THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,504
- 5,449
Ukiona watu wanagoma hizi hadaa uwaelewe sana.
Machawa wanasema mama yao kasema ataanza mchakato wa katiba mpya kwahio tusimubughuzi.
Hivi watanzania Mnahisi hawaelewi maana ya neno MCHAKATO? kwa kiingereza si ina maana ya PROCESS.
Sasa process si ina maanisha stages nyingi?
Huyu mama aliewahi kusema KATIBA ni kijitabu atawalia mda wenu humohumo kwenye Process.
Hapa ilikua ni kusema Rasimu ya Jaji warioba ipo na process zote zilikua zimekamilika tukaichukue, kama kweli yeye ana nia ya kuwaletea katiba Mpya.
Ila kama ni MCHAKATO mtapigiwa hizo TUME za kina CHANDE hadi 2030.
Tupo hapa.