Yuko Wapi Waziri Mkuu Mstaafu Kasim Majaliwa?

Yuko Wapi Waziri Mkuu Mstaafu Kasim Majaliwa?

Kinyungu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2008
Posts
22,576
Reaction score
45,477
Wakuu naulizia yuko wapi Waziri Mkuu Kasim Majaliwa? Au naye kashaingia kwenye mfumo?

Namwulizia Mh. Pinda maana naye ni kitambo tangu tumsikie
 
Wakuu naukizia yuko wapi Waziri Mkuu Kasim Majaliwa? Au naye kashaingia kwenye mfumo?

Namwulizia Mh. Pinda maana naye ni kitambo tangu tumsikie
Wastaafu tuliiii

Ila sisi tunawashwa washwa sana

Mlisema jakaya mahututi, akajitokeza
 
Wakuu naukizia yuko wapi Waziri Mkuu Kasim Majaliwa? Au naye kashaingia kwenye mfumo?

Namwulizia Mh. Pinda maana naye ni kitambo tangu tumsikie
Gentleman,
wastaafu wastaarabu mara nyingi hupumzika nyumbani kwa heshima kulea vijukuu na vitukuu vyao 🐒
 
Taifa limefika pabaya sana.
1. Watu kupotea.
2.Kupotezwa.
3.Kutoonekana.
4.kutekwa.
Imekuwa kitu cha kawaida sana tanzania.

E MOLA TUNUSURU.
 
Naona sasa hivi kustaafu au kujiuzulu kunamaanisha usionekane kabisa kwa jamii.
Maana wengi sana hawaonekani kabisa
 
Back
Top Bottom