katiba mpya

  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Jaji Warioba kuhusu Katiba Mpya

    ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, amepigilia msumari kuhusu umuhimu wa Katiba Mpya, na kutaka maoni ya wananchi yasipuuzwe kwa kuwa ndiyo mara ya kwanza walishirikishwa kuitengeneza. Akihojiwa jana kwenye kipindi cha dakika 45 kinachorushwa hewani na...
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Kubadili sheria nyingi katika kila Bunge kunaonesha kuna umuhimu wa Katiba Mpya

    Jaji Warioba akiwa katika kipindi cha Dakika 45 ITV amesema suala la kubadili sheria nyingi katika kila bunge zinaonesha umuhimu wa Katiba Mpya. Hata hivyo amesema ni muhimu kuwa waangalifu kwa kuwa Katiba Mpya haitaweza kutatua matatizo yote. Ametolea mfano kuwa tunaweza kuwa na Tume nzuri ya...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Sakata la majanga ya Moto yanayoendelea yatazima upepo kudai Katiba Mpya?

    Wakuu Kwema! Mfuatano wa Matukio ya Moto Kwa sasa unatafakarisha Sana. Je Matukio hayo yatafanikiwa kupoteza uelekeo wa upepo wa Katiba Mpya? Karibuni tujadili.
  4. Memento

    JamiiForums Tanzania Amos Makalla bado hujaiona faida ya Katiba Mpya?

    Tunakumbuka kuwa mwisho wa mwezi wa 5 mkuu wa mkoa Dar aliitisha vikao mbalimbali tena kwa mbwembwe nyingi mbele ya camera na kuja na mapendekezo ya kuisuka upya Dar na kuwapanga upya machinga kwa kuwa hafurahishwi na namna ilivyo sasa. Akaenda mbali kwa kutoa maagizo kwa wakurugenzi kuanza...
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Prof. Mussa Assad: Katiba Mpya ni Muhumu, itamjenga Rais na haitampunguzia chochote

  6. Terrible Teen

    JamiiForums Tanzania Kundi kubwa la wanaodai Katiba Mpya hawajui wanachokitafuta na hawana kazi ya kufanya

    Unafiki wa Watanzania umeendelea kudhihirika baada ya kifo cha JPM na kuingia madarakani kwa Mhe. RAIS. SSH. JPM alitumia udikteta kunyamazisha kila sauti na hakuna aliyedai Katiba mpya wala nini. Aidha, kwa udikteta huohuo aliharibu uchumi na haki za kiraia bila ya kuulizwa. Leo ameingia...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Dr. Diallo: Katiba inatengenezwa na Wananchi siyo Wanasiasa, 2014 tuliikosa katiba mpya kwa ubinafsi wa wanasiasa CCM ikiwemo!

    Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza Dr. Anthony Diallo amesema ni makosa makubwa na hatari sana kuwaachia wanasiasa watengeneze katiba ya nchi. Diallo amesema wanasiasa ni wabinafsi hivyo lazima wajipendelee ndio maana katiba ni lazima itengenezwe na wananchi wakisaidiwa na Wataalamu kama...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Madai ya Katiba Mpya: Viandaliwe vipeperushi kuhusu umuhimu wa Katiba Mpya na visambazwe mitaani na sehemu zenye mikusanyiko

    Mbali na kutumia mitandao na makongamano au mikutano kudai Katiba Mpya, nashauri wanaharakati, wanasiasa na wadau wengine waandae vipeperushi vyenye kueleza umuhimu wa katiba mpya na kuvisambaza kadri inavyowezekana. Vipeperushi vieleze mapungufu yaliyoko katika katiba ya sasa na hatari au...
  9. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Naona kuna kila dalili ya Prof Jay kutimkia CCM

    Wakati wakina Lema na Chadema wakishinda mitandaoni kusaini petition kadhaa wakitaka Diamond afungiwe, Profesa Jay yeye anapiga show na vijana waCCM (Nandy, Diamond , Weusi nk). Wasanii ambao kwa mujibu wa Chadema ni moja ya watu waliotumika kuingiza mamlakani utwala dharimu wa CCM. Wakati...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: Rais Samia Suluhu achague kutenda haki kwa kuwatumikia Watanzania masikini au kuwatumikia CCM

    Waraka huu wa kukushauri tu, ninavyowafahamu waislam ni watu wanaohubiri haki japokuwa swala ndiyo yenye nguvu kubwa ktk Uislam. Yalipo kwenye utangulizi wa waraka wangu , moja linabeba pepo na jingine jehanam. Kuwatumikia CCM wachache kwa maslahi yao ni sawa na mwislamu aliyesoma elimu dunia...
  11. Advocate_Silayo

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya ya Tanzania itasaidia namna Viongozi wanatakiwa kufuata Sheria

    Inawezekana kabisa tukafanikiwa kuwa na #KatibaMpya na bado maji safi na salama, barabara nzuri, huduma za afya nzuri na mengineyo visiwepo ila haihalalishi tusiwe nayo kwasababu Katiba imekaa kimamlaka na itasaidia ku-shape namna viongozi wanatakiwa kuenenda kwa kufuata sheria.
  12. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Anaandika Binamu Binanga kuhusu madai ya Katiba Mpya

    Wengi akili imeelemea kwenye kudai Katiba Mpya. Hili ni wazo jema sana. Lakini tumewaza vizuri vita tunayoipigana? Silaha tunazotumia? Tuko tayari na matokeo ya vita hii? Nimemsikikiza wakili msomi Peter Kibatala alipofanya uchambuzi wa kishule (sio kiharakati) nimemuelewa sana Mchakato wa...
  13. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Nini kinachotuongoza? Sheria na Katiba au hila na fadhila za Rais?

    Wanasema eti kuuliza si ujinga! Wakati ujinga ni hali ya kutojua kitu au jambo fulani. Sasa kama kitu unakijua au jambo unalijua, unauliza ili iweje sasa? Baadhi ya hii misemo ya Kiswahili ukiichambua kwa undani utabaini haina mantiki kabisa. Ah! Hayo ya misemo ya Kiswahili tuyaache kwa leo...
  14. chakii

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa na ubinafsi wa Katiba mpya

    Habari wanaBodi.. Tumekuwa tuna wanasiasa wanafki na wabinafsi pia sana. Watanzania tuna changamoto nyingi za maisha ya kila siku mbali na suala la KATIBA, Yes Katiba ni muhimu lakini Katiba siyo kila kitu, tunaweza kuwa na Katiba mpya lakini isibadilishe maisha ya raia. Ubinafsi wa Wanasiasa...
  15. technically

    JamiiForums Tanzania Rose Mayemba, Mwenyekiti CHADEMA Mkoa wa Njombe akamatwa na kuhojiwa na Jeshi la Polisi. Aachiwa kwa dhamana

    Yaani tunataka kweli kurudi kule kule? ---- Update: 1 JamiiForums imezungumza na RPC Mkoa wa Njombe na amethibitisha kuwa Mwenyekiti CHADEMA Mkoa wa Njombe Rose Mayemba amekamatwa kwa Mahojiano zaidi baada ya kuweka ujumbe kwenye mtandao wa kijamii uliomhusisha Rais. RPC amesema kuwa kosa lake...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Hii ndio Orodha ya makundi ya watu wanaohitaji Katiba Mpya na wasiohitaji

    HII NDIO ORODHA YA MAKUNDI YA WATU WANAOHITAJI KATIBA MPYA Na, Robert Heriel Mjadala unaoendelea katika Siasa mitandaoni ni ishu ya Katiba. Wanaohitaji Katiba Mpya wamegawanyika katika makundi Yafuatayo; 1. Wanasiasa hasa wa vyama vya Upinzani 2. Wanasiasa upande wa Zanzibar. 3...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya ni suala la CHADEMA peke yao?

    Vimbelembele au vihio vya CCM vinasambaza itikadi mbaya sana eti kila kitu cha Katiba wanakielekeza kwa CHADEMA. Faida ya Katiba mpya ni faida kwa Tanzania wote tena jambo hili halihusiani na chama chochote, kama Mtanzania Mzalendo ni haki yako kutaka au kudai au Kutodai. Suala la katiba mpya...
  18. Rama N Ally

    JamiiForums Tanzania Ni muhimu kushindana kwa hoja katika kuidai au kuipinga Katiba Mpya

    Wanaotaka katiba mpya na wasioitaka wote ni watanzania. Katiba mpya siyo chokochoko wala chanzo Cha uhasama, isiwe chanzo cha machafuko au kupeana majina mabaya kama ya usaliti, adui wa maendeleo, kutumika na ubeberu, udikteta , n.k. Hoja za pande zote ziheshimiwe na kuwekwa mezani. Ni muhimu...
  19. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Rais Samia na wapinzani, kubalini kuelewana kwenye hili la Katiba Mpya

    Facts - Ni wazi kuwa wapinzani (wa kweli), wanaharakati, CCM Zanzibar, CCM wapenda mabadiliko bara na watanzania wengi kwa ujumla wao wanataka mabadiliko ya katiba ili kuondoa changamoto nyingi za kisheria na kiutawala zilizopo sasa. - Ni wazi kuwa wazanzibari wengi (Mh. Rais akiwemo)...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Tuwatambue Wanaopotosha Ajenda kuhusu Katiba Mpya

    Kuna upotoshaji mkubwa dhidi ya hoja za wanaoitisha kurejelewa kwa mchakato wa kupatikana kwa katiba mpya. Mama wamemfanya kuamini kuwa hizo ni chokochoko. Katiba ni haki ya raia. Kudai katiba mpya dhidi ya iliyopo yenye mapungufu hakuwezi kuwa ni chokochoko. Hoja hupingwa kwa hoja. Katiba...
Back
Top Bottom