katiba

  1. M

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya sawa, lakini unadhani watu wengi wana weledi wa kutosha: Case Study South Africa

    Naitazama katiba mpya kama swala lenye ulazima na tija sana katika uendeshaji wa nchi: Sababu kuu ni moja sheria zetu nyingi zinapwaya na kuhitaji marekebisho kila mara ila sidhani kama kuna mambo muhimu matatu ya kushughulikia nchi hii Katiba itaingia katika miaka mitatu ijayo. Nadhani kuwe na...
  2. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kibonzo kuhusu katiba mpya na iliyopo

  3. Ibrah

    JamiiForums Tanzania Kinga kwa Rais aliyeko madarakani na wastaafu ni kichocheo cha uvunjaji haki, Iangaliwe upya

    Katika nchi yetu kuna sheria za ajabu sana, mojawapo ni hii ya kumlinda Rais Mstaafu kutokana na makosa aliyoyafanya akiwa Rais. Habari juu ya Ufisadi uliofanyika katika awamu ya tatu ya Uongozi wa nchi yetu ni dira tosha ya kutufanya tufikirie upya juu ya Kinga ya Rais Mstaafu ya kutoshitakiwa...
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Jaji Warioba kuhusu Katiba Mpya

    ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, amepigilia msumari kuhusu umuhimu wa Katiba Mpya, na kutaka maoni ya wananchi yasipuuzwe kwa kuwa ndiyo mara ya kwanza walishirikishwa kuitengeneza. Akihojiwa jana kwenye kipindi cha dakika 45 kinachorushwa hewani na...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mzee Warioba: Corona, Katiba na Miito ya Busara

    Utu uzima dawa, na ya kale ni dhahabu. Mzee Warioba ni mtu wa kuonwa kwa ushauri (consultation) na wote wenye nia njema na nchi hii na hasa wale walio wazalendo. Hii ni kwa wote tokea serikalini na hata wanaopambania kupatikana katiba mpya. Mzee Warioba yuko wazi kuhusu umuhimu na udharura...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Katiba iundwe na wataalamu sio wanasiasa

    Hakuna katiba ambayo itafanikiwa kama hatutabadilisha mfumo. Katiba iundwe draft yake iandaliwe na wataalamu pekee wenye uzoefu kwa manufaa ya nchi kama walivyofanya Kenya. Tukiweka wanasiasa hatutaweza kamwe kupata katiba nzuri maana wataweka manufaa ya Chama mbele ya manufaa ya nchi...
  7. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Sakata la majanga ya Moto yanayoendelea yatazima upepo kudai Katiba Mpya?

    Wakuu Kwema! Mfuatano wa Matukio ya Moto Kwa sasa unatafakarisha Sana. Je Matukio hayo yatafanikiwa kupoteza uelekeo wa upepo wa Katiba Mpya? Karibuni tujadili.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Corona, Katiba - Hatujishangai Wenyewe?

    Mkapa anapoelekea kutimiza mwaka 1 tangu kututoka yafuatayo ni baadhi ya mawaidha kutokea Mkapa foundation: 1. Wanathamini msukumo wa Mama Samia kupambana na janga hili la Corona kisayansi 2. Wanathamini msukumo mpya wa serikali kuelekea chanjo 3. Wanaelezea umuhimu wa chanjo 4. Wanaelezea...
  9. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Jinsi Serikali ya Hayati Magufuli ilivyoichezea Katiba ya Nchi, inatia uchungu

    Tukiwa katika kupigania katiba mpya nimejikuta natafakari jinsi serikali ya Magufuli ilivyoichezea katiba ya nchi. Hii ni sababu tosha tunahitaji katiba mpya ya kuweza kuchukua hatua kali dhidi ya mhujumu wa katiba. Katiba iliyopo imeweka kinga kwa Rais. Kwa nini ajiwekee kinga kama anafanya...
  10. Q

    JamiiForums Tanzania Prof. Mussa Assad: Katiba Mpya ni Muhumu, itamjenga Rais na haitampunguzia chochote

  11. Suphian Juma

    JamiiForums Tanzania Uchumi kwanza, Katiba isubiri. Acheni chokochoko!

    UCHUMI KWANZA, KATIBA ISUBIRI. ACHENI CHOKOCHOKO. Ilikuwa asubuhi na mapema mwezi uliopita wa Sita mwaka huu 2021 naamka na kukutana na ujumbe wa simu kutoka kwa rafiki yangu James Michael, Afisa TEHAMA wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Kagera__"Kaka Suphian naona CHADEMA wakisapotiwa na...
  12. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Hata wana CCM tunashituka: Katiba ya kuwapa viongozi immunity!

    Ni wazi sasa hivi kwamba Katiba imekuwa ikifanyiwa maraekebisho ya mara kwa mara, kwa convenience ya watu na siyo manufaa ya moja kwa moja ya nchi. Serikali ilipitisha miswaada na kupitisha Bungeni merekebisho ya Katiba hivi karibuni ili viongozi wa juu kabisa akiwemo Rais, Makamu wa Rais...
  13. Terrible Teen

    JamiiForums Tanzania Kundi kubwa la wanaodai Katiba Mpya hawajui wanachokitafuta na hawana kazi ya kufanya

    Unafiki wa Watanzania umeendelea kudhihirika baada ya kifo cha JPM na kuingia madarakani kwa Mhe. RAIS. SSH. JPM alitumia udikteta kunyamazisha kila sauti na hakuna aliyedai Katiba mpya wala nini. Aidha, kwa udikteta huohuo aliharibu uchumi na haki za kiraia bila ya kuulizwa. Leo ameingia...
  14. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Kisingizio cha kutuletea maendeleo isiwe sababu ya kutunyima katiba itayoleta haki kwenye Taifa letu

    Hivi kwa akili ya kawaida tu kuna tatizo gani kufanya implementation ya rasimu ya katiba ya Jaji Warioba kisha taifa likawa na katika ambayo itaondoa manug'uniko katika taifa. Kila kitu kipo tayari kimeshapikwa ni suala la kupakua tu na kuweka mezani. Rasimu ipo na ilishatoa mapendekezo...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Dr. Diallo: Katiba inatengenezwa na Wananchi siyo Wanasiasa, 2014 tuliikosa katiba mpya kwa ubinafsi wa wanasiasa CCM ikiwemo!

    Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza Dr. Anthony Diallo amesema ni makosa makubwa na hatari sana kuwaachia wanasiasa watengeneze katiba ya nchi. Diallo amesema wanasiasa ni wabinafsi hivyo lazima wajipendelee ndio maana katiba ni lazima itengenezwe na wananchi wakisaidiwa na Wataalamu kama...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Madai ya Katiba Mpya: Viandaliwe vipeperushi kuhusu umuhimu wa Katiba Mpya na visambazwe mitaani na sehemu zenye mikusanyiko

    Mbali na kutumia mitandao na makongamano au mikutano kudai Katiba Mpya, nashauri wanaharakati, wanasiasa na wadau wengine waandae vipeperushi vyenye kueleza umuhimu wa katiba mpya na kuvisambaza kadri inavyowezekana. Vipeperushi vieleze mapungufu yaliyoko katika katiba ya sasa na hatari au...
  17. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Naona kuna kila dalili ya Prof Jay kutimkia CCM

    Wakati wakina Lema na Chadema wakishinda mitandaoni kusaini petition kadhaa wakitaka Diamond afungiwe, Profesa Jay yeye anapiga show na vijana waCCM (Nandy, Diamond , Weusi nk). Wasanii ambao kwa mujibu wa Chadema ni moja ya watu waliotumika kuingiza mamlakani utwala dharimu wa CCM. Wakati...
  18. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Jaji Mutungi mwambie Rais ukweli kuwa kauli yake ni kinyume na Sheria na Katiba ya JMT

    Baada ya purukushani za mitandaoni wiki nzima kati ya wanaharakati, wanasiasa na Serikali kuhusiana malalamiko mbalimbali ya kisheria na kikatiba. Hili lilipelekea matamko, vitisho, kejeli na kashfa mbalimbali kutoka katika majukwaa mbalimbali na hata kufikia jana tulijionea kuwa Kada wa Chama...
  19. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Mbatia: Bunge ni mtoto wa Katiba, Mahakama ni mtoto wa Katiba, Serikali ni mtoto wa Katiba

    Penda tusipende, Katiba mpya ni Takwa la Wananchi wa Tanzania. Bunge ni mtoto wa Katiba, Mahakama ni mtoto wa Katiba, Serikali ni mtoto wa Katiba. Kwa kawaida mama anamzaa mtoto, mtoto hamzai mama na mama ni Watanzania, ndiyo wenye Katiba-M/kiti NCCR-Mageuzi, James Mbatia.
  20. Jumbe Brown

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya Rais wa Haiti Jovenel Moise na funzo kwa Katiba yetu bora ya mwaka 1977

    Ubora wa Katiba yetu ya mwaka 1977 na yaitwayo madaraka makubwa ya Rais. Funzo kwa wenzetu nchi ya haiti na kumpunguzia rais wao madaraka. Je, watungaji (constitutional framers) wa katiba ya 1977 ya JMT walikosea kumpa rais wetu madaraka makubwa? Kufuatia mauaji ya rais wa nchi ya Haiti...
Back
Top Bottom