katiba

  1. JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu Shaka: CCM haina mpango wa kushughulika na Katiba Mpya, kipaumbele ni kujenga nchi

    CCM yasema haina agenda ya katiba mpya kwa wakati huu, kipaumbele chake ni kujenga nchi. - Wanasiasa waache kuitumia agenda hiyo kama turufu ya kuwahadaa wananchi. "CCM haina agenda ya katiba mpya kwa wakati huu badala yake kipaumbele zaidi kimewekwa katika kujenga nchi kwa ukamilishaji wa...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kumshikirikisha Rais Samia hoja ya Katiba mpya, tumhoji sababu za mchakato wa awali kufia mikononi mwake na Mzee Samuel Sitta

    Tunaweza tukawa tunataka ku-push agenda tukiamini tunayetaka kumfikishia agenda hiyo ni mgeni na anahitaji vikao vyakumpitisha kwenye kile tunachokita. Naomba niwaambie we are wrong, hakuna sababu ya kikao kumfikishia ujumbe Mhe. Rais kuhusu katiba. Yeye anafahamu mwanzo mwisho wa mchakato...
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wanaposhindana kuijua Biblia na Koran badala ya Katiba na Sera za Nchi

    Tangu awamu ya 4, 5 na sasa awamu ya 6 hali imekuwa kutoa mifano ya Biblia na Koran, Bungeni na majukwaani. Wanasiasa wanaotoa hotuba zinazostahili kuwa msikitini na kanisani. Leo hii mkuu wa mkoa wa Mwanza anamwita rais Samia ni mtumishi aliyeletwa na Mungu. Sijui anatutisha au anajisemea...
  4. JamiiForums Tanzania Rais wa Kenya akifariki akiwa madarakani Katiba inasemaje? Utulivu Utakuwepo?

    Kila siku nimekuwa nikijaribu kutafakari hali iliyotokea Tanzania au Malawi au Zambia au DRC au Rwanda au Burundi au Msumbiji ya viongozi wakuu wa nchi kufa wakiwa madarakani. Kwa nchi hizo nilizo zitaja, muitikio su matokeo yalikuwa tofauti tofauti. Nchi nyingine ulikuwa mwanzo wa vurugu na...
  5. S

    JamiiForums Tanzania President fined - Tunahitaji wengine wasiwe Juu ya sheria hapa TZ.

    Brazilian President Jair Bolsonaro was fined $100 Jana Jumamosi for violating Covid-19 containment measures in Sao Paulo state by failing to wear a face mask and provoking huge crowds at a motorcycle rally for supporters. Na juzi polisi mmoja hapa Dar aliwakamata polisi waliokuwa wakitumia...
  6. P

    JamiiForums Tanzania CHADEMA endeleeni kuelimisha kuhusu umuhimu wa Katiba Mpya

    Kwanza hongera kwa kuleta wazo hilo lakuomba uwepo wa uhamasishaji na elimu kwa wananchi kuchangia kupata katiba mpya ikiwa serikali itasingizia uviko umeshusha uchumi. Ni wazo zuri na la kizalendo kwa kinga ya vizazi vijavyo. Ushauri wangu muondokane na agenda yakujinga kwa uchaguzi 2025...
  7. JamiiForums Tanzania CHADEMA yashauri kuwe na kodi ya Katiba Mpya ili mchakato wa Katiba uendelee

    Kauli hii ya Kizalendo imetolewa na Katibu Mkuu wa CHADEMA Mhe. John Mnyika , wakati akiongea na Waandishi wa Habari wa ndani na nje ya nchi kuhusu Umuhimu wa Katiba Mpya kuliko jambo lingine lolote kwa sasa . Mh Mnyika amesema kwamba ikiwa Serikali yetu haina hela za kugharamia Mchakato huu...
  8. JamiiForums Tanzania Katiba ya Chama chetu haifai na hatuna legitimacy kudai katiba mpya ya JMT

    Fikiria kuwa na katiba ambayo inampa madaraka mwenyekiti kufanya chama kama mali yake. Anafanya madudu hata kiasi cha kupiga madili na kumpa Lowassa gap la kugombea. Anakaa madarakani mpaka anapoona hana ushawishi ndio anaamua kung'oka. Hatuna legitimacy kudai katiba mpya.
  9. JamiiForums Tanzania Asante Rais Samia kwa kuwasisitiza watendaji wa vyombo vya haki kuwa haki sio hisani, bali ni stahiki. Watende haki, tubadili Katiba kurudisha haki

    Wanabodi, Kila siku za Jumapili, huwa ninaandika makala za "Kwa Maslahi ya Taifa", makala ya wiki hii ni kuhusu hoja ya "Haki sio hisani, ni stahiki". Japo hakuna binaadamu yoyote anayefurahi kifo cha mtu yoyote, kifo chochote kinapotokea, kinahesabika ni mpango wa Mungu, na kama kawaida watu...
  10. JamiiForums Tanzania Ally Bananga: Nina kiapo na mke wangu, nitamlinda kwa gharama ya damu yangu

    "Mimi ni mwanachama wa CHADEMA, Suala la wabunge 19 wa viti maalumu ambao Chama chetu kinasema hakiwatambui, mke wangu (Hawa Bananga) pia ni miongoni mwao na katika vitu ambavyo nimekuwa nikijiepusha kuvizungumza ni suala hili kwasababu bado maamuzi yako ndani ya chama, Kuliweka hili kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Asante Maxence Melo kwa kumuomba Rais Samia Suluhu Hassan Katiba Mpya LIVE

    Kwa heshima naomba nkuvulie kofia niliyovaa wakati huu naandika huu uzi. Wakati historia inaandikwa juu ya upatikanaji wa katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Maxence Melo tutamtambua kama prominent figure wa kwanza kabisa kutoka hadharani na kumuomba Mheshimiwa Rais Mama yetu...
  12. JamiiForums Tanzania Nigeria: Katika harakati za kubadili Katiba, mmoja wa raia apendekeza jina la Nchi hiyo libadilishwe

    Kwa takriban wiki mbili, Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wamekuwa wakikusanya mapendekezo ya kubadili Katiba ambapo mmoja wa raia amependekeza kubadili jina la Nchi hiyo kuwa United African Republic (Jamhuri ya Muungano Afrika). Jina Nigeria lilipendekezwa mwishoni mwa karne ya 19 na Mwandishi...
  13. JamiiForums Tanzania KATIBA MBONA IPO?

    1. Kwanza tujiulize, KATIBA ni nini? 2. Herufi hizi tatu.....Ka, Te na Be, ukizibadilisha irabu, utasoma maneno mengine. K.v...... KITABU, KATIBU, KUTUBU n.k; badala ya neno LA awali KATIBA 3. Mimi sipingi KATIBA MPYA, bali nataka tuonyeshane hiyo KATIBA MPYA yenyewe iko je, na Pahala ilipo...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Tanzania yahitaji mabadiliko ya Katiba

    26 May 2021 Nairobi, Kenya MAHOJIANO EXCLUSIVE NA MWANASIASA FREEMAN MBOWE TOKA TANZANIA Maureen Medza akimkaribisha ktk mahojiano exclusive yaliyofanyika kupitia chombo cha media ya Mwanzo TV nchini Kenya akiongea na Freeman Mbowe . Anazungumzia hali ya kisiasa iliyopo nchini Tanzania...
  15. JamiiForums Tanzania Niseme tu Katiba Mpya tusubiri miaka 100 mbele, kizazi hiki hakina uwezo wa kuisimamia hiyo katiba mpya inayodaiwa

    Napingana sana na wana harakati na waumini wanao dai sasa nchi inahitaji katiba mpya ili iweze kwenda mbele.Mimi napingana nao kwa sababu kuu zifuatazo 1. Kwa sasa kudai uandaaji wa katiba mpya ni kupoteza fedha na muda kwa sababu sisi kama nchi bado hatuna uwezo wa kuisimamia hiyo katiba mpya...
  16. JamiiForums Tanzania Mnaopinga Katiba mpya, tupeni madhara yake na sisi tujue

    Tanzania ina viumbe wa ajabu!! ,watu wanaotazama leo yao tu na kesho haiwahusu kabisa. Ninamshangaa sana watu wanaokataa katiba mpya na kudai hii ya zamani inatosha au eti Rais Samia anatosha kwa sasa. Hajiulizi kikimtokea kilichomtokea mwendazake nani atakuwa na moyo kama wake! Mpole, mwelewa...
  17. JamiiForums Tanzania Katiba Itamke: Kiongozi yeyote wa kisiasa asimfukuze kazi mtumishi wa umma

    Taja yangu haijafuata protoko ila ninachomaanisha, katika utumishi wa umma kumekuwa na hawa mabosi ambao wengi wao sio wanataaluma katika nafasi walizonazo ila wana power kubwa sana kwa watu ambao ni wanataaluma. Unakuta DC anamwagiza DED amsimamishe kazi labda Mhasibu. Hapo unakuta DC hajawahi...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Hivi katiba mpya ni hisani ya kutoka Kwa mtawala ama ni takwa kisheria?

    Nauliza tu Kwa watalaamu wa Sheria zetu Kuwa na katiba mpya, ni hisani ya mtawala kukuubali kusimamia kitu hichi ambacho kwayo takwa hili halimo kwenye Ilani iliyomweka madarakani Kama siyo huruma na hisani ya mtawala kupokea Jambo hili na kuamua kulifanyia kazi, Kwa nini kila anayesimama na...
  19. JamiiForums Tanzania Ni kosa la kustahili kutekwa kudai Katiba mpya Tanzania?

    Katiba ya inchi ni makubaliano au utaratibu unaowekwa na wananchi wote namna gani taifa lao litawaliwe. Content kubwa ya katiba iliopo tume rithi kutoka katiba ya ukoloni. Wakati wa uongozi wa awamu ya nne ya Urais chini ya mweshimiwa Rais Kikwete kulianzishwa mchakato wa katiba mpya. Bahati...
  20. JamiiForums Tanzania Katiba yetu ni bora sana isinajisiwe kwa masilahi ya wanasiasa imetuvusha kwenye kipindi kigumu sana

    katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nzuri Afrika na Duniani imejidhihirisha kuleta Amani na utulivu ndani ya nchi yetu mfano mzuri ni mwaka huu ambapo Taifa liliingia kwenye majaribu makubwa lkn kwa mjibu wa katiba yetu nzuri na bora tumevuka salama Tumevuka nyakati ngumu sana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…