katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ukiwa chanya Katika maisha yako Mungu anaondoa watu hasi kwenye maisha yako

    UKIWA CHANYA MUNGU ANAKUONDOLEA WATU HASI KWENYE MAISHA YAKO Anza kubadilisha maisha yako, kuwa mtu chanya, Mtu chanya ni mtu ambaye anaishi maisha yenye kuona mambo kwa uzuri. Mtu chanya ni mtu anayependa mafanikio ya wengine, ni mtu ambaye atoi maneno ya kukatisha tamaa wengine, ashiriki...
  2. JamiiForums Tanzania Hii ni aina gani ya bunduki alieonekana nayo mlinzi wa raisi mapema leo baada ya kashi kashi katika hafla ya chakula cha jioni?

  3. JamiiForums Tanzania Malalamiko Katika Kura za Maoni kwenye Uchaguzi Mdogo Jimbo la Isimani, Iringa

    Baadhi ya wajumbe walioshiriki katika kura za maoni za uteuzi wa Mgombea Ubunge Jimbo la Isimani kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) wameibuka na malalamiko wakidai kutoridhishwa na mchakato uliotumika kuwashindanisha wagombea hao. Wajumbe hao wamesema kuwa kuna viashiria vinavyoibua wasiwasi juu...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Muziki waunganisha tamaduni katika shindano la kuimba kwa Kichina nchini Afrika Kusini

    Wanafunzi vijana kutoka kote Cape Town, nchini Afrika Kusini, walileta nguvu na shauku kubwa katika sherehe ya utamaduni wa Kichina siku ya Jumamosi, wakati Taasisi ya Confucius katika Chuo Kikuu cha Cape Town (CIUCT) ilipoandaa Shindano lake la tano la Kuimba kwa Kichina, ikiangazia wazo kwamba...
  5. JamiiForums Tanzania Bado tunajifunza na kukua katika mfumo wa demokrasia, ni kauli dhaifu sana

    Huwa nachukua sana kusikia kauli kama hizi Bado tunajifunza na kukua katika mfumo wa demokrasia” Demokrasia yetu bado ni changa Hizi ni kauli za kisiasa zilizo dhaifu ambazo viongozi walioko madarakani huzitumia kukandamiza wengine kuonyesha kuwa, demokrasia ya nchi bado iko katika hatua ya...
  6. JamiiForums Tanzania Katika jina la Mungu

    Katika jina la Mungu wajinga wengi walibatizwa au kusilimishwa. Walipewa majina ya kigeni. Walifundishwa lugha za kigeni. Walifundishwa kuabudia kila upuuzi wa kigeni Waliacha kufikiri na kuacha dini zifikiri kwa ajili yao. Walidhalilishwa, kudharauliwa, na kunyonywa. Walivisha kongwa...
  7. JamiiForums Tanzania Heshima, Thamani na namna unavyojiweka katika jamii

    Habari JamiiForum. Hope mko poa ladiz (ladies) & Gentlemen. Waungwana , Kila mmoja wetu anahitaji kuheshimiwa na kuthaminiwa,iwe Kwa namna yeyote ile tajiri au masikini,mfupi Kwa mrefu,mweusi na mweupe n.k. Kila mtu hujiona anapaswa kuheshimiwa,lakini je heshima na Thamani inakujaje? Ni...
  8. JamiiForums Tanzania Current regime, Sio sahihi wala haipo katika hali, mahali, na nyakati, sahihi

    SERIKALI HAINA UHALALI WA KUSEMA CHOCHOTE. Inachokifanya ni sawa na (Sio vibanzi bali mnatoe kope za mnaowaongoza huku ninyi mkiwa na boliti machoni). Ni sawasawa na kulazimisha safari wakati chombo ni kibovu, chombo kiliitaji service kabla hatujaanza safari.
  9. JamiiForums Tanzania Rais wa Mnangagwa akabidhi Mamia ya Baiskeli kwa Maveterani wa Vita katika maadhimisho ya Uhuru Zimbabwe

    Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa leo amekabidhi mamia ya baiskeli kwa maveterani wa vita katika eneo la Maphisa, Kezi, ambako sherehe za maadhimisho ya miaka 46 ya Uhuru wa nchi hiyo zimefanyika Jumamosi hii.
  10. JamiiForums Tanzania Ujenzi: Kuzuia maji katika jengo

    SEHEMU YA PILI Namna ya kuzuia maji katika jengo 1.Mfumo wa kuchepusha maji mbali na jengo 2.Uwepo wa gutter 3.Matilio zenye kuzuia maji 1.MFUMO WA KUCHEPUSHA MAJI KATIKA KIWANJA Njia hii inatakiwa kutumika katika kukabiliana na maji yanayogusa sehemu za chini katika jengo lako,sehemu hizo ni...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Paulo Saburi Kilonzo (c. 1890–1979) mtanzania wa Pare (Vu-Asu) kutoka Kilimanjaro Tanzania mwana wa 'Mrungu wa Gu' (Mungu wa vita)

    April 2 2021 Kilonzo, Paulo Saburi (c. 1890–1979) Na Gadi Kilonzo Ilichapishwa kwa Mara ya Kwanza: Machi 29, 2021 Mhubiri painia, mchungaji, na mmishonari katika Afrika Mashariki, Paulo Saburi Kilonzo alitoka katika watu wa Pare (Vu-Asu) wa Milima ya Pare ya safu za milima ya pwani ya...
  12. JamiiForums Tanzania Iran kuanza ishambulia Marekani hasa katika majiji yake ya New York na Las Vegas?

    Naona haijaanza kutumia yale makombora yake ya masafa marefu mpaka sasa. Inasubiri nini? Marekani imeharibu sana Iran. Iran ya sasa inatembea kwa magongo, inachechemea. Siyo Iran ya miezi 10 iliyopita. Mambo yameharibika sana kijeshi. Sasa nawaza je huu si wakati muafaka wa kuishambulia...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Kama ndiyo Ujaji ndio huu, Mwanga amewaonea wangapi katika hukumu zake?

    Kama alidiriki kuwafanyia Chadema hivi, wanyonge kwake watapata haki kweli? Amewaumiza wengi!
  14. JamiiForums Tanzania Haja ya vyuo vikuu na vyuo vya kati kuandaa mazingira bora ya wanafunzi kujifunza kwa vitendo katika masomo yao

    Kumekuwa na wimbi kubwa la wahitimu wa vyuo vikuu na vya kati kuhitimu elimu zao bila kuwa na ujuzi wa kivitendo katika taaluma walizozichagua. Hali hii imesababisha changamoto kubwa mitaani, hasa katika mchakato wa kutafuta ajira. Nitazingatia zaidi upande wa kada za teknolojia. Hii ni...
  15. JamiiForums Tanzania DED: Nimeunda timu kuchunguza madai ya michezo michafu katika Machinjio ya Halmashauri ya Tunduma

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Tunduma, Mariam Chaurembo Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Tunduma, Mariam Chaurembo, amesema ameunda timu huru ya wataalamu kuchunguza tuhuma za ukiukaji wa maadili na usafi katika machinjio ya mji huo zilizosambaa hivi karibuni kupitia video mitandaoni...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mungu aliwapeleka wana wa Israeli katika nchi ya Kanaani ambayo ililaaniwa?

    Kwa nini Mungu aliwapeleka wana wa Israeli katika nchi ya Kanaani ambayo ililaaniwa? Hebu turejee maandiko katika kitabu cha Mwanzo 9: 20 “Nuhu akaanza kuwa mkulima, akapanda mizabibu; 21 akanywa divai, akalewa; akawa uchi katika hema yake. 22 Hamu, baba wa Kanaani, akauona uchi wa baba yake...
  17. JamiiForums Tanzania Hoja zangu 5 kwanini naiunga mkono Iran katika mzozo unaoendelea huko mashariki ya kati

    Mzozo wa Mashariki ya Kati kunahitaji mtazamo mpana unaovuka mipaka ya kidini au kijiografia, kwa kuzingatia misingi ya sheria za kimataifa, usawa, na haki za binadamu. Hoja zangu za kusimama na Iran katika muktadha huu inaweza kujengwa juu ya misingi ifuatayo: 1. Kulinda Misingi ya Uhuru wa...
  18. JamiiForums Tanzania TRC: Abiria waliopanda SGR kati ya Juni 2024 – Machi 2026 ni 5,512,995

    Abiria waliopanda SGR (Juni 2024 -Machi 2026) ni 5,512,995.
  19. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ma-HR katika Mradi wa SGR Mwanza – Isaka wachunguzwe. Wanajineemesha kwa kufukuza watu kazi

    Wakandarasi wanaofanya kazi SGR tuna kero moja kwanza mshahara wa Serikali ilipopandisha mwanzo kabla hawajapandisha ilikuwa kwa siku ni shilingi 17,200 kwa madereva na ma operator, ila kwa malabour ilikuwa 16,200 baada ya serikali kupandisha wameweka level sio dereva, sio operator wote ni...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa chadema wakae na Rais katika ufumbuzi wa Tundu lissu

    Hivi sasa uendeshaji wa dunia umebadilika. UNO ipo lkn kama mpitishaji wa ajenda za USA ICC ipo lkn haiwezi kuikosoa Isreal. Vipo vyombo vya habari vikubwa kama bbc , CNN lkn vyote hivyo huvisikii kumkosoa Trump. Yaani hivi sasa dunia inavyoendeshwa kama inaendeshwa na watu na sio mihimili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…