Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,642
- 6,848
Kikatiba the National Audit Office imelindwa sana ili isiingiliwe kabisa na mamlaka ya juu ya nchi. Lakini kwa mujibu wa Prof. Assad, ofisi hiyo iliingiliwa. Sasa mwaka huu na mwaka kesho tuna uchaguzi, je, NEC, yaani Tume ya Taifa ya Uchaguzi ambayo kikatiba ni huru na haiingiliwi na mamlaka yeyote katika maamuzi na utendaji wake kazi. Kwa maelezo haya ya Prof. sio kweli NEC uingiliwa katika matokeo ya uchaguzi? Na kama katiba inatoa kinga, na mamlaka za juu kabisa za nchi zinapiga teke hiyo kinga na hakuna linalofanyika, katiba ya nini sasa?!
View: https://youtu.be/SxVfuj5W0EU?si=IskgFdcnxjOPxrZB
View: https://youtu.be/SxVfuj5W0EU?si=IskgFdcnxjOPxrZB