kati

Kati is an urban commune and the largest town in Mali's Koulikoro Region. The town is situated 15 km northwest of Bamako, Mali's capital, on the Dakar-Niger Railway. In the 2009 census, the commune had a population of 114,983.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mazingira yetu: Kati ya mnyama na binadamu, nani hatunzi mazingira?

    Tusipochukua hatua sasa. Tutaimaliza hii dunia wenyewe.. Kwako unaona ni mrija mmoja, amazing chupa moja ama kipande kimoja! Lakini umeshawahi kuwaza mkiwa 100,200 1000 na zaidi?
  2. JamiiForums Tanzania Kampuni za mabasi zasitisha safari kupisha kimoja kati ya uchaguzi au maandamano. Matajiri hawataki kuweka Mali Hatarini

  3. JamiiForums Tanzania Changamoto ya Kufutwa kwa Matokeo Bila Ufafanuzi: Dilema Kati ya Wanafunzi, Wazazi na NACTE

    Katika miaka ya karibuni, kumekuwepo na ongezeko la malalamiko kutoka kwa wanafunzi na wazazi kuhusu hatua ya NACTE kufuta matokeo ya baadhi ya wanafunzi bila kutoa sababu za wazi. Hali hii imekuwa ikileta mkanganyiko mkubwa (dilema) hasa kwa wanafunzi wa kozi kama Diploma in Health Information...
  4. JamiiForums Tanzania Ukweli: Kuna tofauti kati ya Kutiki na kuchagua kiongozi anayefaa kwa taifa lako

    Kutiki maana yake ni kuweka alama.ya vyema. Hata kama ulichokiwekea alama ya vyema hakifai kwa manufaa yako. Lakini kuchagua ni kupambanua kile kilicho chema kwa manufaaa yako na taifa lako. Hivyo hata kama wanaokwenda kutiki watatiki tu kama mkumbo. Lini watatiki?
  5. JamiiForums Tanzania Nani atashinda F1 Driver’s Championship 2025 kati ya Piastri, Norris au Verstappen?

    Hadi leo, tar 21 Oct, zimebaki race (GP) 5 tu msimu uishe. Msimamo hadi sasa upo hivi: Piastri na Norris wamefanya vizuri sana na gari lao la McLaren na wameshachukua kombe la Constructors kabla ata msimu haujasha. Sasa kwa upande wa driver, Max Verstappen ataweza kutetea ushindi wake...
  6. JamiiForums Tanzania Mdau unajua tofauti kati ya E-mail na GMail?

    Usiku Mwema.
  7. JamiiForums Tanzania Chagua nchi Moja ya kufanya kazi kati ya Misri, Israel,South Africa, Brazil au Indonesia

    Assume umepewa nafasi ya kazi Moja na mshahara mmoja ila katika nchi hizi tano(5) umeambiwa uchague Nchi Moja utachagua ipi kati ya Misri,SA, Indonesia,au Brazil, au Israel utachagua ipi?
  8. JamiiForums Tanzania Diddy anaweza kuachiwa kati ya tar 8 mwezi wa 1 mwaka 2026

    Nyota ya Diddy inaonyesha nguvu kubwa sana ya uthibiti katika kila hali siku hizo so kwa makadilio Diddy anaweza kutoka Jela kati ya Tar 5 hadi tar 9 january na reccond zaidi Tar 8.
  9. JamiiForums Tanzania Best selling products ever worldwide: Kati ya hizi ni ngapi zimepita mikononi mwako?

    Wakuu. Leo kuna list hapa ya baadhinya products zilizovunja record ya mauzo Duniani kutokea kutengenezwa hadi leo. 1. Magari - Toyota Corolla (50 M+) 2. Simu - Nokia 1100 (250 M+) 3. Game console - PlayStation 2 (160 M+ units) 4. Video game - Minecraft (300 M+) 5. Kitabu - Biblia (billions...
  10. JamiiForums Tanzania NIDA wachague moja kati ya kuruhusu kuona namba mtandaoni (online) au waondoe kabisa huduma hiyo isiwepo kabisa

    Kwanza naheshimu serikali na natambua juhudi yake katika kuhudumia wananchi, kulinda na kudhibiti taarifa zao. Zamani sehemu ya huduma kwa jamii ambayo ilikuwa na usumbufu namba moja ilikuwa ni RITA (cheti cha kuzaliwa) lakini siku hizi namba moja kwa usumbufu ni NIDA. Niliwahi kuandika humu...
  11. JamiiForums Tanzania Kati ya minara na parachute unapendelea yapi zaidi?

    Eti mabaharia😜
  12. L

    JamiiForums Tanzania Mijadala ya sera kati ya Tanzania na China kuinufaisha Tanzania katika utekelezaji wake wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050

    Wakati China ikielekea kuainisha mipango yake ya maendeleo ya taifa kwa miaka mitano ijayo (2026 hadi 2031) baada ya kumalizika kwa Mpango wa 14 wa Miaka Mitano wa China (2021-2025), hivi karibuni Tanzania imezindua Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 ili kufikia lengo kuu la kujenga Taifa jumuishi...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Kati ya Yesu na Muhamad nani ni msaada kwa Waafrika?

    Iwapo kuna makundi mawili makubwa ya wafia dini wa Yesu na wa Muhamad je ni kundi lipi ambalo liko sahihi na linapata msaada zaidi ya lingine kutoka kwa kiongozi wao? Na kwanini kuwe na makundi mawili kwa wafia dini wa kiafrika wakati Mungu ni mmoja tu? Je makundi ambayo hawako kundi la Yesu...
  14. JamiiForums Tanzania Jinsi ambavyo watu wanajaribu Kuibagaza Yanga. Serikali iingilie kati suala hili. Hii ni Team ya Chama

    Huu ujinga serikali ikemee. Yanga ni team ya Taifa. Kwa nini watu watumike kuibagaza na kuibananga namna hii? Hili shoga limevaa jersey ya Yanga linfurahia kama ambavyo huwa yanavaa za CCM.
  15. JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa

    Waislamu wanadanganya watu, eti Yesu ndio lssa bin Mariam, lakini hawa ni watu wawili tofauti kabisa. Yesu alizaliwa kwenye hori la ng'ombe na lssa bin Mariam yeye alizaliwa chini ya mtende. Watu hawa wana tofauti nyingi sana, nawaomba ndugu waislam waache kumlinganisha Yesu na lssa.
  16. P

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Rais Mfute Kazi Suleiman Abubakr Mombo Mara Moja

    Kwa video zinazoendelea kuwekwa na Dada Mange zikionesha utajiri usiendana na Kipato cha Dgis Mombo na Familia yake. Nashauri Rais Samia Tengua uteuzi wa Mombo mara moja. Leo kuna video ya Hidaya Binti wa Mombo akichezea Dola laki 3 takribani milioni 800 za Tanzania taslim na akiwanyooshea...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Nani ni mfugwa kati ya hawa?

    Mmoja ni mfugwa wa rohoni na mwingine mfugwa wa kibinadamu. Ingawa kibinadamu Lissu ni mfugwa lakini roho yake ipo huru. Wakati mwenzake kufanya kazi ya kulazimishwa moyoni hayuko huru
  18. N

    JamiiForums Tanzania Fahamu Utofauti Kati ya App na Website

    Habari wakuu, Naomba niendelee kutoa baadhi ya elimu kuhusiana na utofauti uliopo kati ya website na app Watu wengi hawaelewi utofauti huu ni nini? Website ni ukurasa au mkusanyiko wa kurasa mtandaoni ambazo mtu anaweza kufikia kupitia kivinjari (browser) kama vile Chrome, Safari, au Firefox...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi kuna uhusiano gani kati ya kusisimka kwa mwili wa mwanamke?

    Shikamooni wakuu! Nilikua natafakari hapa,kwa nin mwanamke akinyonywa matiti na mwanaume au hata akiguswa tu lazima mwili wake usisimke. Je kuna uhusiano gani kati ya hivyo vitu?
  20. JamiiForums Tanzania Kwa kinachoendelea Gaza, kuna tofauti kati ya Adolf Hitler na Benjamin Netanyahu?

    Mauaji ya kimbari ya Manazi yananikumbusha haya ya sasa ya Waisraeli wakiongozwa na Hitler wao Benjamin Netanyahu. Je kweli kuna tofauti kati ya Adolf na Benjamin Hitler Netanyahu?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…