kaskazini

Unguja North Region is one of the 31 regions of Tanzania. Located on the island of Zanzibar, Mkokotoni serves as the region's capital. Zanzibar North is divided into two districts, Kaskazini A and Kaskazini B.

View More On Wikipedia.org
  1. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Point tatu muhimu zinazowatofautisha watu wa kanda ya ziwa Na watu wa kaskazini katika utafutaji wa pesa

    Nimeishi kanda ya kaskazini miaka minne nilikuwa ninaishi Moshi mjini lakini nafanya kazi mkoa wa Arusha...Na hizi ndio point tatu muhimu Na moto wa gesi zinazowatofautisha watu wa kaskazini na watu wa kanda ya ziwa katika utafutaji wa pesa. ( 1)Ujuaji yaani kujifanya kujua Kila kitu, watu wa...
  2. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Wakulima kanda ya kaskazini wahofia njaa baada ya kupata mavuno haba

    Wakulima kanda ya kaskazini wahofia njaa baada ya kupata mavuno hafifu kwa kile wanachodai mvua kukata mapema mwaka huu. Baadhi ya wakulima kutoka katika mikoa ya kilimanjaro ,manyara wamesema ni kweli mvua zilikuwa nyingi sana mwaka huu LakinI pia ziliwahi kukata kabla ya mazao Kufikia stage...
  3. Ritz

    JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini imesema itatuma wanajeshi wake nchini Ukraine kuisaidia Urusi

    Wanaukumbi. 🇰🇵 🇷🇺 Korea Kaskazini kutuma wanajeshi Ukraine kupigana pamoja na Urusi. Mkataba wa ulinzi uliotiwa saini kati ya Urusi na Korea Kaskazini mnamo Juni 19, 2024, unajumuisha kifungu cha usaidizi wa kijeshi wa pande zote katika tukio la vita. Muda mfupi baada ya mkataba huo kutiwa...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Korea kaskazini: Rais kim jong Un asema Africa itaendelea kunyonywa na ulayakupitia dini mpaka hapo watakapomtambua Mungu wao

    Kim Jong Un amesema nchi za ulaya zinainyonya Africa kwa kile walicho waghirib eti Mungu wao ndo mungu wa kweli wakati ulweli ni kwamba Africa inapaswa kuondokana na ukoloni huo. Ikumbukwe korea kaskazini wamezuia na kupiga marufuku biblia na quran kwa kusema na culture ya wazungu na waarabu tu...
  5. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini na Iran ni nchi salama kwa Mtanzania?

    Kwa jinsi Iran inavyosigana na mataifa makubwa kama Marekani, inaweza kuleta picha kuwa ni nchi hatari kuishi. Lakini ukifuatilia taarifa za hapa Tanzania, ni wazi kuwa nchi ya Tanzania na Iran hazijawahi kuhasimiana. Hata kipindi fulani, Iran iliipatia Tanzania msaada wa matrekta madogo 100...
  6. Financial

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tabia nisizozipenda kwa mabinti wa kaskazini (hasa wachaga) wakiolewa

    1. Wanawake wa kichaga ukioa akiona tu una future anaanza kujiweka Loyal kwako kwa kukuaminisha yeye ni wakitofauti anataka mfanikiwe wote 2. Anakuweka karibu hadi hati zisome majina yake kupitia upendo wake fake. 3. Anakuzalia watoto na kukupiga kampani sana katika shughuli zako kiasi kwamba...
  7. LINGWAMBA

    JamiiForums Tanzania UN: Kombora la balestiki la Korea Kaskazini limetumika kushambulia mji wa Kharkiv, Ukraine

    Wachunguzi wa vikwazo wa Umoja wa Mataifa wameiambia kamati ya vikwazo ya Baraza la Usalama la umoja huo kuwa, mabaki ya kombora yaliyopatikana katika mji wa Kharkiv nchini Ukraine mnamo Januari 2 yanatokana na kombora la balestiki la Korea Kaskazini aina ya Hwasong-11. Katika ripoti yao ya...
  8. Mohamed Ismail

    JamiiForums Tanzania Ighondo ni Singida Kaskazini na Singida Kaskazini ni furaha.

    Anaandika Mo Mlimwengu. Penye nia pana njia na subira huvuta heri. Hii subira ndio imepelekea wakapata mbunge ambaye hata akiwa Dodoma moyo wake uko singida ila mwili wake uko Dodoma. Mh Ramadhan Ighondo ni mtu ambaye vitendo vyake vinazidi maneno. What a Mp? Jiimbo la Singida Kaskazini...
  9. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Swali fikirishi: Kanda ya Kaskazini ingelikuwaje endapo utawala wa kimajimbo /Kikanda ungeruhusiwa Tanzania?

    Tetesi zisizo rasmi ni kuwa baadhi ya watawala wa Tanganyika walikuwa wakiwahofia watu wa ukanda huo! Sina uhakika kama hayo ni ya kweli au ni porojo tu. Hata wengine wameenda mbali kwa kidiriki kusema kuwa Nyerere alilazimia kutokuruhusuKanda hiyo kumtoa Rais wa Tanganyika. Ingawa yote hayo...
  10. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini yawataka raia wake wafuge mbwa kwa ajili ya nyama

    Serikali ya Korea Kaskazini imepiga marufuku wananchi wake kufuga mbwa na kuishi nao kama sehemu ya familia, badala yake wametakiwa kufuga kwa ajili ya kula nyama na kuchuna ngozi yake. Tangazo la kupiga marufuku ufugaji wa mbwa kama wanyama pendwa wa kuzurura nao mitaani, lilitolewa kwenye...
  11. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Genge la wauza madawa ya kulevya lamuua kikatili "Snitch" kutoa onyo kwa wengine huko Kilimanjaro

    Ni wazi kuna police ambao wamehusika na kutoa taarifa za huyu jamaa kuwa ndiye anawahujumu wauza madawa ya Kulevya ambao kwa sasa wamerudi na kasi mpya, ari mpya na nguvu mpya. Kumhujumu rais wetu sami.
  12. I

    JamiiForums Tanzania Makonda kawa kituko ziara Kanda ya Kaskazini

    Ukifiatilia hotuba zote alizotoa Kilimanjaro na Arusha hakuwa na ajenda ya kueleweka zaidi ya kuzungumzia maandamano ya Chadema na kujikomba kwa Mbowe. Mara akasema siasa inalipa, mara nitalala kwa Mbowe, mara Samia karuhusu maandamano ya Chadema. Hivi Nchimbi hakumwandalia hoja za kupeleka kwa...
  13. Ritz

    JamiiForums Tanzania IDF ilipoteza udhibiti kamili Kaskazini mwa Gaza. Maeneo makubwa yamerudi chini ya udhibiti wa Al -Qassam

    Wanaukumbi IDF ilipoteza udhibiti kamili kaskazini mwa Gaza. Maeneo makubwa yamerudi chini ya udhibiti wa All -Qassam. Kaskazini ilikuwa chini ya udhibiti wa Hamas kila wakati, habari za uongo kuhusu ushindi kutoka kwa Waisraeli zinashangaza wakati ukweli unapikwa kila siku, hakuna lengo moja...
  14. Webabu

    JamiiForums Tanzania Watu waanza kurudi kwenye majumba yao Gaza ya kaskazini huku majeshi ya Israel yakiondoka kwa kasi.

    Huku kesi dhidi ya Israel iliyofunguliwa ICJ na Afrika kusini ikinguruma kule Gaza ya kaskazini wananchi wameanza kurudi majumbani mwao kutoka kila upande walikokimbilia Hayo yanatokea wakati hakuna hata lengo moja la vita lililowekwa na Israel ambalo limetimizwa. Zaidi ya hayo kuna hali...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Israeli inasema malengo yao Gaza kaskazini yamefikiwa huku utawala wa Hamas ukisambaratishiwa mbali,yaainisha malengo matano ambayo yalikusudiwa.

    Israeli inasema uongozi wa Hamas umesambaratishwa Gaza kaskazini Msemaji wa jeshi Daniel Hagari amewaambia waandishi wa habari kwamba wanamgambo wa Kipalestina sasa wanaendesha shughuli zao katika eneo hilo "bila ya makamanda". Vikosi vya Ulinzi vya Israel (IDF) sasa vinalenga kuisambaratisha...
  16. Webabu

    JamiiForums Tanzania Hamas wafanikiwa kupigana nyuma ya mstari wa mbele wa IDF. Watumia droni kufanya upelelezi

    Hili tukio kiuhalisia wa vita vikali vinavyoendelea ni dogo lakini tunalitaja kwa uzito kwa sababu linatokea kaskazini ya Gaza ambako kwa muda mrefu tumeelezwa kuwa eneo hilo liko kwenye mzingiro na kwamba Hamas wote wamefurushwa. Msomaji anaweza akajiuliza kama ni hivyo Hamas wametokea wapi na...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Timu za Kariakoo ifike mahala msajili wachezaji toka Afrika Kaskazini na muachane na Afrika ya Magharibi na Kati

    Ni dhahiri kuwa vilabu vya Afrika Kaskazini ndivyo zinazofanya vizuri kuliko vile vya AfriKa Magharibi. Hakuna haja ya kuokoteza wachezaji toka West Africa, wenye viwango duni. Wekezeni katika kusajili Toka North Africa.
  18. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Treni ya kaskazini inahujumiwa?

    Juzi Alhamisi abiria waliokuwa wakienda kaskazini walilazwa njiani wilayani Same bila kuambiwa sababu, na abiria waliokuwa waondoke Arusha walilalamika kushindishwa stesheni bila kuambiwa sababu za msingi. Haya matukio mawili yanatokea baada ya shirika la reli kutangaza kuongeza mabehewa sawa na...
  19. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania Kiukweli watu wa Kaskazini nawaonea wivu usioumiza, ni wivu wa kupenda kwao!

    Huu ni utamaduni ni mzuri kuigwa Utamaduni wa kukumbuka nyumbani walau maramoja kwa kila mwaka, kipengele hiki kwangu hunivutia sana, kwanza ni kama kihochea cha maendeleo ya kaya na kaya Kile kitendo cha mtu wa familia fulani kurudi na kitu nyumbani na mtu wa familia fulani kutokuwa nacho...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Treni ya shirika la reli (TRC) inayoenda mikoa ya kaskazini yalaza watu porini

    Treni ya shirika la reli (TRC) inayofanya safari mikoa ya kaskazini yakwama maporini huku abiria wakikosa chakula na mahitaji mengine ya kibinadamu. Treni hiyo iliyotoka Dar jana mchana kwenda Arusha ilitarajiwa kuwasili Moshi asubuhi saa 12 leo. Ila mpaka sasa imekwama katikati ya Korogwe na...
Back
Top Bottom