katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania 20m itanifikisha wapi katika ujenzi wakuu?

    Habari marafiki. Mkononi nina kama 20M hivi, kuna kiwanja kama 25×20 nimekipata Morogoro Road, eneo linaitwa Madafu, kwa 3M. Mkononi nitabakiwa na 17M. Je, wakuu, naweza kweli kujenga nyumba ya walau room 3 ikafika usawa wa lenta, au niendelee kusubiri kwanza?
  2. JamiiForums Tanzania Wataalamu wa lugha ya Kiswahili naomba mnisaidie katika hili 👇.

    Mtu fulani alisikika akisema, "hebu naomba namba zako za simu", mwingine akasikika akisema, "nipe namba yako ya simu". Hivi, ni namba za simu au namba ya simu? Cc macho_mdiliko, min -me .
  3. H

    JamiiForums Tanzania ETDCO, Sonelgaz ya Algeria zaibua fursa za ushirikiano katika usafirishaji na usambazaji umeme

    ETDCO, Sonelgaz ya Algeria zaibua fursa za ushirikiano katika usafirishaji na usambazaji umeme Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya Usafirishaji na Usambazaji wa Umeme nchini (ETDCO), Bw. Raymond Mbilinyi, ameahidi kushirikiana na Shirika la Umeme na Gesi la Algeria (SONELGAZ) katika...
  4. JamiiForums Tanzania From Ukonga Prison: Tundu Lissu atoa taarifa kuwa yupo katika tishio la kuuawa!!

    ================ URGENT: TUNDU LISSU’S LIFE IS IN DANGER Credible information indicates that Tundu Lissu’s life is at serious risk. For more than 470 days, Tundu Lissu has been held in detention in Tanzania as an unconvicted prisoner, without a fair and timely resolution of his case. His...
  5. JamiiForums Tanzania Maria Sarungi: Majibu yangu kwa Dkt. Emmanuel Nchimbi baada ya kunitaja katika hotuba yake akiongea na Asasi za Kiraia za Haki za Binadamu

    Kwako Dr Emmanuel Nchimbi; Nimechukua muda kutafakari uliyoyasema nchimbie lakini sasa acha nikujibu: Leo umeonyesha uungwana kwa maneno maana umesema kuwa uanaharakati si uhasama - na ulinitaja kabisa pamoja na kwamba ninajua kuwa jina langu akilisikia kimama chenu hukasirika ile mbaya - so...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Nani hataki Katiba Mpya katika hawa watawala. Uchambuzi makini huu hapa. Nani ni mnafiki

    C&p Juzi, Tarehe 24/07/2026, Makamu wa rais, Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwa kwenye mkutano mkuu wa 15 wa mtandao wa watetezi za haki za binadamu, ametoa hotuba iliyopokelewa kwa hisia tofauti Hii ni kwa sababu hotuba yake imekinzana na kauli za awali zilizopata kutolewa na bosi wake, rais...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Duniani Kote katiba huletwa na Umma au Jeshi. Ngoja tuone Tanzania

    Kama umemsikiliza Dr Nchimbi vizuri utagundua kuwa ana frustration ya muda wa kuipata katiba mpya! Alitarajia itapatikana 2028 ili itumike uchaguzi wa 2029 na 2030. Sasa ni July 2026 haoni dalili yoyote. Aidha Dr Nchimbi amekiri kuwa katiba iliyopo inampa Rais madaraka makubwa na nafasi kubwa...
  8. JamiiForums Tanzania Katika vita ya Midle East wewe uko upande gani?

    Mimi bila kupepesa macho nipo upande wa IRAN,Japo watu wamegawanyika katika munktadha wa kidini wakirsto wanapendelea ISRAEL Wakidhani ni Nchi Takatifu lakini ni Shetani na hatambui wa Roma! Pia Mimi sipendi watu wanaoonewa bila sababu mfano Vita ya Urusi ns Ukraine mimi nipo URUSI,kwanini...
  9. JamiiForums Tanzania DC Johari Samizi: Dampo lililokuwa katika makazi ya watu Usagara A, Kata ya Usagara, Wilaya ya Misungwi limeondolewa

    Baada ya hoja iliyotolewa na Mwanakijiji cha Usagara A, Kata ya Usagara, Wilaya ya Misungwi Mkoa wa Mwanza kuwa kuna dampo kwenye makazi ya watu ambapo pia wanachoma taka na kuleta moshi unaosababisha Wananchi wavute hewa chafu usiku kucha, hatimaye hatua zimechukuliwa. Mdau alidai Wananchi...
  10. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Nani anaruhusu ujenzi katika maeneo ya Hifadhi ya Morogoro Road (Kimara–Mbezi Luis)? Je, tumesahau yaliyotokea 2017?

    Takribani miaka 10 iliyopita, Watanzania walishuhudia moja ya operesheni kubwa za ubomoaji wa makazi na biashara zilizokuwa kandokando ya Barabara ya Morogoro, maarufu kama Morogoro Road. Kuanzia Korogwe, Kimara, Mbezi Luis hadi Kibamba, nyumba, maduka na vitega uchumi vilibomolewa kwa maelezo...
  11. JamiiForums Tanzania Marekani kutumia trilioni 98.9 Tzs katika vita dhidi ya Irani hadi mwezi Septemba 26

    Haya ndio makadirio ya gharama ya vita vinavyoendelea dhidi ya Irani. Unaweza kuona ni namna gani duniani tunavyotifautiana na hivyo tusipende kukopi na kupaste yaliyopo nje na kutaka yatumike hapa kwetu. Bado tunayo safari ndefu ya kujipanga na kutekeleza. KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA! ==...
  12. JamiiForums Tanzania Namshangaa Prof. Tibaijuka anaposema Lissu ni kete muhimu katika maridhiano inamaana haoni athari alizoleta kwa Taifa? Au ni athari za kukosa cheo?

    Katika watu ambao hawafai hata kutajwa na ni sumu ya uzalendo wetu ni lissu huyu mtu siasa zake zimelirudisha nyuma Taifa letu kimaendeleo, Lissu ni mtu asiye na uchungu na Taifa letu, ni mtu aliyesababisha athari kubwa sana kwenye ustawa wa kijamii na kiuchumi kwa Taifa letu hafai! hafai...
  13. JamiiForums Tanzania Vitu hivi hakika ukivijua mwanaume utakuwa umeepuka mengi katika maisha

    MWANAUME Sheria no 1 Kamwe usi ruhusu mwanamke aka ku control ww usipokua tu kama akisema kazime taa kwanza au aki sema nifungue brazia vunja iyo Sheria uraendelea nayo badae! Sheria no 2 Dada wa rafiki yako ni dada yako pia usi thubutu Wala kujaribu ku mgusa! Sheria no 3 Adui wa rafiki...
  14. JamiiForums Tanzania Tetesi: Katika kutafuta Uhalali, FARAO kahongwa 1.8B TZS kufanya Ziara, ili kuhalalisha Umalikia

    Inasemekana , Kuna Orodha imeshaandaliwa ya Wafalme mbalimbali wa Bara la Giza walokwisha kupokea Michuzi ya TZ shillings ambao watafanya Ziara hapo Malawi , yote kwa Yote, Kumpa Uhalali wa Utawala ,Malikia aliyeua ili kua Malikia.
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira Mpya 2025/2026 katika Halmashauri ya Bunda DC Kada ya Kilimo tuna mwaka hatujalipwa Fedha za Kujikimu

    Naomba utusaidie kutoa malalamiko yetu Ajira Mpya 2025/2026 katika Halmashauri ya Bunda DC Kada ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi mpaka sasa ni mwaka hatujalipwa hela ya kujikimu.
  16. JamiiForums Tanzania Kiluvya: vitisho na matumizi ya nguvu katika ukusanyaji pesa za ujenzi wa barabara Mh Rais Diwani wa kiluvya anakuchonganisha na wananchi wako

    YAH: OMBI LA UCHUNGUZI WA TUHUMA ZA UKUSANYAJI WA FEDHA KINYUME NA UTARATIBU KATIKA KITONGOJI CHA MAKURUNGE, KATA YA KILUVYA – WILAYA YA KISARAWE Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kwa heshima kubwa, sisi baadhi ya wananchi wa Kitongoji cha Makurunge, Kata ya Kiluvya, Wilaya ya...
  17. JamiiForums Tanzania TANESCO: Tumefanya ukaguzi wa miundombinu katika Jengo la Mwenge Stendi na kubaini huduma ya umeme ni ya uhakika

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limebaini kuwa huduma ya umeme katika Jengo la Kituo cha Mabasi cha Mwenge inaendelea kuwa ya uhakika baada ya kufanya ukaguzi wa miundombinu kufuatia taarifa zilizosambaa zikidai kuwepo kwa changamoto ya kukatika kwa umeme mara kwa mara katika eneo hilo...
  18. JamiiForums Tanzania Karibu katika huduma bora Tanzania ya Masomo ya ziada yenye matokeo ya haraka.

    Tunawafikisha Walimu Bora Mahali Ulipo – Tanzania Nzima! Je, unataka kuongeza ufaulu wa mtoto wako au kujifunza ujuzi mpya ukiwa nyumbani? Elite Home Tuition Services ndiyo suluhisho sahihi. Tunatoa huduma za walimu wa nyumbani na mtandaoni kwa viwango vyote vya elimu, tukikuhudumia popote...
  19. JamiiForums Tanzania Mnaomtuhumu M/M/kiti CHADEMA - Tanganyika Mh John Heche; Rudini studio tena, mkarekodi upya filamu yenu. This one is very ridiculous...!

    Na mkirudia tena, basi ingalau jaribuni kufuata mwongozo ufuatao mnapoandaa filamu yenu; 1. Kama kuna pesa za tonetone amepokea kupitia Bank Account yake binafsi, na kwa kuwa mna access na Bank Account binafsi ya mtu, basi filamu yenu ieleze na kuonesha waziwazi haya👇 ✓Ni Bank Account Number...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Vijana tulioshiriki katika Kampeni ya Chanjo ya Polio - Misungwi (Mei 2026) hatujalipwa posho zetu

    Vijana tulioshiriki katika kampeni ya chanjo ya polio iliyofanyika kuanzia tarehe 7 hadi 10 Mei 2026 katika mikoa ya Kanda ya Ziwa na Kanda ya Kati. Mimi nilifanya kazi katika Wilaya ya Misungwi, Mkoa wa Mwanza, kama mhamasishaji wa jamii kuhusu umuhimu wa chanjo kwa watoto wenye umri wa miaka 0...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…