karibuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Msumari wa TEC: Mambo Muhimu Yaliyojiri Kwenye Mkutano wa Hivi Karibuni wa TEC (Agosti 2026)

    Mkutano huu na waandishi wa habari ulifanyika mara baada ya viongozi wa TEC kukutana na kufanya mazungumzo na Samia Suluhu Hassan katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma. Lengo la Kukutana na Rais: Padre Dkt. Charles Kitima alibainisha kuwa mkutano huo ulitokana na ombi la maaskofu wenyewe...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Kupaka rangi Nyumba ndani na nje karibuni

    TANGAZO LA KUTAFUTA KAZI YA KUPAKA RANGI NYUMBA NATAFUTA KAZI YA KUPAKA RANGI NYUMBA – MUSOMA Natoa huduma za kupaka rangi nyumba za makazi, ofisi, maduka na majengo mbalimbali ndani ya Musoma na maeneo ya jirani. Ninafanya kazi kwa umakini, uaminifu na ubora wa hali ya juu. Napaka rangi za...
  3. JamiiForums Tanzania Karibuni Kwa Ushauri wenu wakuu Kwa Kwa kijana huyu.

    Kijana anataka kuwa vet (daktari wa wanyama) anataka kusoma bachelor of agriculture science halafu mwaka wa tatu achague livestock production, je baada ya hapo anaweza kutambuliwa kama daktari wa wanyama?
  4. JamiiForums Tanzania KARIBUNI MARATHON

    Karibuni kwenye Marathon mfaidi. Wazee wa VAR kazi kwenu.
  5. JamiiForums Tanzania Kwakweli CCM kwa miaka ya hivi karibuni mnatuletea viongozi wa hovyo na wa ajabu ajabu sana sana! Chama kimekumbwa na nini?

    Swali linajitosheleza kwenye sredi
  6. JamiiForums Tanzania TRA karibuni miavuli ya Kariakoo

    TRA na watu wengi wamekuwa wakitudharau sana, sisi watu wa miavuli , Ukweli ni kwamba kwa siku hamna hamna ninalaza 500,000/-. Hapo bado kuna delivery ambazo wala hazipo golini, zinatoka Stoo kwenda Shekilango au kwa Transporter. Nafsi yangu imenisuta kila siku kudanganya maskini wakati...
  7. JamiiForums Tanzania Old school members wa JF, karibuni tukumbukane kwenye uzi huu. Gathering nights @leo tuko hapa and Kebbys Hotel

    Madame B, Evelyn Salt , Zion Daughter, FirstLady1, Nazjaz, cacico, Asha D Abinallah , Kipaji Halisi. Asprin, Arushaone , Kaka kiiza, kuna jambo letu pande hizi
  8. JamiiForums Tanzania Weekend Nyingine Karibuni! Demu huyu ntamtawanya na sitataka demu tena hadi mwezi uishe

    Siiweki picha yake ni mtu maarufu mtamsumbua, kaja leo amataka akae weekend Mzima wakati nina ratiba Nyingine kesho Mpaka week inaisha itakuwa Powa Ila sijui wanataka nini hadi nimechoka ,
  9. JamiiForums Tanzania Madaktari "Viti Maalum" kuja hivi Karibuni!

    Baada ya taaluma ya mawakili wa kujitegemea kupuuzwa, kudharauliwa, kudhalilishwa, kutishiwa kufutwa chama chao na "watu wasiojulikana" na baada ya kuona TLS ina nguvu kwa kutumia Section 4 of TLS ACT, mbinu kubwa ikaja ni kuunda chama cha mawakili wa Serikali wapambane na TLS. Wale mawakili...
  10. JamiiForums Tanzania Dar karibuni kitimoto

    Bango linajieleza kwa wale wa Dar na Pwani
  11. JamiiForums Tanzania Kwa ma-home boy karibuni tumkaribishe mdau wetu Civilian-Coin

    https://youtu.be/deSgpkA4dOE?si=br2WFO93GAOXGbGu
  12. JamiiForums Tanzania Computer4Sale Laptop inauzwa, nimepunguza bei wakuu, karibuni sana , nimerudi tena Viongozi

    Imeuzwa
  13. JamiiForums Tanzania Neno langu kwa wasaliti wote wanaorejea CHADEMA: Karibuni nyumbani, ila....

    Kama mnavyofuatilia siasa za nchi yetu hivi sasa, kuna wimbi kubwa la wanachama waliokihama chama na kukipigia kelele nyingi za kashfa wakiondoka, lakini sasa hivi wanarudi CHADEMA kwa kasi ya ajabu. Kama mwanachama na mdau wa mabadiliko ya dhati, naomba niwaambie hawa wanaorejea maneno...
  14. JamiiForums Tanzania Nimeachia Wimbo Maalum wa Tundu Lissu — Karibuni Kusikiliza

    Nimeachia wimbo mpya unaomzungumzia Tundu Lissu kwa style ya kipekee. Nimeuweka kwenye website yangu mpya ya http://sosybrown.vercel.app Ukisign up utaweza kuusikiliza pamoja na kuona project nyingine zinazokuja Karibuni mu-support kazi ya kijana wa Kitanzania 🙏 Ningefurahi kupata maoni yenu...
  15. JamiiForums Tanzania Karibuni Sana Zulu star

    karinu
  16. JamiiForums Tanzania HISA : Karibuni tuchambue makampuni yaliyopo soko la hisa DSE

    Nipo katika wiki mbili za mapumziko,natumia mda huu katika kuchambua ripoti za makampuni yaliyopo DSE.. Karibuni tushirikiane kwa hili. Tunaweza fanya kwa kuunda group la WhatsApp au tukakutana... Ili tujue kampuni lipi 1. Zuri kuwekeza kwa mda mrefu 2.zuri kuwekeza mda mfupi 3. Hali nzima...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini miaka ya hivi karibuni Wanawake wengi wanajifungua kwa kisu (oparesheni)?

    Napenda kupata uelewa zaidi kutoka kwa Wananchi na wadau husika wa sekta hii... Kwanini kipindi hiki idadi kubwa ya wamama wanajifungua kwa kisu (oparesheni) yaani katika Asilimia 100, kati yao 40% wanajifungua salama (bila kisu) na 60% au zaidi hujifungua kwa kisu. Hiyo ni tofauti na miaka ya...
  18. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Arusha DC kuna jambo linastahili kufuatiliwa katika Sekta ya Elimu

    Mimi ni mwalimu wa Shule ya Sekondari katika Halmashauri ya Arusha DC. Hivi karibuni wanafunzi wa kidato cha nne walifanya mitihani ya pre-mock, ambapo kila mwanafunzi alitozwa shilingi 12,000 kwa madai ya kugharamia usahihishaji wa mitihani hiyo. Cha kushangaza na kusikitisha ni kwamba...
  19. JamiiForums Tanzania Siku za hivi karibuni ulinzi wa Makamu wa Rais umeongezeka

    Wale wenye jicho la tai nadhani mmenielewa. Tangu alipoenda Chato kwenye kumbukizi ni kama mambo yamebadilika. Yajayo yanaweza kufaurahisha.
  20. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kalonzo: Tunachunguza kwa umakini mauzo ya hivi karibuni ya hisa za Nation Media Group

    Kalonzo Musyoka ambaye ni kiongozi wa chama cha upinzani cha Wiper Democratic Movement na aliyewahi kuwa Makamu wa Rais wakati wa uongozi wa Mwai Kibaki, amesema wanafanya uchunguzi juu ya mauzo ya hisa yaliyofanyika hivi karibuni kwenye taasisi ya Nation Media Group kwa bwana Rostam Aziz...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…