SoC04 Mafunzo ya udereva kwa elimu ya sekondari

Tanzania Tuitakayo competition threads

Gerino

New Member
May 6, 2024
1
0
Mi na ishauri serikal hasa kwenye sekta ya elimu maana ndio chimbuko la kila wadhifa elimu ya sekondari iwekwe mafunzo ya udereva ili pindi mtu anapo maliza kidato cha nne anakuwa tayari anayo leseni hii itasaidia swala la ukosefu wa ajira mitaani maana mtu anaweza akakosa cheti cha kidato cha nne ila akatoka na taaluma na akaitumia kuendeshea mambo yake ili ata baadae aweze kujiajiri mwenyewe
 
Lakini bro, udereva ni ka kozi ka wiki mbili tatu tu ikizidi sana miezi kadhaa. Udereva wa bodaboda ndo kabisaaaaaaaaa wengine ni dakika tu😅. Mengine tuchukue juhudi mkononi, tuwajibike kuzitafuta mbinu na ujuzi muhimu kama udereva.

Ukiendelea kusisitiza tuiweke mashuleni, basi iwe kwa upana zaidi kama umakenika. Hii itasaidia ulinzi na usalama wa vyombo vya usafiri maana kila dereva atakuwa anakifahamu chombo chake vema
 
Back
Top Bottom