katibu mwenezi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya Katibu Mwenezi na Itikadi wa CCM taifa ni bora ikafutwa tu, haina faida kwa sasa

    Utakubaliana na mimi kuwa CCM inayumba sana kwa sasa kutokana na nafasi ya katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo taifa. Kila aliyeshika hiyo nafasi, kama hakupwaya basi aliishia kuwagawa wanaCCM katika makundi ya kuwania urais ama kutengeneza chuki dhidi ya wananchi. Tatizo lilianza kuonekana...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Naamini kwa dhati kabisa nguvu ya Makonda haitokani na kuwa kwake katibu mwenezi wa CCM, lazima kuna chanzo kingine kinampa kujiamini kiasi hiki

    Niite jina lolote, lakini mimi ni mojawapo ya watu ambao huwezi hata kabisa kunishawishi kwamba hii nguvu na mbwembwe ambazo Makonda amekuwa akizionyesha zinatokana na kuwa kwake na cheo cha katibu mwenezi wa CCM. Tusidanganyane hapa. Makonda sio katibu mwenezi wa kwanza CCM, na wamekuwapo...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Imenishangaza Katibu Mwenezi Chama Kikubwa Ndugu Paul Makonda hana Agenda; Anajitwangia tu

    Yaani ukifatilia mambo ya Katibu Mwenezi Paul Makonda utaishia kucheka tu. Sometime hata kupatwa na hasira au huzuni. Katibu Mwenezi hana ajenda wala hajajipanga. Anajitwangia tu. Tumesikia Mwanasheria akilalamika kuhusu utendaji wake. Si yeye tu wapo wanachama wengi wenye heshima zao ndani...
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Wakati anavamia na kuteka hatukunyooka, ndio iwe leo kawa Katibu mwenezi? Ni kichekesho!

    Kuna mambo kama tutayanyamazia kwa kuogopa kudhurika hata shetani atatushangaa , Hivi ni unyama gani ambao Makonda hakuwafanyia Chadema alipokuwa Mkuu wa Mkoa wa DSM ? Ni utekaji upi na uvamizi upi mpya ataufanya leo kutukomesha ambao hakufanya alipokuwa analindwa na Jiwe kwa kubebwa na...
  5. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya Katibu Mwenezi wa CCM, Paul Makonda mikoa 20 kwa siku 10

  6. B

    JamiiForums Tanzania Nilitarajia Katibu Mwenezi Paul Makonda awe ameshafika Hanang na kutoa maelekezo. Uwezo wake uko kwenye nini hasa?

    Anajulikana kama mpenda watu na yeye watu wanampenda. Ndivyo tunavyoaminishwa. Kutokana na janga la kiasili lililowatokea wenzetu nilitarajia kuona ule uwezo wanaosema Katibu MMwenezi wa NEC anao uwe umeshaleta nafuu kwa wwahanga wa Mafuriko na janga la Mvua. Ccm kamachama Doka kina...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kinachonishangaza kwa Katibu Mwenezi na Itikadi CCM Makonda ni kuona leo hii akipinga mabaya aliyowahi kuyafanya

    1. Dharau 2. Uonevu 3. Ubabe 4. Uwizi/ Ufisadi 5. Dhuluma 6. Rushwa 7. Uwongo/ Kudanganya Haya GENTAMYCINE niwatakieni tu Kila la Kheri wale wote wenye Ubongo mfupi na hafifu wanaomuamini na kumsifu sasa wakati kwa Rekodi zake za kimatukio Kipindi chake yuko Madarakani/ Serikalini angekuwa...
  8. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Maagizo matano yametolewa na katibu Mwenezi Taifa wa CCM Mkoani Geita

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Paul Makonda (@baba_kegan) amesema CCM imetoa maagizo matano kwa mkoa wa Geita ambayo yanatakiwa kufanyiwa kazi ili kuboresha maisha ya wananchi na kuchochea maendeleo. Akizungumza na wananchi wa Kata ya Bwanga...
  9. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kwa ambao hawajui, hizi ndizo kazi za Mwenezi wa CCM Taifa. Makonda anajua ana mtu nyuma yake aliyempa maelekezo maalum

    Idara ya Itikadi na Uenezi ya CCM kwa sasa inaongozwa na aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda. Majukumu ya Idara hiyo kama yaliyovyoanishwa kwenye Tovuti ya CCM ni pamoja na; Kushughulikia masuala ya msingi ya Itikadi na Sera za Chama Cha Mapinduzi. Kueneza na kufafanua...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Katika jambo la ovyo na la aibu amefanya mwenyekiti wa CCM ni kumteua Makonda kuwa Katibu Mwenezi wa CCM

    Huyu rais na mwenyekiti wa CCM ni kwamba kuna watu wanamwendesha km gari bovu au ni akili yake. Km ni kuendeshwa kwanini akubali akili zake hazimtoshi? Aibu atakayoipata kumteua huyu bwana hatakaa asahau. Kwanza tukubaliane Makonda ni miongoni mwa wale binadamu wenye akili ndogo sana hapa...
  11. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania Kipimo cha ujinga wa wenye chuki dhidi ya Paul Makonda ni kutokunywa sumu mfe!

    Watu ukishawajua bhana, haikusumbui! Asante Mh Rais Samia kwa kuwajua hawa wanafiki wa siasa! Mtavumilia hadi lini enyi wanafiki, wenye wivu, kijicho, wasengenyaji na wapiga majungu dhidi ya aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar na sasa ni katibu mwenezi wa chama kubwa kabisa la CCM kutokunywa sumu...
  12. Influenza

    JamiiForums Tanzania Siri hadharani: Siyo Vyama vya Upinzani ni Vyama Vya Watoa Taarifa

    Akipokelewa mkoani Dar es Salaam kama Katibu Mwenezi na Itikadi wa CC, Paul Makonda amesema kazi ya CCM ni kusikiliza kuwa sikio la Serikali na kusema kuwa Sauti ya Wananchi Amesema "Naomba nitumie fursa hii kutuma salamu kwa Mawaziri wote, Wakuu wa mikoa, na kwa Watendaji wote ya kwamba pale...
  13. Peter Dafi

    JamiiForums Tanzania Mapokezi ya Mwenezi Makonda ni Alhamisi 26/10/2023 saa 3 asubuhi, Lumumba

    MAPOKEZI YA PAUL C. MAKONDA KULISIMAMISHA JIJI LA DAR ES SALAAM SIKU YA ALHAMISI. Siku ya Alhamisi 26/10/2023 Saa 03:00 Asubuhi, Katibu mwenezi wa Taifa Ndugu Paul C. Makonda anatarajiwa kupokelewa Rasmi Ofisi Ndogo ya Makao Makuu Lumumba, Mkoani Dar es Salaam. Viongozi, Wanachama wa CCM...
  14. Ex Spy

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda ateuliwa kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi

    Ndugu Paul Makonda ameteuliwa na CCM kuwa Katibu Mwenezi. === Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) iliyokutana leo tarehe 22 Oktoba, 2023 mjini Dodoma, katika kikao chake maalum, chini ya Mwenyekiti wa CCM, Ndg. Dokta Samia Suluhu Hassan, pamoja na masuala mengine, imeridhia kwa kauli...
  15. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Katibu Mwenezi anapaswa kuwa na Elimu gani?

    Kwa wanaofahamu, katibu wa itikani na uenezi wa CCM anapaswa kuwa na kiwango gani cha elimu? Je, mtu mwenye tuhuma za kufoji vyeti anaweza kushika nafasi hiyo?
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Je, Katibu Mwenezi mpya wa CCM atatokea kwa wahamiaji? Halima Mdee na Nusrat Hanje watajwa

    Upo uvumi kwamba Mrithi wa Sophia Mjema huenda akawa miongoni mwa wale Wabunge wasio na Chama ambao waliapishwa na Ndugai kwenye Gereji ya Bunge. Halima Mdee na Nusrat Hanje wanatajwa kujaza nafasi hiyo (tetesi). Hutakiwi kupuuza jambo hili , kwa vile ni dhahiri kwamba CCM imeishiwa watu, ndio...
  17. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Nani katibu mwenezi ajaye baada ya Mjema kutumbuliwa

    Makonda is loading........
  18. Notorious thug

    JamiiForums Tanzania Ally Bananga Katibu Mwenezi CCM Dar adai atamshawishi Freeman Mbowe na wenzake kuhamia CCM

    Wengi tulimfahamu alipokua diwani wa Chadema kata ya Sombetini Arusha mke wake ni mmoja kati ya wale COVID-19 wa Chadema. Ally Bananga(MARIOO WA CCM)
  19. Suley2019

    JamiiForums Tanzania KWELI Omary Ramadhan Mapuri aliyeteuliwa kuwa Mjumbe wa tume ya Uchaguzi amewahi kuwa Katibu Mwenezi CCM

    Salaam ndugu zangu, Nimekutana na mijadala kwenye mitandao mbalimbali ikidai bwana Omari Mapuri aliyeteuliwa jana 29/06/2023 amewahi kushika cheo cha uenezi ndani ya CCM huku wengine wakidai kiongozi huyo hajawahi kuwa na wadhifa mkubwa ndani ya chama. Je ukweli ni upi? Tunaombeni muweke jambo...
  20. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa VP Mpango Mnazi Mmoja umeanza vibaya. Kibaka aiba simu ya Katibu Mwenezi wa Mkoa.

    Kwenye mkutano wa CCM, mkutano mkubwa,.sherehe kubwa,wasaniii wengi pale,.pamoja na Zuchu. Lakini kibaka kaiba simu ya mheshimiwa. MC akaambiwa atangaze ili simu ipatikane. Kwa hiyo MC ametangaza:"Yupo mwanaCCM mmoja mwaminifu ameichukua simu ya Katibu Mwenezi. Tunaomba airudishe."
Back
Top Bottom