kaskazini

Unguja North Region is one of the 31 regions of Tanzania. Located on the island of Zanzibar, Mkokotoni serves as the region's capital. Zanzibar North is divided into two districts, Kaskazini A and Kaskazini B.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    Kaskazini wagomea rasimu kanuni mpya LATRA

    Mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe. Amos Makalla ni shahidi mwaminifu kwenye hilo. Kaskazini mwanzo mzuri. Hakuna kurudi nyuma. Na mkikaza inavyopaswa, pana watu vibarua vitaota nyasi. Kwamba ukaguzi wa magari au inatakiwa pesa kwa mtindo ule ule wa kariakoo? Kwani Kariakoo walikitanzua...
  2. M

    Kina Dada mnajua madhara na matokeo ya kupata watoto katika umri mkubwa kwa mara ya kwanza?

    Kati ya wadada 10 wenye umri zaidi ya miaka 35 wanaotafuta wachumba basi wadada 7 wanatoka mikoa ya kanda ya kaskazini. Kikubwa zaidi wadada wa ukanda huu mpaka miaka 38 anakuwa hajazaa.Tofauti na nyanda nyingine ndani ya Tanzania pamoja na kuwa hajaolewa na anatafuta mchumba lakini ameshawahi...
  3. Ukiona mwanaume anaogopa wanawake wa Kaskazini huyo ni Mvivu

    Sio kwa ubaya lakini kusema wanawake wa kanda ya Kaskazini hawafai jua wewe ni mvivu unapenda mseleleko, Wale ukiwatumia vizuri kutoboa kimaisha ni chap tu, hawazi mapenzi muda wote kama waliopo let say tanga hivi au dar. shida ni unapata demu badala umtumie katika kufanikisha michongo yako...
  4. Kwanini ni lazima nioe Mwanamke wa Kaskazini?

    Habari za Leo. Kwangu ni lazima kuoa Mwanamke wa Kaskazini au jamii zinazokaribiana Mila, desturi, falsafa na mitizamo kama ya Wanawake WA Kaskazini. Kuoa Mwanamke wa Kaskazini kwangu Sio Optional, bali ni lazima. Hii itabaki kuwa hivyo ilivyo. Sio kila mtu atakayetaka kujua sababu ya Mimi...
  5. J

    Chuki, na wivu kwa watu wa kaskazini ndio chanzo cha kusemwa hawafai

    Sio mpenzi sana wa kuanzisha mada za kikabila, ila ukiona kabila au jamii yako yoyote, iwe ukoo, kabila, nchi, au race inashmbuliwa unfairly lazima uweke mambo sawa Kuna mada imeanzishwa hapa kushambulia "wanawake wa kaskazini" kuwa ni wanawake wasiofaa kutokana na sababu alizozitoa mtoa mada...
  6. Kwanini Mwanza vyuo havijengwi kama Kusini?

    Mwanza ndio jiji kuu la kanda ya ziwa, ukanda wenye Watanzania wengi sana walioelimika lakini kwanini serikali haitaki kujenga vyuo Mwanza? Mwanza imefikia hatua kiasi hata chuo kinachoonekana kikubwa ni SAUT maana hakuna vyuo vya serikali. Ukicheki kusini jiji kama Mbeya kuna Udsm chuo cha...
  7. Korea Kaskazini yaadhimisha miaka 111 ya kuzaliwa kwa mwasisi wake

    Leo Jumamosi inatimia miaka 111 tangu kuzaliwa kwa mwasisi wa Korea Kaskazini, Kim Il Sung. Jana Ijumaa usiku, runinga ya serikali ya nchi hiyo ilionesha video ya bango lenye maneno “kiongozi wa milele” likipandishwa juu jijini Pyongyang. Wanawake waliovalia nguo za kitamaduni walionekana...
  8. Korea Kaskazini yarusha kombora la masafa marefu na kuzua wasiwasi wa kiusalama

    Korea Kaskazini imerusha kombora lake ambalo linaelezwa limefika katika êneo la bahari karibu na Japan, na kuzua wasiwasi wa kiusalama wa kikanda. Msemaji wa Baraza la Usalama, Adrienne Watson amesema rais Joe Biden na washauri wake kuhusu masuala ya usalama wanathathmini hatua hiyo ya Korea...
  9. Korea Kaskazini yajaribu mfumo wa droni za kimkakati za chini ya maji

    Korea Kaskazini imesema wiki hii imefanya jaribio lingine la droni ya mashambulizi ya chini ya maji yenye uwezo wa nyuklia. Tahariri ya leo Jumamosi ya gazeti la chama tawala cha Wafanyakazi imesema taasisi ya taifa ya utafiti wa sayansi ya ulinzi ilifanya jaribio hilo kwa siku nne hadi jana...
  10. Baada ya kunyimwa silaha na China, Urusi sasa yaendelea kufuata Korea Kaskazini

    Supapawa anatapatapa, kalemazwa na kainchi kadogo. "We have new information that Russia is actively seeking to acquire additional munitions from North Korea," said White House national security spokesman John Kirby. He said the man, identified as Ashot Mkrtychev, 56, of Bratislava, was working...
  11. Korea Kaskazini yafichua ushahidi wa kwanza wa silaha za kinyuklia

    Korea Kaskazini imezindua vichwa vidogo vya nyuklia ambavyo imesema vinaweza kuwekwa kwenye makombora ya masafa mafupi. Korea Kaskazini kwa muda mrefu imekuwa ikidai kuwa na silaha za nyuklia zenye uwezo wa kulenga shabaha nchini. i Korea Kusini. Lakini picha ilizochapisha katika gazeti lake...
  12. Korea Kaskazini yafanya jaribio la ndege isiyokuwa na rubani

    Korea Kaskazini imesema imefanya jaribio la ndege isiyoendeshwa na rubani yenye uwezo wa kubeba vichwa vya nyuklia na kushambulia ikiwa chini ya maji. Shirika la habari la nchi hiyo, KCNA, limeripoti hayo hii leo, Ijumaa, wakati kiongozi wa nchi hiyo, Kim Jong Un, akitowa onyo kwamba luteka...
  13. Japan: Korea Kaskazini imerusha kinachoonekana kuwa ni kombora

    Wizara ya Ulinzi ya Japani imesema Korea Kaskazini imerusha kile kinachoonekana kuwa ni kombora. Kikosi cha Ulinzi wa Pwani cha Japani kimeinukuu Wizara wa Ulinzi wa Japani ikisema kwamba kifaa hicho ni dhahiri kimetua. Na Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Korea Kusini ametangaza mnamo saa 5:09 leo...
  14. Exaud Kigahe apongeza Miaka 2 ya Rais Samia Madarakani kwa aliyoyafanya Jimbo la Mufindi Kaskazini

    Naibu waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara nchini na Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kaskazini Mhe. Exaud S.Kigahe amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza Miaka Miwili Madarakani 19 Machi, 2021 - 19 Machi, 2023 Mhe.Exaud S.Kigahe amesema...
  15. R

    Walioitenga Kanda ya Kaskazini wakitamani imomonyoke kimaendeleo wapo wapi?

    Kuna kakikundi Ka watu kalijiaminisha kwamba kanaweza kuidhorotesha Kanda ya Kaskazini kiuchumi na kisiasa kama walivyofanya Kanda ya Kati lakini Mungu amewaumbua kwamba wachapa KAZI dawa Yao siyo kuwaonea wivu Bali nikuwaongezea nguvu wachape KAZI zaidi. Mimi naangalia Dodoma ilivyokufa...
  16. Korea Kaskazini imefanya majaribio ya makombora

    Vyombo vya habari vya Korea Kaskazini vimesema urushaji huo wa makombora ambao uliothibitishwa na jeshi la Korea Kusini, ulikusudiwa kuthibitishwa kutegemewa kwa makombora hayo na uwezo wa kujibu kwa haraka kitengo kinachoongoza silaha hizo. Shirika la habari la Pyongyang limeripoti kwamba...
  17. Tunamshukuru sana Mungu Dar es Salaam haipo Kanda ya Kaskazini au kanda ya ziwa

    Tunamshukuru sana mungu mzizima haipo kanda ya kaskazini au kanda ya ziwa kwa hakika kama ingekuwa katika kanda hizo bila shaka wananchi wa mikoa mingine wasingeweza hata kukaribia au kunusa tu ila mungu kwa ufundi na busara hatimaye Dare Ssalaam ipo hapo ilipo. Wenyeji wa mzizima kwa hakika si...
  18. Ufunguzi wa shule mpya ya sekondari ya sekouture - jimbo la Singida kaskazini

    UFUNGUZI WA SHULE MPYA YA SEKONDARI YA SEKOUTURE - JIMBO LA SINGIDA KASKAZINI UGUNGUZI WA SHULE MPYA YA SEKONDARI, MBUNGE IGHONDO ATAJWA KINARA WA UTATUZI WA CHANGAMOTO YA ELIMU JIMBONI. Mnamo mwezi Januari 09 2022 Wananchi wa Kijiji cha Sekouture wakiongozwa na Viongozi wao Walifanya hafla ya...
  19. Singida Kaskazini yaneemeka na miradi ya maji, Serikali yatatua kero

    SINGIDA KASKAZINI YANEMEEKA NA MIRADI YA MAJI, SERIKALI YATATUA KERO. Jimbo la Singida Kaskazini linazidi kupata Miradi mbalimbali ya Maendeleo kila iitwapo leo Kwani Wanasingida Kaskazini kwa Ujumla wake wanazidi kushuhudia Kasi kubwa ya Maendeleo tangu Mhe. Ramadhan Ighondo ambaye ndiye...
  20. Nimesikia Tarime iko Kaskazini Magharibi mwa Tanzania

    Kutoka Radio One asubuhi hii saa 12:50 kipindi cha Nipashe, Nimemsikia msoma risala ya kumuaga Kiongozi mmoja wa JWTZ akisema Chacha Suguti alizaliwa wilaya ya Tarime - mkoa wa Mara uliopo Kaskazini Magharibi mwa Tanzania!!! Hivi reference point huwa iko wapi tunapotaja hizi locations? Je, ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…