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Daniel Sillo kuzungumza na waziri wake, Hamad Masauni, ili kuona namna ya kuwaachia viongozi wa Chadema waliokamatwa mkoani Mbeya, akiwamo mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe. Dk...
  18. JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Najua nitateuliwa! Wakituchokoza, tutashughulika nao (VIDEO)

    Nape akijigamba: Maneno aliyoyatoa mbele ya Waziri Mkuu jimboni Mtama
  19. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kilichowaponza CHADEMA ni kauli na hamasa ya vurugu

    Kilichowaponza CHADEMA ni kauli na hamasa ya vurugu Na Mwandishi Wetu MWAKA 1994 hauwezi kufutika katika historia ya dunia baada ya watu zaidi ya 800,000 kupoteza maisha kwa mauaji ya wenyewe kwa wenyewe nchini Rwanda. Wengine zaidi ya 2,000,000 walikimbia nchi na kwenda maeneo mbalimbali...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa Kauli Hii ya Twaha Mwaipaya, Jeshi la Polisi Limechukua Hatua Stahiki

    Nimenukuu barua ya Polisi ya tarehe 11/ 08/ 2024 Hata mbuyu ulianza kama mchicha. Twaha Mwaipaya anataka GEN Z ya Tanzania iigize yaliyotokea Kenya. Kongole Tanpol kwa hatua mliyochukua.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…