karibuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Supercar kutoka BYD: YangWang U9 zinaanza kufanyiwa delivery hivi karibuni

    Kampuni ya kutengeneza magari kutoka China Build Your Dream (BYD) wametangaza kua wale wote waliolipia (nunua) supercar yao YangWang U9, wakae mkao wa kula, sio muda zinawafikia. Kama haitoshi, kila owner ataona expected delivery date aliyopangiwa katika official App ya YangWang na ikitokea...
  2. JamiiForums Tanzania Karibuni Vodka baridiii hapa Moscow!

    Weekend tunapumzisha vichwa na vodka kubwa Kidogo We weekend imekukuta wapi ? Missing rhumba kipindi Niko na Marehemu Akukweti, na Magufuli! Japo nilikuwa mdogo kwao! Masilingi upo Powa? Britanicca
  3. JamiiForums Tanzania Tetesi: Eli Mpanzu ni mchezaji wa simba,Atatangazwa karibuni

    ELie Mpanzu miaka 22 kutoka congo atatambulisha hivi karibuni mitaa ya msimbazi Elie Mpanzu alikuwa mchezaji wa As Vita club ambaye mkataba wake umetamatika msimu huu,Kwa mujibu wa manager wa Mpanzu na taratibu za Congo mkataba ukitamatiki mchezaji ni mali ya club yake ya kwanza ambayo pia...
  4. JamiiForums Tanzania Vodacom Tz walikuwa na kawaida ya kurekodi calls zetu kwa sasa hasa miezi ya karibuni wameacha sijui wamepatwa na nini?

    Shalom, Ile namba ya call forwarding ya Vodacom Tz siku hizi haonekani Nimekuwa na utamaduni wa kuchunguza hatari ya calls tracking kwenye simu yangu mara kwa mara, hivyo huwa nabonyeza *#62#OK, upande wa Airtel na tigo sijawahi kuona hatari, Vodacom wao walikuwa na namba inaanza na...
  5. JamiiForums Tanzania Lissu, Heche, Wenje, Garubindi, Bulaya, Mdee etl KARIBUNI CCM TUTAWAPOKEA - KAZI ZIPO NYINGI

    Watanzania, SALAAM! Ifahamike kuwa siasa haina adui wala rafiki wa kudumu. Niliowataja hapo nafahamu uwezo wao wa kisiasa. Ni dhahili kuwa huko waliko hawathaminiwi hata kidogo - nguvu wanayoitumia wakiwa CDM ni kubwa sana ukilinganisha na rewards wanayopata. Hawa wanafaa kuja kusaidia...
  6. T

    JamiiForums Tanzania KARIBUNI SETI YA TV SHOW CASE NA COFFEE TABLE

    Habari zenu Karibuni seti ya TV show case na coffee table yake. Zimefka full seti n 370,000 Tu bei ya jumla. Tv show case pekee au meza pekee n 230,000. Zpo chache. Nafanya Delivery dar na mikoani. watsup/call 0767709486
  7. C

    JamiiForums Tanzania Tunauza mashuka, mapazia, zulia, neti, coffee table, pressure cooker, rice cooker, chapati maker, 🍽️ set na vingine vingi

    Habari zenu boss zangu. Karibuni sana, hapa utajipatia bidhaa kama vile mashuka, mapazia, mazulia, neti, mataulo, saa, picha za ukutani, coffee table, d, vyombo kama sufria, hotpot, dinner set n.k, bidhaa za umeme kama vile pressure cooker, air fryer, oven, mabegi ya safari n.k 🧳🛍️🛒 .Dar maeneo...
  8. JamiiForums Tanzania Karibuni Banana, Dar tumefungua ofisi mpya ya wanasheria, washauri wa kodi na wahasibu

    Karibuni sana hapa Banana, Tumefungua ofisi mpya kwa huduma zilizopo hapo juu; Licha ya hayo, pia; 1. Tunasajili Kampuni, jina la biashara 2. Tunasajili Miradi ya uwekezaji (TIC) 3. Tunafuatilia leseni, TIN, number 4. Maandalizi ya Business strategic plans Business Proposal 5. Maandalizi ya...
  9. JamiiForums Tanzania Je, tutarajie Canal+ Kuanza Kuonesha Ligi Kuu ya Uingereza hivi karibuni?

    Je, wataanza kuonesha Ligi Kuu ya Uingereza na au Ulaya hata kwenye nchi za Commonwealth? Kwa mujibu wa Mtandao wa Mtandao wa SP ni kwamba Mmiliki wa SuperSport, Multichoice, amekubali ombi la ununuzi la Canal+ ununuzi wenye thamani ya Dola za Marekani bilioni 2.9. na kwamba Kampuni hiyo kubwa...
  10. JamiiForums Tanzania Toyota Brevis na matunzo yake karibuni wajuvi kutoa ushauri

    Habarini za asubuhi wakuu , Samahani naomba kuuliza kwa wale wazoefu wa magari na wengine ni mafundi mtoe ushauri hapa. Toyota brevis ni gari ambayo imesemwa maneno mengi na tunajua uzalishaji wake haupo tena na kila mtu anasema gari ni jini mara inakula mafuta mara spare zake ni ghali kila...
  11. S

    JamiiForums Tanzania CCM ninayoijua siyo hii. Kamati ya Maadili ya CCM iko wapi?

    Hivi iko wapi ile Kamati ya maadili ya ccm iliyowahi kuwachukulia hatua kali akina Sophia Simba (akiwa mwenyekiti wa UWT taifa), Msambatavangu (akiwa mwenyekiti UWT mkoa wa Iringa), na iliyowapa kalipio kali mkatibu wakuu wastaafu wa ccm taifa, Abdulrahman Kinana na mzee Yusufu Makamba...
  12. JamiiForums Tanzania Tunauza vitabu vya fursa za kidigitali na riwaya mbalimbali karibuni

    Karibu ujipatie kitabu cha Fursa za mtandaoni 👉Huku utafahamu Fursa zote zilizopo mtandaoni na Jinsi ya kuzitumia kujiingizia kipato 👉 Bei ni Tsh 5000 tu tunapatikana Dar es salaam number 0684861947 / 0692436124
  13. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo miaka ya hivi karibuni

    Kwanza kabisa komasavaa wadau wote wa SOC 2024. Sauti tunazopaza katika makala hizi ziwe sauti zenye kuleta mabadriko kweli na zisiwe sautibubu zakuishia hapahapa jf. Mapendekezo yangu ni kama ifuatavyo kwa leo. Wajibu na haki: serikali kupitia wizara husika ihakikishe sasa inatoa...
  14. F

    JamiiForums Tanzania SoC04 Uongozi bora na mapambano dhidi ya ubadhirifu wa mali (rushwa)

    (ombeni hamadi silaa) UTANGULIZI, MAPAMBANO DHIDI YA RUSHWA NA UTAWALA BORA Tanzania imekuwa ikipiga hatua muhimu katika mapambano dhidi ya rushwa katika kipindi cha hivi karibuni, lakini bado kuna changamoto kubwa zinazohitaji kushughulikiwa ili kuimarisha utawala bora nchini. Kupambana na...
  15. JamiiForums Tanzania Single mother wote nchi hii karibuni mkoa wa Mara,Ukuryani, kwa nini uteseke? Kwa nini ujione kama ulikosea hii dunia? Hakika hutojutia

    Slogani yetu sisi wakurya "Tunataka watu,na kitanda hakizai haramu " Nashangaa mdada unateseka huko uliko kisa huna mume na huwezi kuolewa kisa una watoto wako uliozaa na mwanaume mwingine huku ukiwaza watoto wako wataishije mbeleni? Sisi Ukuryani tunataka watu,njoo na wanao utaolewa na majina...
  16. JamiiForums Tanzania Kanye West kuanza biashara ya video za ngono hivi karibuni

    Rapper Kanye West ana mpango wa kujiingiza kwenye biashara ya ndoto zake ambayo ni kurekodi watu wakifanya mapenzi mbele ya camera. Tayari mambo za studio zinaendelea na kwenye hio brand yake tayari mkewe Bianca kuna picha za uchi kaanza kuzipiga. Ameshaongea na storm Daniel producer mzoefu...
  17. JamiiForums Tanzania Nataka kusoma PhD: naombeni mawazo yenu

    Wasalaam! Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye elimu ya degree mbili, bachelor of education na masters of public administration. Ila maisha yangu yote nimefanya kazi kwenye sekta ya elimu nilianza kama ticha baadae nikaamia kwenye development projects za education. Kwa sasa nipo free, nimepata...
  18. JamiiForums Tanzania Tunauza majeneza na sanda za kisasa... Karibuni sana wateja

    Kufa kufaana... Karibu dukani kwetu mtaa wa Kalenga karibu na hospitali ya Taifa ya Muhimbili, njoo tukuuzie masanduku ya kisasa yakawaida na yakidijitali kwa gharama nafuu sana. Sema biashara sahivi haijachanganya sana, mje mniunge mkono nisije nikafa njaa mkakosa majeneza yakisasa.
  19. JamiiForums Tanzania Nichukue nafasi hii kuwakaribisha CCM

    Nichukue Nafasi Hii Kuwakaribisha Wananchi Walio Ndani na Nje Ya Nchi, Kuendelea Kujiunga Na Chama Cha Mapinduzi Kuna Faida Kuwa Chama Cha Mapinduzi… Miongoni Mwa Faida Hizo, Ni; Kukujenga Kuwa Na Uwezo wa Kujiamini Kukusaidia Kuongeza Ujuzi wa Akili na Vitendo, Kuhusu Mambo Mbalimbali...
  20. JamiiForums Tanzania Descendants of river Songwe karibuni. Wewe mwengine ni descendants wa wapi ?

    Mimi ni miongoni descendants of Songwe River wenda kuna watu wengine humu na share nao same Ancestors. Nimekuwa inspired na jamii za Asia katika kutafuta asili yangu finally nimeweza kuipata. Nina miaka miwili sasa nimekuwa nikizuru mto Songwe na nafikiri utakuwa utaratibu wangu wa kila mwaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…