katiba

  1. R

    JamiiForums Tanzania Urais unachosha, ila ni mzuri. Rais Samia akituachia katiba mpya akastaafu 2025 itampa heshima yeye na kizazi chake kuliko kutuachia katiba baada 2025

    Nitaeleza Kwa kifupi faida za Mhe. Rais kutuachia katiba awamu yake ya Kwanza then akastaafu Kwa heshimu 1. Tayari amaeshakuwa Rais na hakuna Jambo jipya analoweza kulipata kwenye urais hata aliongoza miaka Mia. 2. Endapo ataamua kuingia kwenye uchaguzi 2025 Ndipo mchakato wa katiba uanze...
  2. JamiiForums Tanzania Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, TISS ya Diwani haikuwa na mawaa; ni moja kati ya waliopambana na timu ya jiwe iheshimu katiba. Kongole kwake!

    TISS ya Diwani Athumani ndio walau ilitulia, kutekana kukaisha, mambo ya hovyo hovyo yakapungua, hata Jiwe naye akapunguza machachari. Tofauti na Ile ya kipilimba na wenzake walioshughulika kwelikweli na akina Mdude na wengine. Ni TISS ya Diwani Athumani, pamoja na taasisi nyingine...
  3. JamiiForums Tanzania Kama Rais Samia ataacha Katiba Mpya basi itatupatia picha kuwa uongozi ni akili na siyo nguvu

    Yaani huyu Mama naona anaenda kuwa Rais was pili ukimtoa Baba wa Taifa, maana Kama atatupatia katiba Mpya Basi Legacy yake itakuwa kubwa Sana. Nilichogundua Uongozi ni akili. Legacy sio kujenga barabarani mbovu zenye mashimo na ujanja ujanja. Mama akiacha katiba Basi peponi moja kwa moja.
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia katukumbusha kuwa Katiba Mpya ni dhana tu na mkachakato unapaswa kuwahusisha Watanzania wote

    Hivi tumemsikia Mama na kumwelewa kuhusu Katiba Mpya? Neno "KATIBA MPYA" Ni dhana tu, ni neno la kudanganyia watu kujipatia POLITICAL POPULARITY, hakuna jipya tunatakiwa kubadilika kulingana na wakati na ndiyo nasema; Mimi nimemsoma mama mambo matatu (Na ngoja niandike kwa herufi kubwa...
  5. JamiiForums Tanzania Dhamira njema ya Katiba Mpya ni kuwa na jopo jipya lisilohusisha Wabunge waliopo

    Salaaam! Kuhusu kuundwa katiba mpya serikali haina budi kutenda haki juu ya muundo wa jopo au kamati au bunge ambalo halitahusisha mbunge yeyote na wa chama chochote, katiba iundwe na wasiofungamana na siasa za uwakilishi wa kibunge na Baraza la wawakilishi. Ni matumaini yetu ya kwamba...
  6. JamiiForums Tanzania MWAKA 2023: Mwaka wa Tafakuri na Katiba Mpya - 3

    Hali ngumu ya maisha inayosababishwa na mfumuko wa bei za bidhaa masokoni,wazo la katiba mpya litatawa mwaka 2023 nguvu kutoka kwa wananchi,trade unions,NGO'S,wataalamu wa elimu ya siasa na uraia na vyama vya upinzani bila kusahau Media za Tanzania.Tunaweza ku-adopt mapendekezo...
  7. JamiiForums Tanzania MWAKA 2023: Mwaka wa Tafakuri na Katika Mpya - 2

    Mwalimu Julius Nyerere alisema kuwa mpinzani wa kweli ni lazima atokee ndani ya CCM, Je maono ya Mwalimu yalimlenga Hayati Rais John Pombe Magufuli, kwa namna anavyochukuliwa sasa hivi ndani ya CCM,ni kama alikuwa mpinzani ndani ya CCM. Au je kauli ya Mwalimu ilimlenga Ndugu Edward Lowassa baada...
  8. JamiiForums Tanzania MWAKA 2023: Mwaka wa Tafakuri na Katiba Mpya - 1

    Mwaka 2023 ukawe mwaka wa Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya, Ukawe mwaka wa utekelezaji wa mapendekezo ya kikosi kazi cha Rais kuhusu Demokrasia nchini. Heri ya mwaka mpya Watanzania, hongereni sana kwa kufika mwaka 2023 pamoja na changamoto zote za Nchi yetu, vikiwemo maji, umeme kukatika...
  9. JamiiForums Tanzania Watanzania ni watu wa maneno maneno, kupiga kelele na kulialia tuu, Tukija kwenye Vitendo ni sifuri, 0, zero, nil, hamna kitu!. Je Tutabadilika?

    Wanabodi, Leo 30/12/2022 tunapoanza safari ya kuuaga mwaka 2022 hapo kesho na keshokutwa kuukaribisha mwaka mpya wa 2023 hivyo naomba nianze makala yangu hii ya "Kwa Maslahi ya Taifa" kwa kusema "kwaheri 2022, na Karibu 2023, kwa kuwatakia heri ya mwaka mpya 2023 in advance, kwa rai moja tuu...
  10. JamiiForums Tanzania Katiba mpya ni muhimu kwa maendeleo na mstakabali wa vizazi vya sasa na vijavyo

    Heri ya X Mass. Tunamshukuru Mungu kwa siku kuu ya leo,na kwa namna ya kipekee kabisa nawapongeza waKristo wote Tanzania na Duniani. Wakati bado tunaendelea kusheherekea siku hii muhimu naomba tuwarejeshe katika mjadala wa mchakato wa KATIBA MPYA. Ni hakika KATIBA ya sasa ina mapungufu mengi...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Somo la Civics linalofundisha wanafunzi katiba ya nchi linafutwa

    Serikali inaandaa syllabus mpya na mfumo wa elimu, katika mambo mapya yanayokuja ni kufutwa kwa somo la Civics. Japo Watanzania hawaijui katiba ya nchi, walau hili somo liliwasaidia kuijua, sasa linafutwa. Jadili.
  12. JamiiForums Tanzania Katiba mpya iongeze Mamlaka ya Kamati Kuu ya Chama

    Ili kudhibiti wanaotaka kupingana na maamuzi ya Chama kilichokupa dhamana ya uongozi. Katiba mpya iseme wazi kuwa KAMATI KUU ndio kiwe chombo cha juu kabisa cha kudhibiti wakaidi
  13. S

    JamiiForums Tanzania Huyu mstaafu tumrudishe Ikulu 2030. Mnasemaje bhandugu?

    Rais mstaafu wa awamu ya nne bado ana nguvu za kimwili na kiakili na bado anapendwa na watanzania. Najitokeza hadharani kumshauri na kumpa shime 2030 achukue fomu ya kugombea urais wa nchi hii. Ndugu msomaji usije kupinga wazo langu kwa hoja za ukiukwaji wa katiba. Katiba ya Tanzania haifuatwi...
  14. JamiiForums Tanzania Ina maana kweli, kwa mjibu wa ibara 144(1) ya Katiba kama CAG akateuliwa wa umri wa miaka 20 atadumu miaka 40?

    Wapo watu ambao wanaamini kwamba mahakamani huwa hakuna haki bali kuna sheria pekee. Kwa kiasi kikubwa huwa ninakubaliana nao. Kazi za mahakama ni kutafisiri sheria. Katiba ndiyo sheria mama au kwa jina jingine sheria kiongozi. Ni dhahiri kuwa kama sheria (na Katiba) tulizozitunga wenyewe...
  15. JamiiForums Tanzania Je, katiba pekee ndio inaweza kubadili mienendo na siasa za Tanzania? Kama sio basi nini kifanyike kubadili siasa za Tanzania na Africa kwa ujumla?

    Habari gani mabibi na manabwa, karibuni tulijadiri hili. Kila siku utakuta watu wakilaumu serikali zao hasa za ki Africa kuhusu viongozi wetu na weakness za katiba, je katiba tu ndo inaweza leta matokeo chanya kwa taifa? Je katiba ndio chanzo cha mikopo isiyokuwa na ulazima? All in all ebu...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi bila katiba mpya wa nini?

    Huko Zanzibar mambo ndiyo kama hivi: Ya nini kufanya uchaguzi bila katiba mpya? Si heri kuwaacha CCM kama ndivyo waendelee tu kulamba asali kwa raha zao? “Insanity is doing the same thing over and over and expecting different results.” Asema Einstein. NB: Tume Huru bila Katiba Mpya ni...
  17. P

    JamiiForums Tanzania Nataka kujifunza kwenu wana JF kuhusu Katiba na nafasi ya Urais Tanzania

    Tunatarajia kuwa na katiba mpya hivi karibuni! Ngoja tusizungumzie hiyo ijayo tuzungumzie iliyopo! Katiba iliyopo inaitambua nafasi ya Urais kuwa ni ya watanganyika na makamo wa Rais shariti atokee Zanzibar! Kwa minajiri hiyo, huku bara, yaani Tanganyika, ndiko anakotokea Rais wa muungano wa...
  18. JamiiForums Tanzania Diaspora wafungua kesi ya Kikatiba kupinga sheria inayozuia Uraia Pacha

    WATANZANIA sita waishio nje ya nchi (DIASPORA), wamefungua kesi ya kikatiba Na. 18/2022 katika Mahakama Kuu, Masjala Kuu, ya Dar es Salaam, kupinga vifungu vya sheria vinavyozuia uraia pacha, wakidai ni batili kwa kuwa vinakiuka haki yao ya kikatiba ya kuwa raia wa kuzaliwa. --- Suala la kuwa...
  19. JamiiForums Tanzania 2025 nitachukua fomu kupitia CCM na nitampinga huyo mnaetaka asipingwe

    Kwanini nguvu kubwa inatumika kutulazimisha tuvunje kanuni na katiba Kwa kututisha? awamu ya tano inamalizika 2025 ndipo tuanze awamu ya SITA. Kanuni za kawaida za chama ni kuchukua fomu ama kutangaza nia, watu washindanishwe apatikane alie bora. Kwa Nini Jakaya na Makamba wanataka tule...
  20. JamiiForums Tanzania Kama Katiba haijasema kuwa ajira ni haki ya kila kijana vijana muikatae kwa nguvu zote

    Habari vijana wenzangu, Binafsi Mimi siyajui machungu ya kuwa jobless. Nimemaliza tu kidato cha sita kisha kwenda JKT nikaajiriwa. Niliacha kazi mwenyewe na kupata kazi nyingine soon. Mimi sio mbinafsi, ninavyoona jinsi vijana wenzangu wanavyopata taabu naumia kiasi. Vijana wengi hawana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…