kauli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Thabit Madai

    JamiiForums Tanzania Mbeto ashauri wazanzibari kuupuza kauli za kiongozi wa AAF Said Soud

    Chama Cha Mapinduzi kimewaomba wananchi wa Zanzibar kumsikiliza, kumtafakari,kumtazama hatimaye kumpuuza Mwenyekiti wa AAFP Said Soud Said aliyedai zanzibar haina maendeleo yoyote kwa miaka mitano iliopita . Pia CCM kimeiomba Ofisi ya Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa Zanzibar...
  2. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Je, ile kauli ya wanawake hawapendani inaweza kuzaa matunda Oktoba 2025?

    Kuna kamsemo huwa kanasikika sana mitaani hasa pale katika uchaguzi mkuu ambapo unakuta Mgombea mwanamke anapata kura asilimia 0.2 ilihali wapiga kura zaidi ya 50% ni wanawake.. “Wanawake hawapendani….” Je, kauli hii inaweza kuzaa matunda Oktoba?
  3. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Huyu DC ameidharau sana Yanga. Nimeshindwa mwelewa kabisa kwa hii kauli yake kwa TBR United

  4. R

    JamiiForums Tanzania Makinika, aliyetoa kauli kuwa " wachawi wote walishakufa" alilenga kutupumbaza!

    Hellow!! Ni UKWELI kuwa wachawi na wasio wachawi hufa maana hiyo ni Amri Toka Kwa muumba kuwa Kila mwanadamu shart arudi mavumbini. Sasa juzi hapa Mzee mmoja mtani wangu katoa kauli kwenye umati kuwa, Wachawi "WOTE" walishakufa, asee kuweni makini ndugu wananchi wenzangu, hivi Kweli huko...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Kauli za maudhi ya viongozi wa Tanzagiza wakisha shiba

    1. Kuleni NYASI, ndege ya RAIS lazima inunuliwe 2. MILLION 10 NI MBOGA YA NYANYA 3. Acheni wivu wà KIKE. 4. FOLENI Dar ni ishara ya maisha bora 5. Asiyeweza kulipa NAULI APIGE MBIZI 6. KIFO NI KIFO TU 7. KATIBA NI KIJITABU TU 8. WATU WAZURI HAWAFI 9. Nilisema wakati ule na narudia...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nina Timu yangu Mtaani nataka kuichagulia Kauli Mbiu moja kati ya hizi Tatu zifuatazo....

    1. Gusa Achia urudi Bongo 2. Gusa Achia urejee NBC 3. Gusa Achia ule wa Chuya Nitajie moja tu ambayo itapendeza hasa.
  7. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kauli ya Lema kutogombea ubunge Arusha mjini ni Mbinu tu ya kisiasa!

    Hellow! Matokeo ya Uchaguzi wa nafasi ya Mwenyekiti Taifa CHADEMA ndio yataamua ikiwa atagombea au HATOGOMBEA. NB: Mto wenye kina kirefu mara nyingi maji yake Kwa juu Huwa yametulia, lakini Kwa ndani! Muda ni mwalimu. Tusubiri.
  8. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli hiyo ya Lema huenda hata Magufuli kacheka huko alipo

    "...wote tulikimbia hapa. Hata yeye mwenyewe alikimbilia Dubai. TUNGEVAA MADERA ENDAPO ANGEBAKI HATA MMOJA WETU." Hahaha!
  9. Mikopo Consultant

    JamiiForums Tanzania Waha tupeni majibu ya hii kauli ya Lissu; 'Kuna kijiji kinaitwa Kazura Mimba kipo Kigoma, kina watoto wengi kweli kweli'

    Akihojiwa na Charles William wa Wasafi TV, Lissu alisema 'kuna kijiji kinaitwa Kazura Mimba kipo Kigoma, kina watoto wengi kweli kweli. Mpaka mwandishi kacheka na mimi mwenyewe nimecheka kweli kweli. Embu Waha njooni tulijadili hili, hapo Kazura Mimba kunani?? Au ni mbegu za majini...
  10. enzo1988

    JamiiForums Tanzania Je, kwa hii kauli ya Papa, ameruhusu au amekataza ushoga??

    Hivi karibuni Vatikani imeidhinisha wanaume mashoga kuwa mapadre iwapo wanaume hao watakuwa hashiriki tendo la ndoa. Ingawa kanisa hilo halikuwahi kukataza wapenzi wa jinsia moja kuwa mapadri, mwaka 2016 Vaticn ilikataza wanaume wenye tabia kama hizo kuwa viongozi au mapadri...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hapa Mbowe Lissu umemuweza sana

    Mbowe kasema uchaguzi utakuwa live TV zote za duniani zinazotaka kuja zitaingia ukumbi wa uchaguzi 1. Wajumbe kuhakikiwa live 2. Kura kupigwa live 3. Matokeo kuhesabiwa live 4. Mshindi kutangazwa live 5. Mshindi kuhutubia live 6. Mshindwa kuhutubia live Haya yote watashudia wanachama wa chadema...
  12. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe kusema aliokoa maisha ya Tundu Lissu ni kauli ya kufuru na ya ovyo

    Hii kauli ni kufuru. Lissu kupona ni miujiza ya Mungu na sio Mbowe wala mwanadamu mwingine yeyote. Pia mchakato wa kumtoa Lissu Dodoma hadi Nairobi ulihusisha watu wengi sana na sio Mbowe tu. WanaCCM wengi tu walishiriki kumkimbiza Lissu hospitalini. Kauli ya Mbowe kuwa aliokoa uhai wa Lissu ni...
  13. Mikopo Consultant

    JamiiForums Tanzania Kwa hii kauli ya Wenje, Msajili Ashurutishe Vyama Vya Siasa Kuchapisha Taarifa zao za Kifedha Haraka Sana

    Sheria ya vyama vya siasa inataka vyama kupeleka taarifa zao za kifedha kwa msajili kila mwaka; kwakuwa vyama hivi vina maslahi kwa nchi, ningependekeza ofisi ya msajili kuzitoa taarifa hizo kwa umma wa watanzania, kuna viongozi wanastahili kufunguliwa kesi za matumizi mabaya ya fedha za umma...
  14. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Tusiwalaumu tena vijana wetu kwa kuendekeza mpira, tatizo lilianzia kwenye kauli za kiongozi mkubwa wa taasisi

    Habari zenu wanaJF wenzangu Kwa kauli hizi ndugu zangu, kuna sababu ya mtu mwenye akili timamu kuacha kushabikia mpira kweli?
  15. chiembe

    JamiiForums Tanzania Je kauli za Lissu kushambulia wenzake zinatokana na kuchanganyikiwa na madeni? Wenje adai alimkopesha fedha Lissu wakati anaumwa

    Ni mbinu ya kuzuia asidaiwe? Katika mahojiano yake na chombo cha habari, Wenje amesema kwamba alitoa fedha zake nyingi kumkopesha Lissu wakati anajiuguza, na kwamba hajalipwa mpaka leo. Najiuliza, Lissu amechagua kundi la watu wanaomdai, awachafue ili kuwapunguza kasi? Kwa nini asilipe madeni...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Yannick Bangala avunja mkataba Azam FC, apishana kauli na Rached Taoussi

    Kiungo mkongwe Yannick Bangala amevunja mkataba na klabu ya Azam baada ya kupishana na kocha wake Rached Taoussi. Bangala ambaye aliichezea Yanga misimu miwili kabla ya kutimkia Azam msimu uliopita tangu atimkie kwa matajiri hao wa Chamazi hajawa na rekodi nzuri kulinganisha na timu aliyotokea...
  17. Full charge

    JamiiForums Tanzania Kauli ya 'tafuta pesa inatumiwa vibaya

    Kauli hii hutumiwa eidha na watu wasiojua nini maana ya pesa au watu wanaopata pesa kwa njia haramu (wezi,madawa) Huwezi kuwa tajiri kwa kauli hizi za kipumbavu,yani eti ukiona kahaba mwenye makalio makubwa basi ndiyo utumie pesa kumpata hayo si matumizi sahihi ya pesa ni ulimbukeni tu...
  18. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Kauli mbalimbali za mwisho za Marubani kabla kupoteza maisha kwa ajali

    Hizi ni kauli za mwisho za binadamu baada ya kuona hamna tena matumaini ya kuendelea na uhai wake pindi anapokumbana na hitilafu au ajali inayompata wa nini kifuatacho
  19. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Hatimaye TLS yamjibu Waziri Ndumbaro juu ya kauli ya "Kukurupuka" vita ni vita Muraaa.

    Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), kimekosoa kauli ya Dk. Damas Ndumbaro, Waziri wa Katiba na Sheria; na kusema chama hicho kiko imara na kitaendelea kuishauri Serikali, Bunge na Mahakama katika masuala anayohusu sheria, kukosoa kwa maslahi ya umma bila woga, hofu wala upendeleo, Aidha...
  20. Ritchy Breezy

    JamiiForums Tanzania KAULI NYINGINE HUIBUA FIKRA MCHANGANYIKO

    Habari za wakati huu By nature mimi ni mkimya sana,napenda sana kukaa mwenyewe na huwa nafeel comfortable sana, sipendi kuongea sana ila nikimatch na mtu ni mtu wa kucheka na kuongea sana..Napenda utani. Kimuonekano niko very humbe,i mean sura yangu ni very innocent kiasi kwamba ni rahisi sana...
Back
Top Bottom