kasoro

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ushauri na msaada; Je asomee kitu gani? Ana D kwa masomo yote kasoro Math's F na Kiswahili C

    Binti ana Four ya 28 (arts pure) sasa anataka kujua anachoweza kusomea >>>Ameambiwa aingie humu achague kozi zinazoendana na ufaulu wake>>> NIT DIT NACTE
  2. JamiiForums Tanzania Mjadala kwa Wanaume: Kwa nini ndoa za mitala zinapigwa vita sana? kasoro yake nini? Tuoe bana kila mtu kwa uwezo wake

    Ndugu zetu Islam na wazee wa Mila wameweza kudumisha ndoa za wenza wengi na kutokana na elimu waliyonayo ni jambo linalowezekana sana na linatibu jamii ambayo infidelity imekuwa order of the day. Wakristo na Serikali wamejikita kwenye ndoa ya mme mmoja to mke mmoja ambapo ukiangalia ratio ya...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Hivi Wakuu wa Mikoa Wabunge na mfumo rasmi wa serikali umeshindwa kabisa kutatua matatizo ya wananchi mpaka aje Makonda mwenezi. Kuna kasoro

    Mimi nimekuwa nikifuatilia kwa karibu kinachoendelea kuhusu ziara za Makonda mikoani, na zoezi la kusikiliza kero mbalimbali za wananchi. Kimsingi hali inafikirisha sana, na hapa Mwanasheria Mkuu wa serikali ameliona hili. Tuna wakuu wa Wilaya,wakuu wa mikoa , wabunge Takukuru nk wote kweli...
  4. JamiiForums Tanzania Timu zote AFCON jezi ni Puma kasoro Algeria!

    Naona timu zote zinazoshiriki michuano ya Afcon jezi wanazotumia chata ni Puma, kasoro Algeria tu. ao wapo na chata ya Adidas na ndio jezi nzuri zaidi kwenye mashindano haya. Tanzania sijaona chata yoyote. Namibia ndio jezi mbaya zaidi.
  5. JamiiForums Tanzania Secretariat ya CCM ni kubwa kimamlaka kuliko kiongozi yeyote kasoro Rais tu. Acheni kelele Makonda alikuwa sahihi

    Katibu mwenezi wa CCM ndugu Paul Makonda hajafanya kosa lolote kumpa maagizo Waziri Mkuu kutatua changamoto za ardhi, Serikali ipo kwa niaba ya CCM na hao mawaziri wote ni wanachama wa CCM na boss wao ni hio secretariat ya CCM. Mazombi mnapanic kama vibwengo acheni hizo. Tanzania mmezidi kuwa...
  6. JamiiForums Tanzania Je, unafurahishwa na tabia za mwanao?

    Niseme tu ukweli kuhusu huyu mwanangu wa kiume Ana mwaka na miezi tisa hajajua kuongea vizuri ndo anajifunza, kwanza kabisa Nina uwezo wa kwenda naye kazini kwangu na asinisumbue wala kulia, Anasalimia kila mtu tunayepishana naye barabarani, Ni msikivu kwa kila ninacho mwambia Akichukua kitu...
  7. JamiiForums Tanzania Mila za Kabila la Waluguru zina kasoro, chukua tahadhari kabla hujaoa huko

    1. Mwanamke ndio mwenye nguvu watoto ni wa mama na watoto wanawaheshimu wajomba sio wewe baba. 2. Mwanamke wa kiluguru ukimuoa kila mwaka lazima arudi kwao kucheza ngoma na huko lazima akutane na ma X wake agegedwe. 3. Waluguru wanapenda kuishi pamoja ukoo mzima yale maisha ya kijima ya zama...
  8. JamiiForums Tanzania SoC03 Babu nimechoka kukariri nataka kuuelewa Muungano

    Shikamoo Babu. Babu nimesoma katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984 ibara ya 2A inasema "Zanzibar ni miongoni mwa nchi mbili zinazounda jamhuri ya muungano wa Tanzania". Kweli naiona Zanzibar ipo kama nchi maana ina Rais wake, katiba na bendera yake. Nchi ya pili ambayo ni sehemu ya muungano hapa...
  9. JamiiForums Tanzania Ukiacha kasoro ya Uchawi Wanawake wa Kirangi ni wazuri kuwazidi wa makabila mengine yote hapa Tanzania.

    Wasalaam JF, Kwenye ukweli tuseme kweli tuache mazoea ya kubisha bisha. Wambulu, wamang'ati, Wanyaturu, Wachaga, Wameru, wamasai wameachwa mbali na warangi kwa uzuri, wana rangi, wanashepu, wanatrackoo, wako soft, wanakwanguliwa kisimilo chote hakibaki hata chembe. Ni hayo ukibisha ni wewe tu...
  10. JamiiForums Tanzania Njia ya kumteua Makamu wa Rais kupitia ccm iangaliwe upya ina kasoro

    Namna ya kumpata Saa100 mwaka 2015 kupitia ccm kuna mahali ccm walibugi step. Hii mikataba tunayoiona ikisaini Dubai na kutoa bandari zote kwa kampuni moja hata hatujui bodi members wake ni akina nani?inatokana na namna ailivyopatikana kupitia ccm.
  11. JamiiForums Tanzania Nimeibiwa takribani laki 5 na Binti wa duka langu jipya ndani ya miezi miwili. Nichukue uamuzi gani?

    Ni duka langu jipya nililofungua mwezi wa tatu, kwakuwa mimi ni muajiriwa niliona nitafute binti awe anakaa hapo, mimi tunawasiaana nae ila napitiaga baadhi za siku jioni na weekend. Binti ana miaka 23, mama yangu mdogo ndie alienisaidia kumpata maana ni majirani, ni binti ambae sikudhania...
  12. JamiiForums Tanzania Sheria ya kukamata ugoni ina kasoro, irekebishwe

    Sheria ya Ugoni inaeleza ukidakwa na mke au mume wa mtu ni kosa la madai na unaweza kulipishwa fidia kulingana na mahakama itakavyoona. Sasa najiuliza umepata mwanamke katika mazingira ambayo hujui au hajakueleza au ameficha utambulisho wa ndoa. Wewe kosa lako ni lipi? Mwanamke ametongozwa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo kutofundishwa shule ya msingi ni kasoro kubwa kwa rasimu ya mtaala

    Bado hali ya uchumi wa nchi yetu ktk sehemu kubwa ya taifa letu Wananchi hujishughulisha na kilimo na bado inasemekana uchumi wetu hutegemea kilimo. Kwa kutofundishwa somo la kilimo ni tafsiri halisi kuwa hata Wananchi huko wanakolima hawatathamini kilimo na baadae wageni wawekezaji watakuja...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Wanawake punguzeni makasiriko. Mjitathimini kama nyie hamna kasoro

    Leo nataka kuongea na wanawake wote popote mlipo. Kwa nini siku zote ktk mahusiano au ndoa lawama ni kwa wanaume tu? Wanawake wote wanaolalamika juu ya wanaume eti ni mbwa, hawaridhiki hata uwafanyie kitu gani bado atakusaliti. Niwaambie tu kuwa siyo kweli nyie mnaolalamika ni kuwa too much...
  15. JamiiForums Tanzania Asilimia 75 ya miradi ya maendeleo Njombe yakutwa na kasoro baada ukaguzi wa Takukuru

    Jumla ya miradi ya ujenzi ya maendeleo 12 kati ya 16 ( sawa na asilimia 75) katika mkoa wa Njombe imekutwa na kasoro mbalimbali katika utekelezaji wake baada ya Taasisi ya upambana na kuzuia rushwa mkoa wa Njombe kufanya ukaguzi. Akiwasilisha taarifa ya utendaji kazi katika kipindi cha miezi...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Mikutano ya hadhara imeruhusiwa ili itumike kuua legacy ya Hayati Magufuli ya kufunika kasoro za sasa

    Kwa mara ya kwnza tunashuhudia upinzani wa aina yake nchini Tanzania, upinzani ambao unaacha kupigana na utawala uliopo na badala yake unapigana na kivuli cha marehemu Magufuli. Naomba ieleweke kuwa hili halitokei kwa bahati mbaya, Zitto Kabwe kukejeli ndege zilizonunuliwa na Serikali ya...
  17. JamiiForums Tanzania Je, ni kitu gani ambacho hakina kasoro kabisa duniani?

    Natafuta kitu ambacho hakina kasoro hapa duniani, kitu kikamilifu kwa 100% kitu ambacho huwezi kukuta mawaa ndani yake. Nimeangalia kama dini, zote zinamapungufu ndani yake. Kama ni elimu zote zina mapungufu ndani yake, zimekosa majibu mengi. Kama ni sera za vyama, sera za vuama vyote vimejaa...
  18. JamiiForums Tanzania Tunaomba serikali iyaachie mashirika muhimu ya umma yenye kutoa huduma kwa jamii moja kwa moja yajitegemee kila kitu kasoro usimamizi tu

    Hii ni kwa maslahi ya wananchi... Kinachopelekea uzembe na kudorora kwa utoaji wa huduma kwa wananchi ni Kwamba... Wana uhakika wa mshahara bila kujali mauzo... Ingebidi wawe wanawapata malipo kulingana na wanavyouza wangekuwa na adabu na kujituma. Kwa mfano TBC wanajua kabisa... Uangalie...
  19. JamiiForums Tanzania Macho yako yaniita kwako sioni kasoro

    Wakuu poleni na majukumu naombeni msaada was kupata hi nyimbo ya bongo fleva yenye mistari ''sura yako inaiita kwako...macho yakoyananiita kwako sioni kasoro...
  20. JamiiForums Tanzania Hiki ni kitu gani wajameni?wanawake Mungu naomba uwachome kasoro mama yangu!

    Sina maelezo ni picha hizi ni dawa gani?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…