katiba

  1. Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Chama cha ACT-Wazalendo chapokea 21 waliokuwa Wabunge wa CUF

    Salaam Wakuu, Leo Muda si Mrefu, Viongozi Wakuu wa Chama cha ACT Wazalendo kitaongea na Wananchi na Dunia kwa Ujumla. Ni tukio kubwa haijawahi kutokea. ====== UPDATES: 1048HRS: Kwa sasa ni Burudani inaendelea 1100HRS: Viongozi Wakuu wa ACT Wazalendo wanaingia Ukumbini wakiongonzwa na Zitto...
  2. Wadau mbalimbali watoa maoni kuhusu Bunge la 11 lilivyokuwa. Wengine wasema lilikiuka sana Katiba na kuibeba Serikali badala ya wananchi. Wewe je?

    Mchambuzi wa masuala ya Katiba, Sera, Siasa na Maendeleo ya Watu, Mcheleli Machumbana, alisema kwa miaka mitano ya Bunge la 11 lilikuwa na upitishaji wa sheria zinazokinzana na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. “Kwa mfano Bunge limeweka kinga ya kupindukia kwa viongozi wakuu wa nchi...
  3. Q

    Askofu Bagonza: Tume Huru, Mgombea Huru na kumbukumbu ya Kuzaliwa TANU

    TUME HURU na MGOMBEA HURU 2020 ni mwaka wa Uchaguzi. Kama huchaguliwi basi unachagua. Kama hupigiwi kura na hupigi kura lazima kuna sababu inayokuzuia. Kuna watu wengi wanaruhusiwa kupiga kura lakini hawaruhusiwi kupigiwa kura. Wana haki ya kuongozwa tu lakini hawaruhusiwi kuongoza. Katiba...
  4. Msaada: Namna ya kuitafsiri na kuisoma Katiba

    Kuomba msaada wa kujua Jambo naamini si ujinga. Kwenye katiba kuna kitu kinaitwa ibara na sheria ndogo za mwaka Fulani. 1: Ibara Ni Nini? Na ibara za katiba zinapatikana wapi? >>Ibara ndogo Ni Nini na zinapatikana wapi? 2: Sheria ndogo Ni zipi na zinapatikana wapi? Na kwenye katiba, unakuta...
  5. Wakati Umma wa watanzania unatamani tuwe na Katiba mpya iliyoboreshwa, watawala wao wanaendelea kututungia sheria za ukandamizaji!

    Kilio cha muda mrefu cha Umma wa watanzania ni tuwe na Katiba mpya ya nchi ambayo itakuwa imepanua wigo wa demokrasia na kuleta utawala bora, ambao ni utawala wa sheria Ndiyo maana katika vitu ambavyo Rais aliyepita, Jakaya Kikwete, angeingia katika rekodi za kutukuka ni kama angefanikiwa...
  6. Warusi wengi waunga Mkono mabadiliko ya katiba

    Rais wa Urusi Vladmir Putin amesema Warusi wengi zaidi wameunga mkono mpango wake wa mabadiliko ya katiba ili kumpa mwanya wa kubakia madarakani, Putin amesema Raia wengi nchini humo wamekubali mpango huo ambao utamwezesha Putin kusalia kwenye kiti cha Urais
  7. Kubadilisha Marais & vyama vingi ndio sababu pekee ya kukua kwa uchumi wa Tanzania

    Pamoja na mambo mazuri mengi ambayo Mwalimu Nyerere aliyeyafanya ambayo pengine hayatakuja sahaulika hata kizaizi na kizaizi lakini Tanzania imerudi nyumba sana kipindi cha Mwalimu Nyerere kutokana na kukaa muda mrefu madarakani. Laiti kama Nyerere angeachia madaraka mapema na kuruhusu vyama...
  8. J

    Rais Magufuli: Watanzania mniombee ili nimalize vizuri kipindi changu cha uongozi kama ilivyo kwenye katiba baada ya hapo niwaachie wengine

    Hizi ni kama salamu kwa Ndugai na wale wengine wenye nia ya kubadilisha Katiba ili kuongeza muda wa Rais kukaa madarakani. Leo jijini Dodoma katika sherehe za uzinduzi wa wa barabara katika mji wa kiserikali yenye urefu wa kilomita 51.2, pamoja na uzinduzi wa Jengo la ofisi za TARURA mji wa...
  9. Kusema hakuna mtu wa kuvaa viatu vya Urais baada ya Dkt. Magufuli ni kukosa akili

    Kuna watu wataleta nyuzi za kishamba sana eti haoni mtu wa kuvaa viatu vya Urais baada ya miaka 5 au 10 ya Dr Magufuli. Sisemei Dr Magufuli hajafanya kazi , la hasha, Kajitahidi na kachapa kazi ila Tanzania ina watu mil 58 , naamini kuna watu Zaidi ya mil 1 wanaoweza kufanya vizuri kwenye kiti...
  10. M

    Katiba ipo ili iwafae watu na si kinyume chake

    Yahusu Mabadiliko ya katiba. Ikiwa kipo/vipo vifungu vya katiba ambavyo havitufai kwa mahitaji ya nyakati, tunaweza kabisa kunyofoa vifungu hivyo tukabandika vifungu/kifungu ambacho kitatufaa. Sioni sababu ya msingi kung'ang'ania na kushupaza shingo juu ya kifungu...
  11. Ona katiba mpya ya Kenya inavyowatesa Wakenya

    Kamwe fahari wawili hawawezi kaa zizi moja. Katiba yao mpya iliweka fahari zaidi ya watatu katika zizi moja. Ona sasa mambo ya utawala wa nchi unavyokuwa mgumu.
  12. Muswada wa Marekebisho Sheria-2020: Unajua watu hawataweza kudai haki kwa niaba ya Wanyonge? Viongozi wa juu Serikalini hawatashtakiwa moja kwa moja!

    Asasi za Kiraia 220 zimefanya uchambuzi wa muswada huo wa sheria na kuwasilisha mapendekezo ya mabadiliko ya muswada huo kwa Kamati ya Bunge ya Katiba na Sheria. Taasisi hizo zimeeleza kuwa japo kuwa zinafahamu muswada huo una lengo wa kusasisha Sheria iliyopo sana huku ikibaki kuendana na...
  13. Mabadiliko ya Sheria: Rais, Makamu wake, Jaji Mkuu, Waziri Mkuu na Spika wa Bunge kutofunguliwa kesi Mahakamani

    MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) kwa kushirikiana na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) wamepinga muswada wa sheria wa marekebiaho ya sheria mbalimbali nchini namba 3 wa mwaka 2020. THRDC na LHRC wametoa tamko la kupinga muswada huo leo Alhamisi tarehe 4 Juni 2020 mbele...
  14. GE2020 Je, CCM itaruhusu wanachama wake wachukue fomu za kugombea Urais kama Katiba yao inavyoelekeza?

    Hili ni swali tu ndugu zangu na wala halina uhusiano na jambo lolote lile. Maana tumeanza kuona vyama vingine vya siasa vikiruhusu watia nia kujitokeza na kujitangaza. Je, CCM nayo itafuata misingi ya demokrasia kama dunia na katiba ya nchi inavyoelekeza?
  15. J

    Nimeipitia katiba ya CHADEMA hakuna namna Mwenyekiti anavyoweza kugusa fedha ya chama bila baraka za kamati kuu

    Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Nimeichambua taratibu katiba ya Chadema ibara kwa ibara na nimejiridhisha hakuna pahala panapotoa fursa Mwenyekiti wa chama kujihusisha directly na fedha za chama. Katiba inatoa fursa ya Mwenyekiti kuongoza vikao vitakavyoamua fedha za chama zitumikeje...
  16. GE2020 Sioni wa kutuletea katiba sio Magufuli wala Mbowe

    Watanzania tunatakiwa kujitoa kuitafuta katiba na tume huru kwa udi na uvumba wanasiasa wetu mnawajuwa wenyewe. tunatakiwa kuingia barabarani maelfu kwa mamia kudai katiba ya warioba na tume huru ya uchaguzi. Ni aibu sana kizazi cha 1980 kuja leo kuwa na katiba mbovu kiasi kile hata watu mil...
  17. Tumsadie Lijualikali na wengine kuzijua Katiba za Vyama vya Siasa

    Hii ni katiba ya CHADEMA kila anayejiunga na chama hiki nikuwa amesoma ameikubali, na unapochukua fomu ya kugombea uongozi ni lazima unakuwa uneikubali kwanza Katiba ya Chama. Sasa kelele za Lijualikali hazina maana zaidi ni propaganda za waliomrubuni asaliti chama tu na mkumbuke Lijualikali...
  18. Je, mwanasiasa anayepewa kinga na ya kutoshtakiwa na Katiba ya nchi yake anaweza kushtakiwa kwenye nchi nyingine akistaafu?

    Wanaojua sheria za kimataifa hivi mfano Mimi ni rais halafu kwa sheria zetu ninakinga ya kutoshtakiwa kwa Mambo niliyoyafanya nikiwa madarakani. Je, siku nikiondoka madarakani halafu nikaenda India kutibiwa kwa mfano? Je, wanaonitafuta wanaweza kunifungulia mashtaka nikiwa kwenye ardhi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…