Mnajificha katika hoja ya ushoga ehh? jibuni nondo hizo

Kaka Pekee

JF-Expert Member
Apr 3, 2018
320
1,000
Watanzania tusikubali propaganda za kijinga hizi.!!! Tamko la bunge La ulaya lina hoja nyingine zaidi ya 14 tofauti na ushoga, watu kupigwa risasi na kukosekana uchunguzi,watu kupotea na kukutwa kwenye viroba,sheria ngumu ya mitandao,chaguzi na wapinzani kunyanyaswa,kufunguliwa kesi za kisiasa na dola,kudorora kwa haki za binadamu, wanafunzi waliopata ujauzito kupata haki ya kuendelea kusoma na mambo mengine mengi.
Zimbabwe ya Mugabe alitumia propaganda ya mashamba kuwadanganya wananchi lakini nchi ilipozama sasa wanateseka wazimbambwe wote.

Acheni propaganda jibuni hoja zote zinazosababisha nchi inakosa sifa za kupata misaada kama zamani ilivyokua, mkiulizwa mnasema kuna vibaraka wa mabeberu na nyie mnajiita wazalendo baada ya mda mchache nyie wazalendo mnaenda airport kuwapokea hao mnaoita mabeberu mnawachezea na ngoma na kuwasafishia barabara .

Mlifanya propaganda kwenye sukari kwamba imefichwa na wafanyabiashara leo bei ya sukari imepanda mmenyamaza hamsemi chochote mwananchi wa kawaida anaumia semeni ukweli. Mpango jibuni hoja za Eu bila propaganda tusaidie nchi.
 
JF Member

JF-Expert Member
Dec 14, 2014
3,440
2,000

Umeandika kitoto sana. Shida unasahau hoja zote zinajibiwa kwa hoja? Kwa akili na uelewa wako? Tanzania na Israel ama Uganda nani anatakiwa awekewe vikwazo? Tatizo huwazi kwa kina kabla ya kuandika hapa. Nchi yoyote inapotaka kupiga hatua hakuna nchi inayofurahi.. Chukulia mfano wa nchi za barani afrika zilivyo .. Nchi ikitaka kujikomboa tu nyingine inaanza kununa.. Huyu JPM pamoja na mabaya yake .. Hakukuwa na haja ya vikwazo vyovyote .. Ila anapotanga kunyoosha nchi ikae vizuri wazungu wanaona masirahi yao yameenda na maji.
 
Omulasil

JF-Expert Member
May 5, 2015
3,561
2,000
Bunge Ulaya ni nani? Ni wapuuzi tu. Swala la mkeo hununulii chupi anavaa bra au la si swala la jirani kuja kuleta hoja kwa familia yako.
Sijajua kwanini hoja dhaifu hizi zinapata nafasi kupigiwa makofi bora kupigwa makofi na mnyakyusa kuliko makofi ya mjerumani.
Kwangu ile kauli ya Damu nzito kuliko maji inachukua mkondo
 
Rebeca 83

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
11,445

Umesema vizuri ila hapo nchi nyingine kununa mmnhhh kwa manufaa gani?
 
Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
13,040
2,000
Umeandika kitoto sana. Shida unasahau hoja zote zinajibiwa kwa hoja? Kwa akili na uelewa wako? Tanzania na Israel ama Uganda nani anatakiwa awekewe vikwazo? Tatizo huwazi kwa kina kabla ya kuandika hapa. Nchi yoyote inapotaka kupiga hatua hakuna nchi inayofurahi.. Chukulia mfano wa nchi za barani afrika zilivyo .. Nchi ikitaka kujikomboa tu nyingine inaanza kununa.. Huyu JPM pamoja na mabaya yake .. Hakukuwa na haja ya vikwazo vyovyote .. Ila anapotanga kunyoosha nchi ikae vizuri wazungu wanaona masirahi yao yameenda na maji.
Kwanini umetaka tujilinganishe na Israel au Uganda . Kwa kuwaona wao ni wadhambi kuliko sisi ?!. Kwamba sisi tumeua wachache ?! Au kwamba sisi u dictator wetu haujakomaa ?!.

Come on !!. Sisi hatuhitaji hata chembe ya unyama huo wala u dictator !! Tanzania iliyokuwa ikikemea mataifa dhalimu, Leo ndiyo inashikiwa bango. Hata haiyumkiniki. Uongozi bora si lazima kutumia vyombo vya dola na vya maamuzi vibaya. Mathayo 20: 26 - 27.
 
Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
13,040
2,000
Bunge Ulaya ni nani? Ni wapuuzi tu. Swala la mkeo hununulii chupi anavaa bra au la si swala la jirani kuja kuleta hoja kwa familia yako.
Sijajua kwanini hoja dhaifu hizi zinapata nafasi kupigiwa makofi bora kupigwa makofi na mnyakyusa kuliko makofi ya mjerumani.
Kwangu ile kauli ya Damu nzito kuliko maji inachukua mkondo
Hujui dunia inavyokwenda wewe
 
Classics

Senior Member
Mar 8, 2017
154
250
Umeandika kitoto sana. Shida unasahau hoja zote zinajibiwa kwa hoja? Kwa akili na uelewa wako? Tanzania na Israel ama Uganda nani anatakiwa awekewe vikwazo? Tatizo huwazi kwa kina kabla ya kuandika hapa. Nchi yoyote inapotaka kupiga hatua hakuna nchi inayofurahi.. Chukulia mfano wa nchi za barani afrika zilivyo .. Nchi ikitaka kujikomboa tu nyingine inaanza kununa.. Huyu JPM pamoja na mabaya yake .. Hakukuwa na haja ya vikwazo vyovyote .. Ila anapotanga kunyoosha nchi ikae vizuri wazungu wanaona masirahi yao yameenda na maji.
Eti ananyoosha nchi?1.5 tril iko wap?ndo kunyoosha nchi uko?
 
kurlzawa

JF-Expert Member
Jan 23, 2018
11,314
2,000
Bunge Ulaya ni nani? Ni wapuuzi tu. Swala la mkeo hununulii chupi anavaa bra au la si swala la jirani kuja kuleta hoja kwa familia yako.
Sijajua kwanini hoja dhaifu hizi zinapata nafasi kupigiwa makofi bora kupigwa makofi na mnyakyusa kuliko makofi ya mjerumani.
Kwangu ile kauli ya Damu nzito kuliko maji inachukua mkondo
Ona ulivyo mpuuzi
 
citymist

JF-Expert Member
Apr 5, 2015
701
1,000
Umeandika kitoto sana. Shida unasahau hoja zote zinajibiwa kwa hoja? Kwa akili na uelewa wako? Tanzania na Israel ama Uganda nani anatakiwa awekewe vikwazo? Tatizo huwazi kwa kina kabla ya kuandika hapa. Nchi yoyote inapotaka kupiga hatua hakuna nchi inayofurahi.. Chukulia mfano wa nchi za barani afrika zilivyo .. Nchi ikitaka kujikomboa tu nyingine inaanza kununa.. Huyu JPM pamoja na mabaya yake .. Hakukuwa na haja ya vikwazo vyovyote .. Ila anapotanga kunyoosha nchi ikae vizuri wazungu wanaona masirahi yao yameenda na maji.
Acha upumbavu kuaminisha watu tunapingwa kwa maendeleo!! Kikwete alikataa ushoga na misaada iliendelea. Mnapiga lisu risada, mnatoa kamera, mnajiona wajuaji!! Ushamba tu. Wabunge wako wanazidiwa hoja unazima bunge live, imagina mtoto wa mini!! Tunakuangalia tu. Unatunga sheria kandamizi za mitandao unajiona umefika. Mliuwa akwilina kesi mnampa asiekuwa hata na wembe!! Mnafunga wabunge wa upinzani na mikesi isio na kichwa wala miguu. Sasa mnataka kupitisha sheria mpovu ya vyama vya siasa, ya hovyo sawa na ushoga avitofautiani hadhi, mkapitishe kwa kodi zetu!. Mkipitisha sheria hio ni sawa na kuandaa ile arabu spring (africa string) oneni watu wakimya mnadhani ni mataahila!. Wanawatazama tu. Mkivibana vyama vya upinzani kwa sheria kandamizi mnakuwa mmeandaa mlango wa matumizi ya nguvu. Itabidi harakati za uhuru mwingine zianze. Mtatualibia nchi yetu. Mtuachie nchi yenye uwanja sawa wa kisiasa. Atutaki africa spring. Ukisoma mitandao utagungua ni kama taifa halijashikana. Hawa wanaunga serekari awa wanaunga watu wa maghalibi. Nimewakilisha mchango wangu wa mawazo.
 
Asante kwa kupumua. Na uhuru wenyewe ndio huo. Ila likija swala la maendeleo halina ubishi kwamba hujalielewa wala hutaki kulijengea hoja .
 
JF Member

JF-Expert Member
Dec 14, 2014
3,440
2,000
Kwanini umetaka tujilinganishe na Israel au Uganda . Kwa kuwaona wao ni wadhambi kuliko sisi ?!. Kwamba sisi tumeua wachache ?! Au kwamba sisi u dictator wetu haujakomaa ?!.

Come on !!. Sisi hatuhitaji hata chembe ya unyama huo wala u dictator !! Tanzania iliyokuwa ikikemea mataifa dhalimu, Leo ndiyo inashikiwa bango. Hata haiyumkiniki. Uongozi bora si lazima kutumia vyombo vya dola na vya maamuzi vibaya. Mathayo 20: 26 - 27.
Duuh .. Ulishazuiliwa hata siku moja kwenda kutafuta mkate wako? Mbona uko free tu na kila siku unadunda.. ila ukija hapa JF unaandika vitu ambavyo hujawahi kutana navyo.
 
King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
34,423
2,000
Watanzania tusikubali propaganda za kijinga hizi.!!! Tamko la bunge La ulaya lina hoja nyingine zaidi ya 14 tofauti na ushoga, watu kupigwa risasi na kukosekana uchunguzi,watu kupotea na kukutwa kwenye viroba,sheria ngumu ya mitandao,chaguzi na wapinzani kunyanyaswa,kufunguliwa kesi za kisiasa na dola,kudorora kwa haki za binadamu, wanafunzi waliopata ujauzito kupata haki ya kuendelea kusoma na mambo mengine mengi.
Zimbabwe ya Mugabe alitumia propaganda ya mashamba kuwadanganya wananchi lakini nchi ilipozama sasa wanateseka wazimbambwe wote.

Acheni propaganda jibuni hoja zote zinazosababisha nchi inakosa sifa za kupata misaada kama zamani ilivyokua, mkiulizwa mnasema kuna vibaraka wa mabeberu na nyie mnajiita wazalendo baada ya mda mchache nyie wazalendo mnaenda airport kuwapokea hao mnaoita mabeberu mnawachezea na ngoma na kuwasafishia barabara .

Mlifanya propaganda kwenye sukari kwamba imefichwa na wafanyabiashara leo bei ya sukari imepanda mmenyamaza hamsemi chochote mwananchi wa kawaida anaumia semeni ukweli. Mpango jibuni hoja za Eu bila propaganda tusaidie nchi.
Wanaume washaongea tunasubiri wakolomije wamalize kusoma mafiles kitandani.
 
herzegovina

JF-Expert Member
Oct 28, 2015
3,054
2,000
Umeandika kitoto sana. Shida unasahau hoja zote zinajibiwa kwa hoja? Kwa akili na uelewa wako? Tanzania na Israel ama Uganda nani anatakiwa awekewe vikwazo? Tatizo huwazi kwa kina kabla ya kuandika hapa. Nchi yoyote inapotaka kupiga hatua hakuna nchi inayofurahi.. Chukulia mfano wa nchi za barani afrika zilivyo .. Nchi ikitaka kujikomboa tu nyingine inaanza kununa.. Huyu JPM pamoja na mabaya yake .. Hakukuwa na haja ya vikwazo vyovyote .. Ila anapotanga kunyoosha nchi ikae vizuri wazungu wanaona masirahi yao yameenda na maji.
Ujinga wetu ni ujinga mtakatifu....Je huyo JPM hawezi kuinyoosha nchi bila:

1. Kunyanyasa/kuteka/kuua wapinzani?

2. Kubaka chaguzi?

3. Kusigina katiba?

4. Matumizi ya hovyo ya vyombo vya dola?

5. Kulipa visasi visivyo na tija?

6. Kuwaadhibu ambao hawakumchagua?

7. Kuonyesha bunge live?

8. Kula rambirambi?

Hebu nisaidie maana mimi naona JPM kajichimbia shimo mwenyewe. Wananchi hatuna umoja tena hivyo hata pale tunapotakiwa kusimama naye tunaona kuwa he is not worth it.

Over
 
Ebe

JF-Expert Member
Apr 18, 2013
707
1,000
Umeandika kitoto sana. Shida unasahau hoja zote zinajibiwa kwa hoja? Kwa akili na uelewa wako? Tanzania na Israel ama Uganda nani anatakiwa awekewe vikwazo? Tatizo huwazi kwa kina kabla ya kuandika hapa. Nchi yoyote inapotaka kupiga hatua hakuna nchi inayofurahi.. Chukulia mfano wa nchi za barani afrika zilivyo .. Nchi ikitaka kujikomboa tu nyingine inaanza kununa.. Huyu JPM pamoja na mabaya yake .. Hakukuwa na haja ya vikwazo vyovyote .. Ila anapotanga kunyoosha nchi ikae vizuri wazungu wanaona masirahi yao yameenda na maji.
Acheni kujifanya hamuoni matatizo yaliyopo, eti tunapingwa kutokana na maendeleo vitu tunavyovifanya Ethiopia wameshavifanya muda tu mbona hawajalalamikiwa? Kwani kulikuwa na shida gani yangeletwa maendeleo na ikaachwa democracy ishamili? Tena nina uhakika jiwe angepata sapoti kubwa sana kutoka kwa wananchi, kama ilivyokuwa kipindi cha miezi mitatu ya mwanzoni. Kila mwananchi alisema tumepata tuliyekuwa tunamtafuta.

Kwa ufupi kinacholalamikiwa ni demokrasia, kwa nini anashindwa kuruhusu democracy, ili tuone kama wazungu wataendelea kutuzingua hapo ndo tutajua kuna kitu wanatutafuta. Lakini kwa sasa hatuwezi kusema wanatuonea donge wakati kweli tuna matatizo. Ila anajua kwa sasa kashaharibu akiruhusu democracy wananchi watamnyosha hivyo hawezi kuruhusu.
 
white wizard

JF-Expert Member
May 18, 2011
4,464
2,000
Bunge Ulaya ni nani? Ni wapuuzi tu. Swala la mkeo hununulii chupi anavaa bra au la si swala la jirani kuja kuleta hoja kwa familia yako.
Sijajua kwanini hoja dhaifu hizi zinapata nafasi kupigiwa makofi bora kupigwa makofi na mnyakyusa kuliko makofi ya mjerumani.
Kwangu ile kauli ya Damu nzito kuliko maji inachukua mkondo
Ndio tatizo la kuwa na kichwa tupu, huku akili ziko kwa mwingine!! Yaani kuongoza nchi kihuni ndio unataka linganisha na mambo ya familia, ya kumnunulia chupi mkeo?? Ndio maana kuna katiba ambayo wananchi wamechangua njia ya kuongozwa, sio kuwa kiongozi utake sasa kujifanya watu wote ni kama watoto wako, unaamua unavyotaka!! Eti kupigwa kofi na mnyakyusa, hadi sasa asilimia 80,ya maisha yako/familia yako yana mtegemea huyo mzungu!!! Zamu hii jiwe ameshikwa pabaya, japo tunao umia ni sisi ila aone kuwa huwezi kuwa masikini ukajifanya mbabe!!!
 
bababikko

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
2,391
2,000
Bunge Ulaya ni nani? Ni wapuuzi tu. Swala la mkeo hununulii chupi anavaa bra au la si swala la jirani kuja kuleta hoja kwa familia yako.
Sijajua kwanini hoja dhaifu hizi zinapata nafasi kupigiwa makofi bora kupigwa makofi na mnyakyusa kuliko makofi ya mjerumani.
Kwangu ile kauli ya Damu nzito kuliko maji inachukua mkondo
Nakusaidia kukupa pesa kulisha familia yako lakini we we unakua mgomvi na mbabe kila Sikh kupiga watoto wako na mke bila sababu.nimepata habari hizo nasimamisha kukupa pesa then unanilaumu nisikupangie maisha ebo?nimeacha kutoa pesa ujifunze
 
Kaka Pekee

JF-Expert Member
Apr 3, 2018
320
1,000
Acha upumbavu kuaminisha watu tunapingwa kwa maendeleo!! Kikwete alikataa ushoga na misaada iliendelea. Mnapiga lisu risada, mnatoa kamera, mnajiona wajuaji!! Ushamba tu. Wabunge wako wanazidiwa hoja unazima bunge live, imagina mtoto wa mini!! Tunakuangalia tu. Unatunga sheria kandamizi za mitandao unajiona umefika. Mliuwa akwilina kesi mnampa asiekuwa hata na wembe!! Mnafunga wabunge wa upinzani na mikesi isio na kichwa wala miguu. Sasa mnataka kupitisha sheria mpovu ya vyama vya siasa, ya hovyo sawa na ushoga avitofautiani hadhi, mkapitishe kwa kodi zetu!. Mkipitisha sheria hio ni sawa na kuandaa ile arabu spring (africa string) oneni watu wakimya mnadhani ni mataahila!. Wanawatazama tu. Mkivibana vyama vya upinzani kwa sheria kandamizi mnakuwa mmeandaa mlango wa matumizi ya nguvu. Itabidi harakati za uhuru mwingine zianze. Mtatualibia nchi yetu. Mtuachie nchi yenye uwanja sawa wa kisiasa. Atutaki africa spring. Ukisoma mitandao utagungua ni kama taifa halijashikana. Hawa wanaunga serekari awa wanaunga watu wa maghalibi. Nimewakilisha mchango wangu wa mawazo.
Asante sana kwa kunisaidia kumjibu. Nilishaacha kujibu watu wa dizaini hii.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom