Comreds hi! Hopes twajilinda vyema kwa kutulia nyumbani na Ku take precautions kwa kuvaa mask na kunawa mikono kwa sanitizers.
Kwa ufahamu wangu sote tuko chini ya Katiba inayotuongoza. Kuikanyaga katiba kwa sisi watu wa imani nisawa na kumkufuru Roho mtakatibu .
Mwalimu Nyerere aliwahi sema...
Meya Jacob wa manispaa ya ubungo amesema yeye bado ni mwanachama halali wa Chadema na kwamba mkurugenzi wa manispaa hiyo ametumia katiba ya zamani ya Chadema ambayo ilishafanyiwa marekebisho kumuengua.
Bonny anasema aliletewa barua ya kufukuzwa umeya jana Jumapili saa 3 usiku nyumbani kwake...
Rais Magufuli anatangaza kifo cha Waziri wake wa Katiba na Sheria, Balozi Dkt. Augustine Mahiga aliyefariki leo alfajiri Mei 01, Jijini Dodoma
Taarifa iliyotolewa na Ikulu imesema Waziri huyo aliugua ghafla akiwa nyumbani kwake na alifikishwa hospitalini akiwa tayari ameshafariki dunia...
Ndugu wanajamvi kuendana na kichwa changu cha habari, najaribu kuuliza uimara wa kiuchumi uliokuwepo 1977 wakati tunapata katiba hii, na uimara wa uchumi uliokuwepo 2011-2014 wakati wa mchakato wa katiba mpya chini ya rasimu ya Warioba? Kuna lugha tuliyopewa siku mbili hizi na serikali kuwa...
Ndugu wanabodi nimetafakari jinsi tulivyouziwa mbuzi kwenye gunia tukampata kiongozi wa sasa ambaye mambo mengi anayofanya si tu yanakiuka manifesto ya chama chake lakini pia wananchi hatukupata nafasi ya kuelezewa kwa kina yale amabayo angefanya.
Kama tungefanya mdahalo tungeweza kumpima huyu...
Ameandika Zitto Kabwe:
"Mahakama Kuu imetoa hukumu kuwa Rais wa Tanzania anaweza kushtakiwa kwa makosa ya uvunjaji wa Katiba. Jaji Lameck Mlacha ametoa hukumu hiyo katika hukumu ndogo kwenye shauri nililofungua kumshtaki Rais @MagufuliJP kwa kumvua uCAG Prof. Assad. Shauri la msingi...
Tumemsikia wenyewe aliyekuwa mwanachama wa CCM, Bernard Membe akidai kuwa katika kufukuzwa kwake CCM, Katiba ya chama chake haikuzingatiwa
Kwa maelezo yake, kikao pekee chenye uwezo wa kumfukuza mwanachama yeyote wa CCM, ni Halmashauri Kuu ya CCM, jambo ambalo haliikufanyika, badala yake ni...
#WikiYaSheria2020
TAREHE 6, FEBRUARI, 2020
UKUMBI WA KIMATAIFA WA MAKONGAMANO WA MWL. JULIUS NYERERE DAR ES SALAAM
Ndugu Mh. Mgeni Rasmi, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. John Pombe Joseph Magufuli
Mh. Jaji Mkuu, Prof. Ibrahimu Juma,
Mh. Waziri wa Katiba na Sheria, Balozi...
Binafsi nimeshindwa kumuelewa kabisa huyu bwana mkubwa wa CCM.
Maneno aliyo yaongea na elimu aliyo nayo sidhani kama vinaendana.
HOTUBA YA DR. BASHIRU KWA UFUPI
CCM inatoa salamu za mwaka mpya 2020, niwahakikishie watanzania kuwa tutaongoza siasa safi,ni mwaka wa kuheshimu maoni na uamuzi wa...
Kiukweli watu hawa ambao si madiwani tena baada ya wao wenyewe kutangaza hadharani na kuandika barua za kujivua udiwani na uanachama wa CUF na kuhamia CCM hawakupaswa kuendelea kuhudhuria vikao vya baraza la madiwani.
Mkurugenzi wa Jiji la Tanga kaamua kujitoa akili na kueleza kwamba hana...
Katiba ya Tanzania, Ibara ya 41 (6) inasema Mgombea yeyote wa Kiti cha Rais atatangazwa kuwa amechaguliwa kuwa Rais iwapo tu amepata Kura Nyingi Zaidi kuliko Mgombea mwingine yeyote
Katiba ya Kenya, Ibara ya 165 (4) inasema Mgombea atatangazwa kuwa Rais Mteule ikiwa atakuwa amepata zaidi ya...
Kwakweli sielewi hiki kipengele kinachozuia matokeo ya urais kupingwa mahakamani kina Nia njema ipi.
Yani katika mazingira ya Tanzania ya Sasa yenye uvunjifu wa sheria zote pamoja na haki za binadamu bado kipengele kama hiki tukione kina nia njema kweli? Nitakuwa was mwisho kuamini .
Vyama vya...
Wimbo wa Taifa ni moja ya "tunu" zilizoainishwa kwenye Katiba. Kitu kikiitwa 'tunu" sifa kuu ni kuheshimiwa. Heshima kwa wimbo wa Taifa ni pamoja na kutouimba sehemu isiyostahili, kutobadili maneno, tune au mpangilio. Kwa mfano huwezi kuimba wimbo wa Taifa kwenye mazishi ya mbwa wako au...
Wananchi wengi wa nchi hii wanatamani nchi yetu iwe na Katiba mpya ambayo itaendana na nyakati hizi, tofauti na Katiba tuliyo nayo hivi sasa ambayo ilitungwa mwaka 1977, ambayo wananchi wengi wanaiona kuwa haikidhi matakwa ya sasa ya kisiasa na kijamii
Wakati wananchi wengi wanatamani nchi yetu...
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), Joseph Butiku, amesema kuna haja kwa wanataaluma nchini kuanza kuzungumzia mchakato wa katiba mpya kuliko kukaa kimya, kwani ulitumia fedha nyingi.
Aliyasema hayo jana, wakati wa kumbukizi ya Siku ya Uhuru wa Tanzania Bara katika Chuo...
Kutokana na mienendo ya kisiasa inavyokwenfa nchini kwetu, kuna tetesi kuwa watawala wetu wako mbioni kurejesha mfumo wa chama kimoja
Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ya mwaka 1977, ibara ya 3(1) inatamka kuwa "Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, itaendeshwa katika mfumo wa...
Msajili wa vyama vya siasa nchini Jaji Mutungi amesema anafuatilia kwa makini sana uchaguzi wa viongozi wa CHADEMA kuhakikisha katiba inafuatwa na haki inatendeka kwa wagombea wote.
Msajili amesema endapo katiba itakiukwa kwa makusudi basi uongozi utakaochaguliwa utakuwa ni batili na...
Vitimbi na vituko vikivyotokea katika uchaguzi wa serikali za mitaa, mpaka kupelekea CCM kudai kushinda kwa asilimia mia moja serikali za mitaa na 99.8 vijiji.
Hizo ni njama zilizopangwa kuwahadaa Watanzania na ulimwengu wa kimataifa ionekane kuwa CCM na Rais Magufuli wanakubalika sana hivyo...
Bernard Membe, Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje wa Tanzania
CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kimemuonya Benard Membe, kutokuwa juu ya katiba ya chama hicho. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea).
Onyo hilo limetolewa leo tarehe 27 Novemba 2019 na Dk. Bashiru Ally, Katibu Mkuu wa CCM, wakati...