kati

Kati is an urban commune and the largest town in Mali's Koulikoro Region. The town is situated 15 km northwest of Bamako, Mali's capital, on the Dakar-Niger Railway. In the 2009 census, the commune had a population of 114,983.

View More On Wikipedia.org
  1. O

    JamiiForums Tanzania AUDIO DOCK ZA SAMSUNG KAMA DA-E750, DA-E670, and DA-E550, IPI NI BORA ZAID KATI YA HIZI NAFIKIRIA HII 550 KAMA KUNA MTU KADHATUNIA NIPE UZOEFU

    Vipi kuhusu ubora WA sauti, uimara n.k Extrovert
  2. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ebu tazama huu ulinganishi wa silaha na budget ya kivita kati ya US na IRAN alafu kuna mtu anaandika humu kuwa US amekimbia baada ya kutishwa na Iran

    ✈️ Total Military Aircraft: 🇮🇷 Iran ⟶ 600+ 🇺🇸 USA ⟶ 13,000+ 🚁 Attack Helicopters: 🇮🇷 Iran ⟶ 150+ 🇺🇸 USA ⟶ 5,400+ 💥 Missiles: 🇮🇷 Iran ⟶ 3,000+ (short & medium range) 🇺🇸 USA ⟶ 10,000+ (ICBM, cruise, precision) 🛩️ UAV / Drones: 🇮🇷 Iran ⟶ 2,000+ 🇺🇸 USA ⟶ 11,000+ 🛡️ Tanks: 🇮🇷 Iran ⟶ 2,000+ 🇺🇸...
  3. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Wazee wa grammar 2: Lipi ni jibu sahihi kati ya haya

    SOMA PIA: https://www.jamiiforums.com/threads/wazee-wa-grammar-lipi-ni-jibu-sahihi-kati-ya-haya.2415618/
  4. Godoro la kioo

    JamiiForums Tanzania Kati ya mwanaume na mwanamke nani mwenye akili zaidi

    Upi mtazamo wako kati ya mwanaume na mwanamke nani ana akili zaidi Kwangu Mimi naona kama wenzetu Kuna sehem wametupiga gape kwa sababu zifuatazo 1)Mwanamke akipata Hela anawaza namna ya kujiimarisha, na kama ameolewa anawaza namna ya kuwa peke yake Hali ni tofauti kwa mwanaume yeye...
  5. McLaren

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa madini kati ya mfalme Lobengula na Serikali ya Uingereza ulivyoleta hekaheka nchini ufalme wa Matebele nchini Zimbabwe

    Wakuu, Mkataba wa Rudd ulikuwa makubaliano muhimu ya haki za madini yaliyosainiwa mnamo Oktoba 30, 1888, kati ya Mfalme Lobengula wa Matabeleland na mawakala waliomwakilisha mfalme wa kikoloni wa Uingereza, Cecil Rhodes. Hati hii ilikua msingi wa kisheria wa ukoloni wa Uingereza katika eneo...
  6. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hadi sasa katika harakati zako za ujana maji ya moto, ni kitendo kati ya hivi haujawahi kugusa kabisa?

    1: punyeto 2: clubbing/pub 3: unywaji wa pombe/liqour/whiskey/wine/visungura/gongo 4: mihadarati (bangi, heroin, meth, cocaine) 5: utumiaji wa makahaba 6: kuwa na sponsor/mshangazi 7: kuangalia pornography 8: betting 9: kuwa na mchepuko 10: group/party sex 11: threesome 12: kutoa...
  7. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Vita za kichini chini kati ya wana usalama wa US, Israel, Pakistan, Iran, Urusi, Qatar na Uchina. Aftermath yake hauwezi kuisikia kwenye media.

    Usiniulize nimejuaje, swali unalopaswa kuuliza ni kwa nini Cnn, bbc, fox, al jazeera hawaripoti japokuwa unakuta wamepata leak au kimemo😁 Ila ukweli ni kuwa wana usalama wa Marekani (CIA/NSA), Israel (Mossad), Pakistan (ISI), Iran (MOIS/IRGC), Urusi (FSB/GRU), Qatar (State Security), na Uchina...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Nichukue Mifi ipi kati ya halotel, tigo, airtel na voda?

    Naomben msaada hapa wakuu, ninatamani kununua router ambayo portable inaweza kaa hata mfukoni kwa matumizi ambayo ni makubwa kiasi, ni mtandao upi kati ya tigo, halotel, airtel na voda wana mifi ambayo ni reliable nzuri na haisumbui hata kama uko nje ya mji mana naona hiyo ndo only...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa mwekezaji Geita: Waziri Shemdoe aingilia kati

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI, Riziki Shemdoe amemuagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Geita kuhakikisha ndani ya siku 14 anawasilisha taarifa ya kina kuhusu mgogoro unaomhusisha mwekezaji anayedaiwa kubomoa maeneo ya serikali na kuanzisha miradi bila utaratibu...
  10. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Yanatafutwa maridhiano kati ya nani nani? Nani alidhulumiwa haki zake?

    Hili ndio swali kubwa la msingi linalopaswa kujibiwa. Maridhiano kati ya nani nani? Nani aliddhulumiwa mpaka marudhiano yatafutwe? Bila kuwekwa wazi kuwa wapo waliodhulumiwa haki zao za msingi na waliodhulumu wakakiri wazi kuwa walifanya makosa itakuwa ngumu kufika mwisho.
  11. H

    JamiiForums Tanzania Naibu wa Waziri wa Afya, Mhe. Dkt. Florence Samizi (kulia) akitoa mada katika Mkutano wa Afya kati ya nchi za Afrika na Nodiki jijini Stockholm, Swede

    Naibu wa Waziri wa Afya, Mhe. Dkt. Florence Samizi (kulia) akitoa mada katika Mkutano wa Afya kati ya nchi za Afrika na Nodiki jijini Stockholm, Sweden.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mhe. Ashura Masoud - Katibu wa Chadema Kanda ya Kati.

    Nimekusikia ukisema Yesu asifiwe na tumkutuze Yesu. Hii pale upotoa salamu ktk mazishi ya mtei. Unapokua muislamu kuna miiko ya maamkizi popote pale na ktk shughuli yoyote ile. Muislamu hutakiwi kumtukuza Yesu . Ulotakiwa kusema habarini, za mchana au poleni. Muislamu kuna matamshi hutakiwi...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Kuna mstari mwembamba sana kati ya Serikali na Chama tawala, hiyo inachangia changamoto nyingi za Kidemokrasia Tanzania

    Katika mifumo ya kidemokrasia Duniani, moja ya nguzo kuu za uchaguzi huru na wa haki ni kutenganishwa kwa Serikali kama taasisi ya umma na vyama vya siasa kama washindani wa uchaguzi. Hata hivyo, katika baadhi ya nchi zinazoendesha mfumo wa vyama vingi baada ya historia ndefu ya chama kimoja...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Namna mwaka 2026 utakavyoimarisha uhusiano wa kielimu kati ya China na Afrika

    Mwezi Julai 2025, wanafunzi na walimu 20 wa Chuo Kikuu cha Ualimu cha Zhejiang waliwasili Port Elizabeth nchini Afrika Kusini, na kuwa wimbi jingine lisiloyumba la mawasiliano ya kielimu baina ya China na Afrika yaliyoanzishwa katika miaka ya hivi karibuni. Wakati mwaka 2026 ni wa mawasiliano...
  15. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Kati ya filamu hizi ni ipi ilikuacha mdomo wazi mpaka unatamani ungepoteza kumbukumbu uianze upya?

    Mdau ......Kati ya filamu hizi ni ipi ilikuacha mdomo wazi mpaka unatamani ungepoteza kumbukumbu uianze upya?
  16. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Wazee wa grammar, lipi ni jibu sahihi kati ya haya?

  17. Top Gun

    JamiiForums Tanzania Tangu asubuhi sijauza hata mia na nipo mjini kati, mambo yangu yanakwama kwa kasi, nachanganyikiwa

    Nakosa hata la kuongea wakuu, aisee!
  18. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Nani anahitaji kuponywa kati ya Samia na Taifa?

    Juzi, Samia alisikika akijigamba kuwa aliunda wizara ya vijana ili kuiponya taifa. Je, kati yake na taifa, nani anastahiki kuponywa kwanza na je, alimaanisha nini au ni tambo tu.
  19. Chibike

    JamiiForums Tanzania Hivi kati ya madini ya Tanzanite, Ruby, Green Tourmaline yapi Yana thamani kubwa? Na bei zake zipoje sokoni kwa Sasa?

    Wadau wa madini kati ya madini ya Tanzanite, Ruby, Green Tourmaline yapi Yana thamani kubwa? Na bei zake zipoje sokoni kwa Sasa?
  20. M

    JamiiForums Tanzania !IMPORTANT, No sportwashing, Mkataba kati ya Manchester United kusafisha Damu ya Watanganyika mikononi mwa CCM

    Uzi wangu uliopita umefuta, ila lazima haki ipiganiwe Mnakumbuka hii picha kwenye hii ziara Matokeo yake ni kuwa Manchester United ilipewa tender ya karibu dola million 19 sawa na TZS billioni 50 kupromote vivutio vya Utalii Tanzania Hii ni summary ya huu mkataba Company: MANCHESTER UNITED...
Back
Top Bottom