katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. kamdinyo

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio nyimbo ninazozipenda kuliko zote katika maisha yangu ya kufuatilia mziki mzuri duniani kote.

    1) one in a milion- Aaliyah 2) tease me- chaka demus and plies 3)send it on - D' Angelo 4) hallo-Beyonce 5)shawty- plies 6)Lollipop- lil' wayne 7) yako wapi mapenzi- rubby 8) masogange- belle 9 9) fu-gee-la- fugees 10) let me hold you- bow wow ft omarion 11) if you realy wanna know- mac dosley...
  2. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Unakutana na changamoto gani katika biashara / kazi inayoifanya sasa?

    Unazimudu na kuzitatua vipi? 🤔
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Nilihofia kumpoteza Mgonjwa katika Hospitali Teule ya Wilaya Muleba (Rubya Hospitali) sababu nilitakiwa nilipe kabla ya huduma

    Ninaomba kufikisha malalamiko yangu kuhusu utaratibu wa utoaji wa huduma katika Hospitali Teule ya Wilaya Muleba yaani Rubya Hospital ambao kwa maoni yangu unaweza kuhatarisha maisha ya wagonjwa wanaohitaji huduma za dharura. Nilifika hospitalini hapo nikiwa na mgonjwa aliyekuwa anahitaji...
  4. Kubwjing

    JamiiForums Tanzania CRDB Mnakera sana katika huduma yenu ya SimBanking

    Kuna muda najiuliza kuwa hii App mliiweka ya kazi ipi hasa Tangu asubuhi Mtu wa miamala anashindwa kuhudumia wateja kwa kutumia Simbanking kisa huduma haipatikani Mara hii nimejaribu kununua umeme kwa mara 4 zote sipati majibu yeyote Mlituwekea huduma hii ya kazi gani? Mnakera sana ninyi.
  5. Whackiest

    JamiiForums Tanzania Sex katika nguvu

    Wakuu kwema ! Nisiwachoshe sana naenda moja kwa moja Nini kinatokea katika ubadilishanaji wa nguvu kwa mwanamke mchanga na mwanaume mzee vivyo hivyo mwanaume mchanga na mwanamke mzee Kisha nipate ufafanuzi kwann ukionja penzi la mwanamke mkubwa sana unajikuta unatii mambo yake na kujinasibu...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Afrika ijitathmini upya katika SOKA

    Tukiweka utaratibu wetu (Siri ya ndani) Kila kombe la dunia kupeleka timu 2 mpya hakika tutaona maajabu. Hili litawezekana tu kwa kuanzia chumbani ndio tuje sebuleni (vilabu hadi timu za Taifa),mwenye uwezo aruhusiwe kubeba "ndoo" ili kujijenga kwa pamoja (inclusive football) Rejea: 1.Senegal...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TPA: Ada ya Uendelezaji wa Miundombinu ya Bandari kuanza kutekelezwa leo Julai 1, 2026 katika bandari zote za Bahari Kuu

    UTEKELEZAJI WA ADA YA UENDELEZAJI WA MIUNDOMBINU YA BANDARI Jumatano, 01 Julai 2026 DAR ES SALAAM Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), inapenda kuujulisha Umma kuwa mnamo tarehe 1 Julai 2026, ada ya Uendelezaji wa Miundombinu ya Bandari (Port Infrustructure Development Fee -PID)...
  8. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Lango la Kiroho la July 1 na uhusiano wake katika Ulimwengu wa Giza

    Tarehe 1 Julai inawakilisha lango kuu la kiroho la katikati ya mwaka (Mid-Year Portal) linalogawa kalenda katika pande mbili sawa. Katika mifumo ya kiroho, tarehe hii si siku ya kawaida, bali ni majira ya mpito ambapo milango ya kiroho hufunguka ili kuruhusu mabadiliko ya kiutawala, tathmini...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Nilitegemea katika siku ya gawio rais apokee gawio kutoka TANESCO, TTCL, ATCL, TRC ambao hawakutoa gawio na sio yeye kupewa tuzo.

    Siku ya kutoa gawio kwa serikali ni siku ambayo rais alipaswa kuichukulia kama accountability day kwa mashirika yote ya Umma. Ni siku ambayo mbivu na mbichi zinapaswa kuanikwa na pengine watu kuchukuliwa hatua kwa kutotoa gawio lolote. Lakini katika siku hiyo mwaka huu TANESCO, TTCL, ATCL, TRC...
  10. C-C Digital Pro

    JamiiForums Tanzania Joe Biden, Kamara Harris na Civilian-Coin katika mazungumzo ya faragha.

    Jionee mwenyewe.
  11. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Kama grid ilitoka katika mazingira ya kawaida tume imeundwa ya nini Gerson Msigwa aache uongo

    Guys Hivi Gerson Msigwa anatuoanaje watanzania. yaani anapenda kutupanga sana pia huja na fix za kikuda. Kama grid kutoka ni swala la kawaida Tanesco wanaunda tume ya nini. huyu jamaa kashakuwa chawa mwongo muongo Usije ukamwamini msigwa kwa lolote lile maana ameshiba na amejaa dharau.
  12. Azniv Protingas

    JamiiForums Tanzania Je, Maisha katika Nchi za Ulaya kama Uingereza (UK) ni Rafiki kwa Wahamiaji Wanaotafuta Maisha Bora?

    Kwa miaka mingi, nchi za Ulaya, hususan Uingereza (UK), zimekuwa kivutio kikubwa kwa watu wanaotafuta maisha bora. Wengi huamini kuwa huko kuna ajira nyingi, mishahara mikubwa, huduma bora za afya na elimu, pamoja na fursa za kujenga maisha yenye utulivu. Hata hivyo, swali la msingi ni: Je...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Unafikiri kwa nini Mabeberu hayapigi vita maendeleo ya Makanisa na shule katika nchi maskini?

    Habari za Jumapili. Kwa uelewa wangu huu ninaamini kabisa Wazungu, mabeberu kamwe hawataruhusu nchi walizozitawala ikiwemo Tanzania ifanye Jambo ambalo litaiinua nchi, kuiendeleza, ikiwezekana kuwapita wap. Mtibeli naamini, Ukiona Mzungu hakuzuii kufanya Jambo Fulani linalokufanya uendelee...
  14. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Maktaba Katika Maswali na Majibu

    https://youtu.be/YVI4Qfm93-k?si=fbpAmltWqZJXhUbH
  15. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Tanzania iko katika matishio ya amani na usalama chanzo wivu wa rasilimali zetu

    Katambi ajitetea na agizo lake la kuzuia mikutano :'Sijakiuka Katiba', awashukia vikali CHADEMA Akizungumza leo Juni 27, 2026,wakati wa maadhimisho ya siku ya wazee duniani huko mkoani Shinyanga, Waziri wa Mambo ya Ndani, Patrobasi Katambi amekanusha juu ya kuvunja Katiba na kueleza matishio ya...
  16. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania Wauguzi chumba cha upasuaji MOI wakumbushwa misingi na kanuni za matumizi sahihi ya vipandikizi katika matibabu ya mivunjiko ya mifupa

    Wauguzi wa Chumba cha Upasuaji kutoka Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) wameendelea kupatiwa mafunzo ya kuwakumbusha misingi na kanuni za matumizi sahihi ya vipandikizi vinavyotumika katika matibabu ya mivunjiko ya mifupa, ikiwa ni sehemu ya programu endelevu inayodhaminiwa na...
  17. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Leo katika historia

    Juni 27 ni siku ya 178 ya mwaka katika kalenda ya Gregorian (au ya 179 kama ni mwaka mrefu), huku zikiwa zimesalia siku 187 kabla ya mwaka kwisha. Katika upande wa maadhimisho na siku kuu duniani, tarehe hii inatambuliwa kwa mambo mbalimbali ikiwemo Siku ya Helen Keller ya kuheshimu...
  18. Afric-liberator

    JamiiForums Tanzania "Mchango wa Siasa katika maendeleo ya jamii (The contribution of politics in Communities development"

    African's politics Affairs
  19. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Anayepaswa kulaumiwa kwanza katika haya yanayoendelea katika Taifa ni Hayati Mwl. Nyerere

    Yes,wengi wanamsifia na kumuona mzalendo na aliyekuwa na nia ya dhati kwa Taifa,nakubari katika uzalendo lakini si katika nia ya dhata kuhusu mustakabali wa kesho wa taifa hili. Mambo mengi yanayotokea katika taifa hili kwa sasa chanzo chake kikubwa ni katika sheria mbovu zilizopo tangu mwanzo...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Prof. Shemdoe: Uzembe wa Ma-Afisa Rasilimali Watu katika Mfumo wa PEPMIS umezuia Watumishi kutopanda daraja

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe ametoa maelekezo hayo Juni 23, 2026 kwa niaba ya Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka, wakati wa Kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2026 katika Viwanja vya...
Back
Top Bottom