katiba mpya

  1. K

    Tanzania! Fake! Dira ya taifa 2050 bila katiba mpya ni kujidanganya!

    Pamoja na ukweli kwamba Watanzania tunapenda kujidanganya lakini cha ajabu tunadanganya mpaka vizazi vijavyo. Bila katiba mpya ambazo zitatoa mfumo imara wa sheria, bunge na utawala bora hatuwezi kuwa na dira ya maana bila hayo. Huwezi kuweka Dira wakati kiongozi yeyote anaweza kuingia na...
  2. M

    PreGE2025 Kuelekea kutafuta Katiba mpya na Sheria mpya za Uchaguzi 2025

    Tunapojiandaa kuanza kudai Katiba mpya na Sheria mpya za Uchaguzi napendekeza yafuatayo yafanyike kwanza:- 1. Kiandaliwe kikosi cha utoaji Elimu na uhamasishaji wa umuhimu wa Katiba mpya na Sheria mpya za Uchaguzi. 2. Kiandaliwe kikosi kitakachorekodi matukio yote ya kihalifu yatakayotokea...
  3. M

    PreGE2025 Kuhusu Katiba mpya/ Sheria mpya za Uchaguzi, mimi nitakuwa mstari wa mbele

    Ndugu zangu Maaskofu, Masheikh, Mapadre, Wachungaji, Manabii, Mitume na Watanzania wote, suala la Katiba mpya na Sheria mpya za Uchaguzi linatuhusu sisi sote. Katiba mpya na Sheria mpya za Uchaguzi si kwa ajili ya chama/ vyama vya siasa tu, bali ni kwa ajili ya Watanzania wote. Katiba mbovu...
  4. JamiiCheck

    SI KWELI LGE2024 Mbowe: Tumeshindwa, tuelekeze nguvu zetu uchaguzi Ujao

    Tumeshindwa,tuelekeze nguvu zetu uchaguzi Ujao
  5. J

    Kikwete alitamani kutuachia Katiba mpya lakini hakuweza. Ni wakati wa Samia kufanikisha hilo

    Kila kusudi Lina wakati wake na ukifika ni lazima litimie. Mzee Kikwete alitamani kutuachia Katiba Mpya Lakini Wakati Ule haukuwa na kusudi la Katiba Mpya ndio Sababu alipata Upinzani ndani ya chama chake. Wakati tulionao sasa ndio wakati wenye kusudi la Katiba Mpya. Rais Samia akitamani...
  6. GoldDhahabu

    Nini kilimnyima Kikwete heshima ya kuipatia Tanzania katiba bora?

    Kama katiba pendekezwa ya Jaji Joseph Warioba ingepitishwa, Rais Jakaya Mrisho Kikwete angeingia kwenye historia ya kuiletea Tanzania katiba ya kimageuzi! Kama hiyo katiba ingepita, ingemweka Kikwete kwenye nafasi ya kukumbukwa na vizazi vingi kama "mwanamageuzi" nchini. Ilibaki kidogo tu...
  7. M

    PreGE2025 LGE2024 Matokeo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa yaongeza mori wa madai ya Katiba mpya kabla ya 2025

    Madai ya Katiba Mpya yalikuwa yamepoozwa 4Rs ambazo baadaye ilionekana si suala la dhati. Matokeo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa yaongeza mori wa madai ya Katiba mpya kabla ya 2025. Kwa yaliyotokea kuanzia maandalizi na matokeo ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa imeonyesha hakuna uwazi katika...
  8. B

    Palikuwa na uamuzi na miito ya kutokushiriki chaguzi bila katiba mpya. Ya nini kulia lia sasa?

    Ni kawaida manabii kutokukubalika kwao. Lipi linalotokea kwenye kuelekea chaguzi za 2024/25 kuwa ni jipya leo? Kwamba walienguliwa wagombea, kukavurugwa kampeni, wakakamatwa wapinzani, nk? Kwamba yote hayo ni marudio ya 2019/20? Kwani hoja na makelele ya nguvu yalipotamalaki, hatukuahidiana...
  9. C

    Siasa za Tanzania bila katiba mpya ni sawa na CCM kuumiliki upinzani

    Unajua inasikitisha sana, sijui wanasiasa wa upinzani wanajali zaidi ruzuku au kushika dora? Haya manyanyaso hayatakuja kuisha sababu wanaowatuma polisi kuwanyanyasa wapinzani ni makada wa CCM, hebu fikiri mkuu wa wilaya ni mkuu wa kamati ya ulinzi wa wilaya na RPC yuko chini yake na wote...
  10. Mkalukungone Mwamba

    LGE2024 Tundu Lissu: Uchaguzi huu umeisha na sasa tujipange upya na turudi kwenye hoja za msingi ikiwemo Katiba Mpya na Mfumo huru wa uchaguzi

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara Tundu Lissu amesema katika uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka huu 2024 umekishwa kikubwaa watapigania wagombea waliobaki tu lakini huu kifupi umekwisha. Aidha amesema sasa na wanapaswa kujipanga upya na kurudi na hoja za msingi kama Katiba mpya, Mfumo uhuru...
  11. Gabeji

    Nguvu ya Umma baada ya miaka 15 ijayo ndiyo itakayoleta Katiba Mpya Tanzania, na si CCM

    Bila shaka wote ni wazima wa afya njema. Kudai katiba mpya kwa CCM au wanasiasa ni sawa na kudai uhuru kutoka kwa "mkoloni" kwa sababu ya ubinafsi (egoism). Katiba ndio injini ya nchi yoyote ile duniani. Watanzania ni kama mgonjwa wa akili tu! Ambaye anamini kuwa katiba mpya italetwa na CCM au...
  12. Waufukweni

    Katiba mpya iwe na ukomo wa Kuoa na Kuolewa

    Mmoja wa wachangiaji katika Kongamano la Katiba lilioendeshwa na Jukwaa la Katiba Tanzania (JUKATA) mwishoni mwa wiki mkoani Katavi amedai: "Kama katiba inatambua umri wa mtu kuoa na kuolewa kwamba miaka 14 kwa miaka 18, basi iwekwe ukomo kwa mtu kuolewa na kuoa kwasababu tumekuwa na taifa...
  13. ichumu lya

    Sitashiriki chaguzi za serkali za mitaa wala serikali kuu mpaka KATIBA mpya yenye maoni yetu itakapothaminiwa.

    Tunataka Katiba Mpya,hatutaki uchafuzi tena kinachofanyika ni kiini macho. Waziri Mchengerwa hastahili kusimamia uchaguzi kutokana na kuwa mwanafamilia wa Rais ambaye ni mwenyekiti wa chama kinachowania serkali za mitaa na serkali kuu.
  14. Tlaatlaah

    Katiba ya Tanzania ni bora zaidi ya Katiba ya Kenya na Afrika Mashariki kwa ujumla

    Kwa mfano katiba ya Kenya ya 2010 imewatia wakenya kwenye mkwamo mkubwa mno wa maendeleo, mathalani kwenye nafasi ya urasi maana kila baada uchaguzi unapomalizika hapo hapo kampeni za uchaguzi unaofuata zinaanza hapo hapo. Mbaya zaidi, inakua ni mapambano, mipasho, mabishano na kutunishiana...
  15. K

    Naungana na Dkt. Lwaitama kuhusu Katiba Mpya

    Kwanza niwashukuru wale wate waliotoa mada na waliotoa maoni kwenye Kongamano lililopangwa na TLS. Ahsanteni sana. Kipekee naungana na wazo la Dr. Lwaitama kuwa ni muda muafaka suala la Katiba mpya lianze na wakati wa kuandika katiba hiyo wasijumuishwe Vyama vya Siasa na jukumu hili waachiwe...
  16. Megalodon

    Hongereni Chadema kwa kufanikisha maandamano, ninaomba mpokee ushauri wangu

    Kupitia maandamano, kwamba tumejifunza hatuna jeshi la polisi lenye uwezo wa kudhibiti watu 5Mil tu walioamua kutafuta haki yao. Ili kufanikisha maandamano ya watu mil 5 tu , ni lazima Chadema mtengeneze main Objective ambayo ndio tatizo kuu la Tanzania na hiyo Objective itamgusa kila...
  17. Wimbo

    Rais Samia, Nakushauri tangaza kuanza kwa mchakato wa Katiba mpya, itakuletea heshima kubwa baada ya kustaafu

    Heshima yako Dr, Heshima yako ya kutukuka ilianzia kwenye Bunge la katiba, uongozi wako na usimamizi wako wa Bunge hilo ulikubeba katika hiyo nafasi uliyonayo. Ninaiona ikikujengea heshima zaidi kwa kuamua kutoka ndani ya moyo ukikamilisha zoezi hilo. Tangaza kwa maslahi mapana ya Taifa...
  18. A

    Ili kuweka Shinikizo la Katiba Mpya wananchi wakikatae Chama Tawala kwenye Uchaguzi wa 2024 na 2025

    Ndugu wananchi hususani "Paskali" kumekuwa na juhudi mbali mbali za kukitaka Chama Tawala kuweka mazingira mazuri ya uongozi Kwa kuwa na Katiba Mpya na yenye kuakisi Hilo. Zaidi ya hadithi njoo uongo koleaau kwakuwa wao ndio waneshikulia siri zao na uwazi wa kila moja wetu (mpini Sisi...
  19. Nehemia Kilave

    Binafsi huwa sioni tija ya maandamano ya CHADEMA nadhani ni bora kuandamana kudai katiba mpya

    Huwa tunakosa focus , mabango mengi kila bango lina ujumbe wako ,sasa watawala wafanyie kazi kipi ? Katiba mbovu ndio chanzo cha kila kitu hasa upande wa madaraka ya Rais na muundo wa tume ya uchaguzi . Wateuliwa wa rais ni wengi sana na wote wanafanya ili waendelee kubaki kwenye hizo nafasi...
  20. Cute Wife

    PreGE2025 Mbowe: Mtu wa kwanza kuwajibishwa kwenye matukio ya utekaji ni Rais Samia. CHADEMA kuanza kampeni ya 'Samia Must Go'

    Mbowe akiwa kwenye mkutano wa waandishi uliohudhuriwa na wanachama wa CHADEMA asema wataanza na kampeni ya Samia Must Go ikiwa hakutakuwa na uwajibikaji kwenye matukio ya utekaji. Mbowe pia ametoa rai kwa viongozi wa CHADEMA siku 12 kuanzia sasa kuja Dar kwaajili ya kupeana mikakati muhimu kwa...
Back
Top Bottom