UDOM waweka kozi ya Bachelor of pharmacy katika dirisha la 4

Inasikitisha sana,bongo hatuna wafamasia tuna wagawa dawa,wanavyojinasibu sasa eti community,clinical na industrial pharmacy,wakati kote huko wanasubiri kuagiza dawa na kuja kugawa kwa wagonjwa.
hii ni aibu kubwa sana haswa kwa hili baraza letu linalojiita baraza la wafamasia
 
Vipi mfamasia umesha develop dawa ngapi hadi sasa??
Drug discovery and development sio jambo la kitoto. Kunahitaji investment kubwa sana. Karibia vyuo vyote Bpharm 4 wanakua na research proposals nzuri sana zinazohusiana na hizo ishu lakini unaona kabisa kwa umasikini wa hii nchi haiwezekani.

Ulaya wanawekeza sana kwenye research and development na ndio maana wanafanikiwa sana. Tanzania utaishia kuponda tangawizi tuu.
 
Inasikitisha sana,bongo hatuna wafamasia tuna wagawa dawa,wanavyojinasibu sasa eti community,clinical na industrial pharmacy,wakati kote huko wanasubiri kuagiza dawa na kuja kugawa kwa wagonjwa.
Watanzania wengi afya zao zinakua matatani kwa kukosa huduma za kifamasia. Role ya pharmacist nchi hii haijaeleweka vizuri kwa watu walio juu. Ni hatari sana kuruhusu dawa ziwe chini ya watu wasio wafamasia
 
Huwezi kueleweka vizuri isipokuwa kwa mfamasia mwenzako
 
Back
Top Bottom