Ninawasalimu kwa jina la Chama Pendwa CCM.
Ninaandika nikiwa nina hasira kali sana dhidi ya mbunge aitwae Babu Tale kutokana na hoja zake zilizokosa weledi huko bungeni wakati akichangia bajeti ya wizara inayohusika na sanaa. Huyu babu kwa kukosa weledi alitaja majina ya wasanii katika hali...
Complete violation of the constitution of URT.
👇Serikali katika mwaka 2022/23 imetenga kiasi cha Sh. 10 bilioni kwa ajili ya Ukarabati wa viwanja saba vilivyopo katika Majiji, ambavyo ni Jamhuri – Dodoma, Sheikh Amri Abeid - Arusha, Sokoine - Mbeya, CCM Kirumba – Mwanza, na Mkwakwani – Tanga
Viongozi wakuu wa serikali mafao yao huwa ni 80% ya mshahara wa viongozi walio madarakani.
Swali langu:
Viongozi walioshika nafasi za juu kwenye pande tofauti za muungano yaani Zanzibar na Tanzania bara wanachukua pension mara mbili.
Mfano Shein amekuwa makamu wa Rais Tanzania na Rais wa...
Pole na majukumu
Hongera kwa kuitwa kwenye kikosi kazi cha katiba na maridhiano.
Bahati nzuri wewe ni mtoto wa mkulima na unatambua katiba iliyopo inatesa na kufukarisha wakulima Kila siku kwa kuwalinda wabadhirifu na wapigaji wa pembejeo za wakulima!
Tutetee sisi wajukuu zako wakulima wenzio...
Wanabodi,
Makala ya Leo ya Kwa Maslahi ya Taifa, Inaanza na A Declaration of Interest
Utangulizi Kama kawaida, leo tana nimepata tena fursa ya kushuka na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" leo nazungumzia kuponywa kwa taifa na trends za kuelekea 2025 za Rais Samia. Rais Samia ameonyesha...
Baada ya uchaguzi mkuu uliovurugwa, think tank ya Chadema iliona njia nzuri ya kulazimisha hayo yasitokee tena ni kuanzisha vuguvugu la kudai katiba mpya. Leo kila chama ajenda kuu ni katiba mpya.
Kwa hali ilivyokuwa miaka 5 iliyopita nani alijua leo rais atahudhuria sherehe ya ‘Sugu’, nani...
Tunapokuja kujadili suala ambalo ni mustakabali wa taifa letu basi tuweke ushabiki kando.
Katiba ya sasa haifa na imempa madaraka makubwa rais wa JMT ndio maana wateule wake na wasaidizi wake wanatumika hovyo kupeleka mateso kwa raia kwa chuki ambazo hazina kichwa wala msingi.
Tupate katiba...
Jana tuliambiwa hukumu ya kesi iliahirishwa katika Mahakama ya Hakimu mkazi, Arusha.
kwa kile kilichodaiwa kuwa hakimu alikuwa anatimiza majukumu mengine ya kiofisi,mahali ambapo hatukutajiwa.
Leo asubuhi tunasikia taarifa ya Sabaya kuhamishiwa alfajiri,kutoka Gerezani Kisongo,na kupelekwa...
Wanaukumbi.
Vijana wa Ufipa jiulizeni mbona mwenyekiti wenu hajavaa T-Shirt za Katiba Mpya?
Hapo angefikisha Ujumbe vizuri kwa Mlengwa?
Anakenua tu…
Juzi nilishangaa sana kuona vijana wa Bavicha wanalazimisha kuingia uwanjani na T-Shirts zao za Katiba Mpya hawafahamu kama Fifa wa wamepiga...
Chonde chonde tunaiomba kikosi kazi cha Mhe. Rais kinachokusanya maoni ya katiba mpya ipite kwenye Wilaya zote na ratiba iwekwe kwenye magazeti na matangazo kupitia vyombo vya habari. Mhe. Rais sisi wananchi tunataka Katiba mpya kabla ya uchaguzi wa 2025. Uchaguzi wa 2025 katiba mpya ndiyo...
Wanaukumbi.
CHADEMA mnatuambia tudai Katiba Mpya ili kuondoa mfumo wa chama dola (CCM) madarakani.
Hoja zenu ni kwamba CCM imeng’ang’ania Uongozi tangu 1961.
Vipi CHADEMA? kuna mabadiliko gani ya Uongozi tangu 1993?
Ni sahihi Edwin Mtei kumpa chama mkwewe aongoze kama familia?
Hawa vijana wanachafua mapambano ya katiba mpya kuyahusisha na Simba Fc. Huu ni ubaguzi wa kishamba na usiofaa kabisa. Hawafai hawa vijana ni washamba sana.
Wakuu
Binafsi sielewi ni nani HASA alieamua kuwa kazi ya siasa ndio iwe na malipo na posho kubwa sana kuliko taaluma nyingine yeyote hapa nchini.
Wataalamu wa taaluma mbali mbali wameacha kada zao na kukimbilia siasa kuliko kujikita kwenye taaluma zao na kutuhudumia wananchi!
maprofesa wa...
Sijawahi kusikia hata siku moja Katiba ikiombwa, Katiba hushinikizwa au kulazimishwa kama ukipenda na sababu ni moja wale wanaotaka Katiba mpya wana nia ya kuingia madarakani ambapo kwa Katiba iliyopo wanaona hawana chance, wale waliokuwa na power ambao ni wanufaika wa Katiba iliyopo hawawezi...
Mchakato wa kudai katiba mpya ni mchakato muhimu sana, ambao kwa maoni na mawazo yangu ni muhimu ufanyike kukiwa na elimu kubwa sana ya uraia miongoni mwa wananchi.
Kwa bahati mbaya wanasiasa wanatuaminisha kitu ambacho hakiwezekani. Kwa namna katiba inavyodaiwa sasa ni kana Kwamba litakaa...
Makomredi
Tusipoteze muda kwa kupiga sarakasi na kufanya uharamia kwa vyama vya siasa vya upinzani nchini.
Tutambue takwa la katiba ni la wananchi na wenye nchi ambao Mwenyekiti wetu anawajibika kwao.
Tumshauri aachane na sarakasi za kuzuia mchakato huo kwa visingizio visivyo na mashiko...
ACT hakina msimamo kinaenda na upepo kinaangalia vyama vikubwa kama Chadema vinataka nini. Mwanzo walikuwa na kauli mbiu yao ya TUMEHURU KUELEKEA KATIBA MPYA, leo wanasema KATIBA MPYA NI SASA.
Tusiwabeze ACT bado ni wachanga hawajui kwenye siasa ili uaminiwe unahitaji consistency. Waendelee...
Inashangaza sana kuona kuna kelele za wachumia tumbo wakidai katiba mpya.
Nawaita ni wachumia tumbo kwa kuwa hakuna common mwananchi anayedai katiba mpya bali ni viongozi wachache wenye ubinafsi.
Zaidi sijaona andiko lolote la maana na kina kutoka kwa maprofesa wetu wenye elimu za kuunga unga...
Huu ndio ukweli mchungu kwa wote waliowahi kuwa Maraisi wa nchi hii baada ya Mwalimu Nyerere kuondoka madarakani.Raisi Mstaafu Kikwete alikaribia sana kupata nafasi hii ya kihistoria ila inawezekana alipotoshwa na wenzake ndani ya chama na huenda hili ni jambo analolijutia katika maisha yake na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.