Nikiwa mdogo kijijini kwetu ngulugulu huko wilaya ya ileje Babu yangu alinifundisha namna nzuri ya kumkamua ng'ombe maziwa, nilipewa mbinu kwamba kuna ng'ombe wastaarabu, hauhitaji kumfunga kamba miguu ili umkamue, na kuna ng'ombe lazima umfunge kamba ndipo umkamue, kwa kuwa anaweza kukupiga...
Fuatilia yanayojiri kwenye mkutano wa waandishi wa habari unaoendelea muda huu ambapo Dkt. Slaa, Mwabukusi na Mbatia wanazungumza.
https://www.youtube.com/live/CpVkVel-IRM?si=kRb-q_tl6RKvlnne
===
Wakili Mwabukusi anazungumza
Juzi walitaka kubadilisha makubaliano ya Mkataba huu kati ya Taifa...
"The best is yet to come"(Obama ,2012) ni maneno yaliyotamkwa na Rais Obama katika hotuba yake siku aliyotangazwa mshindi kuongoza Taifa hilo kubwa kabisa duniani kijeshi na kiuchumi kwa kipindi cha pili mwaka 2012. Ilikuwa ni hotuba ya matumaini makubwa kwa Marekani na Wamarekani. Kwa tafsiri...
"The best is yet to come"(Obama ,2012) ni maneno yaliyotolewa na Rais Obama katika hotuba yake siku aliyotangazwa mshindi kuongoza Taifa hilo kubwa kabisa duniani kijeshi na kiuchumi kwa kipindi Cha pili mwaka 2012. Ilikuwa ni hotuba ya matumaini makubwa kwa Marekani na Wamarekani. Kwa tafsiri...
Hii ndio Taarifa mpya ya leo kutoka kanda ya ziwa ambako oparesheni 255 inatimua vumbi.
Muda wa lugha laini kwenye kudai Katiba mpya umekwisha, sasa lugha kali za kikakamavu zimeanza kutumika, huku Mbowe akitahadharisha watawala kwamba Katiba mpya ndio kipaumbele cha kwanza.
Hii ni kata ya...
Serikali imesema kuwa katika kipindi cha miaka mitatu ijayo itatumika kutoa Elimu kwa wananchi juu ya Katiba mpya.
Hapa najiuliza kwa maandishi ina maana mpaka leo Wananchi hawana uelewa juu ya Katiba mpya?
Hivi hakuna namna nyingine ambayo Serikali inaweza kufanya katika kuharakisha...
Waziri Mkuu, mstaafu Jaji Joseph Warioba ameeleza wasiwasi wake kuhusu hatua ya Serikali ya kutaka kuanza kutoa elimu ya Katiba Mpya kwa miaka mitatu, akisema ni muda mrefu kwa mchakato huo.
“Tumefikia mahali kama kuna utashi wa kisiasa, tunaweza kuamua juu ya haya mabadiliko, inanipa wasiwasi...
Nina wasiwasi na hawa CHADEMA kuwa ni tawi la CCM ,ukiangalia kwa undani utaona wananchi tumehamishiwa kwenye bandari,mbuga na mambo mengi ambayo mwisho wa siku tunapigwa na kufungwa bao la kisigino.
Bila ya madai dume ya kudai katiba mpya na tume mpya iliyo huru ya uchaguzi itakuwa haya...
Katiba iliyopo ni ya mfumo wa chama kimoja ambacho ni CCM na ilitungwa na CCM mwaka 1977.
Tanzania hatuna mfumo wa vyama vingi, bali tuna mfumo wa chama kimoja (CCM), ambamo kuna vyama vingi ndani yake. Kwa ufupi tuna vyama vingi ndani ya mfumo wa chama kimoja - CCM.
Kamwe CCM hakiwezi kuleta...
Nakumbuka kipindi cha mchakato wa Katiba, Prof Issa Shivji akitoa Darsa kwa Viongozi wa Vyama vya Siasa, alisema Wananchi wengi hawana Elimu ya Katiba na kusema Ukienda kuwahoji wanataka Katiba ipi, jibu lake atasema Sijui Katiba, hivyo hautapata hiyo Katiba unayoitaka kwasababu umekwenda kuhoji...
Hii nchi kila kitu ni drama; waziri wa katiba na sheria na watumishi wa ofisi yake tayari wameandaa kinachoitwa kampeni ya elimu ya katiba mpya na bajeti yake inalengwa kwa mwaka wa kwanza kutumia si chini ya bilioni tisa.
Watumishi wote wa ofisi yake wameshajiwekea ratiba hakuzunguka nchi...
Asalam,
Kwanza naomba nikiri kuwa pamoja na kupenda sana siasa za kimabadiliko na kimapinduzi lakini pia ni realist. Realist kwa kawaida ni aina ya watu wanaouona klukweli kama ulivyo na unaamini tabia za mwanadamu zilizowahi kujionesha siku za nyuma na hamu ya kila mmoja kupata zaidi.
Suala...
Kwa Jina la Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu
JUMUIYA NA TAASISI ZA KIISLAM (T)
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
17 Mfungo Sita 1436
9 Januari 2015
TAMKO LA JUMUIYA NA TAASISI ZA KIISLAM TANZANIA KUPITIA VYOMBO VYA HABARI KWA WATANZANIA WOTE, JUU YA MUSWADA WA MAREKEBISHO YA...
Dar es Salaam, Agosti 22, 2023
Abdulrahman Omari Kinana, mwanasiasa maarufu nchini Tanzania ambaye aliwahi kuwa Spika wa Bunge la Afrika Mashariki kuanzia mwaka 2001 hadi 2006, ametoa maoni yake kuhusu maendeleo ya demokrasia nchini humo. Akizungumza na katika mkutano wa wadau wa demokrasia...
Ninashauri Katibu mpya iweke kiwango cha elimu ya Mbunge anayetaka kugombea. Tumechoka kusikia sifa ya mgombea ni kuwa awe anajua kusoma na kuandika. Karne hii?.
Hii ndiyo maana wanapitisha mambo mengi wasiyoyaelewa. Mgombea Ubunge wa uchaguzi ujao sharti awe na shahada ya kwanza na...
Kamati inayosimamia kura ya Maoni ya #KatibaMpya katika Jamhuri ya Afrika ya Kati imetangaza Matokeo ya awali ambapo Katiba iliyopendekezwa imepita kwa zaidi ya 95%
Katiba hiyo inaondoa kikomo cha Vipindi Viwili vya Urais na kuongeza muda wa Muhula kutoka Miaka 5 hadi 7, pia inawazuia Wanasiasa...
Tunajua maelekezo lazima yawe yametolewa kwa majaji. CCM na Samia tunabashiri mtashinda kwa hila kama ilivyo ada na CJ ambaye umemuongezea muda kwa kuvunja katiba. Lakini mjue hukumu hii italeta haya
1. Kuizika kabisa independency of the Judiciary (uhuru wa mahakama) na kuua heshima ya mahakama...