katiba

  1. McLaren

    JamiiForums Tanzania Jaji Chande: Katiba Mpya ipatikane hadi ifikapo 2028. Uchaguzi wa 2030 tuwe na Katiba Mpya

    Ameyasema hayo wakati akiwasilisha Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, tarehe 23 Aprili, 2026, Dar es Salaam ambapo Tume hiyo imetoa mapendekezo yake Mapendekezo ya Tume ya Jaji Chande Serikali kuweka...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Jaji Chande: Katiba Mpya ipatikane kabla ya mwaka 2028

    Mwenyekiti wa Tume, Jaji Mohamed Chande Othman, amesema ni maoni ya Tume kwamba ni muhimu Katiba Mpya ipatikane ifikapo mwaka 2028 ili iweze kutumika katika uchaguzi ujao wa Serikali za Mitaa mwaka 2029 pamoja na Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2030. "Maoni ya Tume kwamba ni muhimu Katiba Mpya ipatikane...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania haitakuwa moja mpaka katiba mpya tena nzuri

    Tanzania haitakuwa moja mpaka katiba mpya tena nzuri. Katiba ikiwa na hawa machawa na mafisadi tutakuwa palepale. Inatakiwa katiba itengenezwe kwanza na wataalamu kwa kuzingatia kaya na uchumi wa taifa ndiyo wapewe wanasiasa. Hawa brain zero wabunge na machawa hakuna kitu hapa tutapata madudu...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Maono ya jicho la tatu: Namuona Dkt. Asha-Rose Migiro mbali sana , akiwa Mwenyekiti wa bunge maalumu la katiba na baadae Rais wa Jamhuri yetu

    Jicho la tatu ambalo kikawaida linaona zaidi ya uono wa kawaida na mara nyingi linaona mbali kiasi kwamba anayeona anaweza kudhaniwa ni nabii. Wengine wamejaliwa karama ya matumizi sahihi ya jicho hili. Katika kuangazia mambo mbalimbali, Leo jicho langu la tatu linamuona Dkt.Asha.rose Migiro...
  5. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Maridhiano bila katiba mpya ni kuendelea kuwapa ulaji CCM ya Samia na akina Kizigha

    Italifaa vipi taifa letu kuwa na maridhiano na Lissu akawa nje bila kuwa na katiba mpya? Tunapaswq kuwa na katiba ambayo Rais akitumia vobaya madaraka yake kwa manufaa yake,. rafiki zake na ndugu yake aweze kuwajibishwa. Hata kama Lissu atatoka na kuwa huru. Lakini kama hatuna katiba ambayo...
  6. Yoda

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji mahakama ya Katiba ya kudumu

    Kama bado tuna mpango wa kuendelea na mfumo wa vyama na demokrasia kama nchi inabidi kuwa na Mahakama maalumu ya Katiba ya kudumu kama vile South Africa, Zambia na Senegal kushugulika na kesi zote za kikatiba na kesi zinazohusu uchaguzi wa viongozi wa serikali. Mfumo wa mahakama tulio nao wa...
  7. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Tungekuwa na bunge ambalo sio rubber stamp. Rais Samia angeondolewa madarakani kupitia ibara ya 46A ya katiba ya JMT kwa kumteua Agela Kizigha

    Kwa ujumla raisa Ameqakosea wananchi ambao wanalipa kodi ili kulipa mishahara ya Wabunge na posho zao. Kama hili bunge lisingekuwa rubber stamp ilipaswa rais Samia aondolewe madarakani kupitia ibara ya 46A . Huwezi kuteua mtu ambae aaliiba pesa za watanzania masikini ambao hawana maji, shule...
  8. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Kifungu hiki cha Katiba kinamfanya Rais kuwa Mungu mtu, ukienda kinyume naye tu anaweza kuamua ulione jua au lah!

    Wakuu, Ibara ya 15 kwenye katiba ya Tanzaia inampa mamlaka Rais kutoa msamaha kwenye kosa LOLOTE ambalo atakutwa na hatia nalo. Anaweza kumwachia huru mtu kwa muda maalumu au moja kwa moja mtu aliyehukumiwa kuadhibiwa kwa kosa LOLOTE asitumukie adhabu yoyote au kwa kipindi fulani. Anaweza...
  9. HOST NOT FOUND

    JamiiForums Tanzania Serikali ni nani na Katiba inamlinda nani?

    Wanabodi, Karibuni, tujadili kwa msingi wa uhalisia wa sasa na kwa maana halisi ya Katiba. Serikali ni taasisi inayoundwa kwa mujibu wa Katiba ili kutekeleza mamlaka ya nchi. Mamlaka hayo yanatoka kwa wananchi. Hivyo serikali si wananchi, bali ni chombo kinachopaswa kuwajibika kwa wananchi...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Ukosekanaji wa katiba chanzo cha mauaji Oct 29

    Huo ndio ukweli na bila katiba mpya wengi watapoteza maisha maana bila kuondoa haya majanga yaliyopo ya katiba mbaya tusubiri mabaya tu
  11. C-C Digital Pro

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wasio timiza ahadi na wasio fuata Katiba watungiwa wimbo

    Hii rabuda inaweza ikawa njia nzuri Sana kusikika kuliko tunavyojaribu kudai haki kwa maaandammano. Bahati nzuri mwimbaji aliwahi kuwa Mwanasiasa CHADEMA, NCCR MAGEUZI na CCM kabla hajaacha Siasa rasmi. https://youtu.be/DTSA0cQ6Xxk?si=aYZ8VP9NHdHoxlI_
  12. technically

    JamiiForums Tanzania Kuna mambo 21 tu ya muungano lakini katiba inavunjwa waziwazi

    Kwa mujibu wa makubaliano ya muungano watanganyika wanatakiwa kuchukua ajira 79% na wazanzibar 21% tu kwenye secta zote zenye makubaliano ya kimuungano. Lakini kwa Sasa ni tofauti kabisa wazanzibar wanachukua ajira mpaka kwenye halimashauri na zahanati za vijiji. Tujiulize je Kuna...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Yajue mapungufu ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1977

    UCHAMBUZI WA KISHERIA: MADHAIFU YA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, 1977 KATIKA MUKTADHA WA MAHITAJI YA SASA Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 ni chombo kikuu cha kisheria kinachoongoza uendeshaji wa dola. Hata hivyo, kutokana na mageuzi ya kijamii, kisiasa na...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Bila kupatikana kwa katiba mpya ya wananchi tume huru ya uchaguzi Nchi haitakuja kutawalika tena

    Kwa heshima ujengwe mnara mkubwa wa makumbusho ya kumbukumbu ya kuwa kumbuka kila mwaka wahanga wetu wote. Walioteswa Waliopotezwa ama kuuwawa na CCM kabla na baada ya mauwaji ya uchaguzi wa October 29,2025 kwa kuyaandika majina yao wote kama Mashujaa wa Taifa.
  15. G

    JamiiForums Tanzania Nchi ya Tanzania Haina Dini kuweka masharti yoyote ya kidini ni kinyume Cha katiba ya nchi kufunga sio Sheria ya nchi viongozi wasiwe wanafiki

    Zanzibar sio nchi ni sehemu ya nchi ya Jamhuri Moja ya jambo la hatari Kwa taifa ni kuruhusu masharti ya kidini kuingizwa na KUSIMAMIA Kwa watu wote wa Jamhuri ya TANZANIA Nakemea vikali unafiki wa viongozi Jamhuri ya muungano wa Tanzania kufumbia macho masharti ya kidini kutekelezwa Kwa watu...
  16. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali Yashitakiwa! Billions Ziko Hatarini as Katiba Institute Storms Court

    Katiba Institute imeenda kwa Milimani High Court kujaribu kusimamisha utekelezaji wa National Infrastructure Fund Act, 2026, ikisema sheria hiyo ni unconstitutional. Petitioners wanataka court itoe conservatory orders kuzuia serikali kuimplement Act na pia kusitisha kupeleka pesa za...
  17. McLaren

    JamiiForums Tanzania Madeleka: Katiba tuliyonayo na inayotetewa kwamba ni nzuri ilitengenezwa na watu 20 ndani ya wiki 2

    Wakuu, Akizungumza jana kwenye kipindi cha Jambo Asubuhi cha Jambo TV Peter Madeleka alisema kwamba Katiba inayotumika sasa ilitegnenezwa ndani ya wiki 2 tu na ilitengenezwa na watu 20 pekee "Upatikanaji wa Kataiba tunayotumia leo haikupaatikana kwa michakato hii ambayo tunaambiwa leo ni...
  18. figganigga

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Polycarp Pengo hakijanigusa. Alitakiwa afe miaka ya 90 huko. Sababu alizuia Katiba mpya

    Huyu Polycarp Pengo alikuwa mnafiki sana.. Na amekuwa kikwazo katika mapambano ya Katiba mpya. Tangu awageuke Maaskofu wenzi nilimdharau sana.. Ukiongea naye, alikuwa anaonekana hata kwwa kauli kutokuguswa na Watu kupotea wala kutekwa. Tangu amewageuka Maaskofu wenzake wakina Gwajima, Pengo...
  19. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania CHADEMA someni katiba kwanza badala ya kudanganyana kuwa serikali inamwomba Lissu awe waziri mkuu.

    Siku hadi siku wanaCHADEMA wanazidi kuweka ujinga wao hadharani bila aibu. Huko X wanadanganyana kuwa Lissu anabembelezwa kuwa waziri mkuu huku akiwa hana vigezo. Hii KATIBA MPYA mnayodai ni ipi? Ndo maana wengi wenu kutokana na akili ndogo huwa mnakimbilia kusema TUNATAKA KATIBA YA WARIOBA bila...
  20. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Tuendee kuishi tu, tusiulilie wembe

Back
Top Bottom