Naomba tujiunge group letu pendwa la watani wa jadi Tanzania wewe ukitaka kujiunga gusa hapa tu : SIMBA VS YANGA utakuwa umeungana na wana michezo wenzako karibu sana mdau wa soka unakaribishwa kutoa hoja kuhusu Soka
Habari ya leo wana JF matumaini yangu tu wazima kwa uweza wa muumba atutiaye nguvu na uzima.
Naomba kurejesha ombi langu juu ya kupata msaada namna gani naweza fanikiwa katika ufugaji wa nguruwe.
Niliwahi andika uzi juu ya kutaka ushauri wa biashara ipi itanifaa kupitia mtaji/kiasi nilicho...
Ndugu zangu, hapa nilipo nabubujikwa na machozi ya furaha baada ya mjomba wangu kufanikiwa kukomboa kikoba cha ukoo kilichokuwa kwenye hatihati.
Wanachama wa kikoba tafadhali malizieni ada zenu za uanachama ili wajanja tuje kuzisasambua hapa machame.
Christmass hii itakuwa bomba sana.
Tumekaa Wakataa Ndoa na tulio ndani ya Ndoano, tumekuja na Ukweli Mchungu kwa Faida yenu wanawake
Ndoa sio lelemama, sio karata za Bahati Nasibu, na kwa hakika sio safari ya majaribio. Hii ni safari ya milele inayohitaji maarifa, uvumilivu, na upendo wa kweli. Tukiwa tumejifunza mengi kupitia...
‘Instagram Algorithm’ ni mfumo wa unaotumika kwenye matangazo mbali mbali ya kibishara amabpo mtumiaji huwa analetewa matangazo yale yanayomusu kwankiwango kikubwa kulingana na viashiria mbalimbali (data collection) inavyovipata mtandaoni.
Sasa Tanzania tunaletewa hili tangazo la mfumo wa...
Habari za siku, wabunifu na watengenezaji wa multimedia!
Huu uzi ni maalumu kwa kuwakaribisha nyote wenye ujuzi na ubunifu katika usanifu na utengenezaji wa michoro ya kidijitali (digital graphics), video fupi, na sauti (audio) kwa ajili ya utambulisho (branding) na utangazaji wa biashara...
Wakubwa habarii za wakati huuu! Huu ni Uzi maalumu juu ya ajira zilizo tangazwa na idara ya uhamiaji hivi karibuni.
Binafsi nafanya application lakini sijafanikiwa kufika mwisho, nikisha log in tu sion maelekezo mengne yanayofatia.
Je Kuna miongoni mwetu/ ndugu/ mtu wake wa karibu...
Mwanzo kabisa, nikusalimieni, hope nyote ni wazima na wagonjwa mungu akuzidishieni wepesi katika afya zenu ili muendelee na majukumu yenu ya kila siku
Pasi na kupoteza muda, niende kwenye lengo la andiko, japokuwa kuwa unaweza kuwa mrefu lakini nitajitahidi kulifupisha kidogo
Wakuu niko njia...
Tunasafisha masofa pamoja na sity za magari, makpti(mazuria) Tunakufata ulipo(nyumbani, officine) kukufanyia kazi yako, kwamawasiliano call, 0655556426 ata whathp👉
Jamani huyu ni mchepuko wangu wa muda mrefu sana.
Sasa alinunua shamba la miti huko iringa miaka mingi nyuma, na this time ndio ile miti imeshakuwa kwenye stage ya kuvunwa.
Sasa walikuja wachina wakataka kumpa M50 akachomoa. Ndio jana baada ya penzi letu zito akiwa amelala kifuani mwangu...
Habari za Sabato!
Leo nitakuwa Kanisa la Wasabato Manzese. Huko natarajia kubarikiwa Sana.
Ninaupenda mtaa wa Manzese kwa sababu umebarikiwa Kwaya kubwa Mashuhuri hapa nchini. Kwaya ya Mbiu, na Kwaya ya Angaza, na Kwaya ya Sauti ya Nyikani.
Tujumuike sote tukabarikiwe.
Hivi karibuni huko Tanzania Bara kumekuwa na mchakato wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambapo leo Novemba 27, 2024 Wananchi wanapiga kura.
Mimi kama mdau wa siasa na mifumo ya Uchaguzi Zanzibar nimekuwa nikipokea maswali mengi kuhusu kwanini Zanzibar kumekuwa hamna shamrashamra za Uchaguzi kama...
Fahamu mambo ambayo huruhusiwi kuyafanya unapotembelea Dubai
1. Ingawa Dubai ni kitovu cha mitindo, hauruhusiwi kuvaa Nguo fupi, zinazobana sana, au zenye kufichua Mwili kwa kiasi kikubwa katika maeneo ya Umma. Hakikisha unavaa Mavazi yanayofunika Mabega na Magoti unapokuwa hadharani
2. Pia...
Ni sala maarufu sana Iliyokuwa Inalindima Kipindi kile cha Ukoloni Kutoka kwa WaMissionary na Hasa Maaskofu wakuu wa enzi hizo za Ukoloni..
Mungu utusaidie Tusiwe Miongoni mwa Washenzi Wasio kuwa na Elimu ya Kukutumikia.
cc:- Kiranga Kisai Rabbon min -me
Kabla ya kufungua mzigo mpya nimeamua nifanye sale
Jaman nauza gauni mtumba quality 3500 af tatu tu
Sket imebak moja 2000 tu
Vitop vishat 1500 tu
Karibuni sana wasap or call 0625056158
Wakuu habari za leo.
Sijui wenzangu huko simu zenu vipi lakini siku za karibuni napata shida sana kutumia huduma za Tigo pesa na Mpesa mara kwa mara huduma haipatikani hasa jioni.
Hali hii zamani haikuwepo serious kiasi hiki ikilinganishwa na sasa.
Lakini hali ilivyo sioni wala kusikia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.