Chumba self contained karibuni

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,272
1631662138962.png
 
Ikitokea inabidi uishi mazingira haya, unatafuta mfuniko hatakama ni sinia unaweka mkono wa kushikia, unafunika choo. Ukimaliza kupika chakula unahamishia kwenye fridge.
Yeah!Chumba cha msela hicho.Kodi yenyewe kulipa ni kimagumashi.😝😝😝😝
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom