katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania CAF wametumia vigezo gani kupata timu katika mashindano ya Africa Football league (AFL)

    Ningependa kujua vigezo vilivyotumiwa na Caf kuanzisha haya mashindano kwa sababu kama wamechukua timu bora kila ukanda Kwa hivi sasa Rivers ni bora kuliko Enyimba
  2. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini reli ya SGR ya Kenya imekuwa mradi uliosifiwa sana katika ujenzi wa pamoja wa Ukanda Mmoja, Njia Moja?

    Mkutano wa tatu wa kilele wa ushirikiano wa kimataifa wa Ukanda Mmoja, Njia Moja utafanyika Beijing. Ikiwa moja ya nchi 52 za Afrika ambazo zimesaini kumbukumbu ya maelewano ya ushirikiano katika ujenzi wa pamoja wa Ukanda Mmoja, Njia Moja, Kenya imetajwa na watu wengi kuwa mojawapo ya nchi...
  3. JamiiForums Tanzania Katika vitu ambavyo hutakiwi kusahau katika maisha yako ni kutoa Zaka, uwe Mkristo, Mpagani au Muislam

    Kama wewe unajua kwamba Mungu yupo! Hakikisha unatoa ZAKA. Fanya utani na masihara kwenye mambo yote lakini toa ZAKA! Babu yangu miaka Kumi iliyopita aliugua tb ambayo ilifanya apofuke macho! Hivyo akahudhuria kliniki na kuchoma sindano 120, lakini Bado hali yake haikubadilika ,naikumbuka siku...
  4. JamiiForums Tanzania UDOM waweka kozi ya Bachelor of pharmacy katika dirisha la 4

    UDOM nimeona wameijumuisha kozi ya Bachelor of pharmacy katika dirisha hili la nne la udahili ..hivyo basi hh ni ni fursa adhimu kwa ndugu zetu ambao bado hawajapata chuo na pia wenye ndoto za kusomea ufamasia kuweza kujaribu nafasi .mungu awatangulie .Naomba kuwasilisha
  5. JamiiForums Tanzania Ukurasa wa X wa timu ya Simba kuruhusu matangazo ya ngono katika comments

    Ni aibu timu kubwa kama Simba kuruhusu account zenye maadili mabovu ya picha za utupu na ngono katika comments. Simba ni timu inayoheshimiwa ndani na nje ya Nchi. Kuna watu wenye hadhi zao ni washabiki wa simba kama viongozi wa serikali, viongozi wa dini, wanafunzi wa chuo, shule nk. Inakuwaje...
  6. JamiiForums Tanzania Kiharusi kinaua Watu 30 katika kila Wagonjwa 100 wanaotibiwa Muhimbili

    Wagonjwa wa kiharusi (stroke) 30 kati ya 100 wanaotibiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili hufariki dunia kutokana na kuchelewa kufikishwa hospitali. Hayo yamesemwa leo Oktoba 13, 2023 na Mwenyekiti Chama cha Wanasayansi wa Magonjwa ya Mishipa ya Fahamu Tanzania (TNA), Profesa William Matuja...
  7. JamiiForums Tanzania Mwanzo: Katika kubariki nitakubariki, na uzao wako utamiliki mlango wa adui zao; na kwako watatoka watawala!

    Biblia siyo maneno ya hadithi pekee. Ni Neno la kweli na lenye pumzi ya Mungu! Tangu kuwapo kwa ahadi hizo kwa Ibrahimu mpaka leo na hadi kiama, bado Neno la Mungu limeendelea kuthibitisha hayo. Ahadi hizo, ni kwa wazao wa baba wa Imani Ibrahimu na wafuasi wa kweli wa huyu Mungu JEHOVAH. Kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Japan: Watanzania 6 kuchuana katika Riadha leo ili kuwania nafasi ya Kushiriki Michezo ya Olimpiki 2023

    Wanariadha hao ni Paul Makiya, Fabian Naasi, Peter Sulle, na Sarah Ramadhan wanaoshinda katika Mbio za Kilomita 42 (Full Marathon), huku Joseph Gisemo na Transfora Mussa watashindana katika Mbio za Kilomita 21 (Half Marathon) huko Nagai leo Oktoba 15, 2023. Endapo Wakimbiza Upepo hawa watafanya...
  9. JamiiForums Tanzania Vijana wa Rorya wamuenzi Baba wa Taifa kwa kushiriki katika Bonanza la Nyerere Day

    Katika kuenzi miaka 24 ya kifo cha baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Mkuu wa Wilaya ya Rorya, Juma Chikoka ameandaa bonanza la michezo mbalimbali kwa vijana wilayani hapo. DC Chikoka anasema kuwa lengo la bonanza hilo ni kuendeleza kutoa elimu na mwamko kwa vijana kukumbuka...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Jumapili: Je, kuna maeneo yaliyokauka katika maisha yako? Nina ujumbe kwako

    Kila nikiangalia nyuzi mbalimbali naona ukavu katika kila eneo la maisha ya mtu, ukavu kwenye mahusiano, ukavu kwenye suala la utafutaji wa pesa, wengine ni wagonjwa na wengine wamesongwa na msongo wa mawazo maishani mwao, hawaoni muelekeo. Wengi wanalia kwasababu ya usaliti katika mahusiano na...
  11. 2

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kozi ya kusoma chuo kati ya hizi

    Habarini za humu, natumai mko pwa mnaendelea vizuri. Nilikuwa nauliza Kama naweza nikapata msaada humu nina mdogo wangu amechaguliwa application za kwenda vyuo na machaguo aliyopata amefanikiwa ni kozi ya mechanical engineering pamoja na Metrology and standardization kwa wazoefu wa Kati ya hizo...
  12. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe ahudhuria Ibada Maalum katika Kanisa la TAG Kinondoni

    Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe , mtu anayetajwa kama muasisi wa siasa za Kisasa kwenye eneo la maziwa Makuu , leo tarehe 14/10/2023 amehudhuria Ibada maalum kwenye kanisa la TAG REVIVAL CHURCH , Kinondoni . Ibada hiyo Maalum ina lengo la kuweka Jiwe...
  13. JamiiForums Tanzania South Afrika inaishi miaka 200 mbele ya nchi nyengine za afrika,ambazo zinaishi katika giza totoro!hatuna la kusema.

    Nimeshuhudia mara nyingi katika bara la Afrika ukiwatoa waarabu na nchi ya kusini mwa afrika zikitoa maonyo,msimamo na ushauri katika kila jambo(matukio) yanaloendelea katika baadhi ya nchi mfano vita ya GAZA na hiyo ndiyo maana ya diplomasia(sio kutafuta wawekezaji tu) lazima tulaani na...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuishi katika dunia iliyochanganyikiwa?

    Ukifuatilia historia ya dunia utaona bila shaka kuwa Walimwengu wamechanyikiwa siku zote. Vita kila kona ya dunia, mauwaji, majanga, visa vya kutisha, uchafuzi wa hali ya hewa na mazingira, wizi na mengineyo. Kuishi katika dunia ya namna hii inahitaji uwe na ufahamu wa aina yake. Uwe na uwezo...
  15. JamiiForums Tanzania Unachowaza unachofikiria, sana na unachokiongea sana ndiyo utapata katika Maisha yako

    Katika universe nimegundua Binadamu yupo na nguvu za uumbaji wa vitu katika MAISHA yake. Mwezi uliopita nili-Apply sheria mojawapo ya Ulimwengu inaitwa law of Attraction( Nguvu ya mvutano . kuhusu Kupata kitu Fulani. Ambacho nilikuwa nakihitaji Sana katika Maisha yangu ya Sasa. Nilipotarget...
  16. JamiiForums Tanzania Amini usiamini VITA yeyote inaanza katika nafsi/roho ya mwanadamu hivyo tuzingatie katika hili

    Dunia =kanuni+utaratibu neno ni ibada pia ni nguvu ukitamka neno mungu ujue umefanya ibada na kwa kupitia neno (MUNGU) unaweza kujikinga na mapepo ya aina yote ila muhimu ni kuamini tu! Nashangaa mno licha ya dunia kuwepo katika misingi muhimu iliyowekwa na mungu ili kuilinda dunia na...
  17. JamiiForums Tanzania Zifuatazo ndiyo Timu zangu pendwa ambazo GENTAMYCINE nitazishangilia mno katika AFCON ya 2024 Ivory Coast

    1. Morocco 2. DR Congo 3. Zambia Kwanini? Ni Timu ambazo zinacheza Mpira wa Kuvutia, wa Kisasa na kuna Vipaji vikubwa na Vingi. Pia ni Timu ambazo Makocha wake hawafichi Vikosi vya Wachezaji wao kwa Wananchi ili Visijadiliwe na Visikosolewe na Wadau. Lakini pia ni Timu ambazo hazitumiki na...
  18. JamiiForums Tanzania Huduma ya Kipimo cha MRI katika Taasisi ya Mifupa MOI ni kero kwa Wagonjwa

    Niende moja kwa moja kwenye hoja yangu. Oktoba 9, 2023 nilikwenda kumpeleka Ndugu yangu pale MOI kwaajili ya kupata vipimo kutokana na hali yake kiafya kusumbua kwa muda mrefu. Kufika pale Daktari akamwandikia kipimo cha Magnetic Resonance Imaging (MRI) ili kubaini tatizo lake. Balaa likaanza...
  19. JamiiForums Tanzania Chagua viungo watatu wa kuanza katika timu yako katika list hii

    Wewe ndio kocha unataka uanze na viungo watatu, wachague hapa katika orodha hii.
  20. S

    JamiiForums Tanzania Fahamu azimio la Balfour lilipelekea kuanzishwa kwa taifa la Wayahudi katika ardhi ya Wapalestina

    Ilikua ni mwaka 1917, Arthur Balfour , alitoa azimio la uungwaji mkono uanzishwaji wa taifa la Wayahudi , Israel. kwa wakati huo, hakukua na nchi iliokua ikiitwa Israel. ili kufanikisha mpango huo, Uengereza ilihamisha maelfu ya wayahudi Palestina, na iliwasaidia kununua ardhi. Baadae...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…