karibuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Tunauza chopa mashine karibuni mifugo plus

    Karibuni mifugo plus Tunauza chopa mashine ni mashine yakuchakata chakula cha mifugo mifugo yoye zipo kwenye ofa ofa baada ya lak 4 utalipia Bei laki 380 mashine ziko chache sana maboss zangu Piga sim chapu 0612323330
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu watu wa CCM, ebu epukeni aibu hii.

    Unaingiaje kwenye uchaguzi Mkuu wakati huo Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani ambaye ndo mpinzani wako mkuu yupo mahabusu, na kama haitoshi, chama kimefutiwa Ruzuku yake, kimezuiliwa kufanya shughuli zake za kisiasa, kimebanwa kila kona. Katika mazingira hayo, hapo kuna uchaguzi gani...
  3. Miss Natafuta

    JamiiForums Tanzania Pata viatu vikali vya kiume hapa

    Nauza viatu vizuri vya kiume Mikoani tunatuma kwa uaminifu na tra Kodi tunalipia kwa uaminifu mkubwa Kiatu namba moja hapa Bei 90,000 tu namba 40 Hadi 46
  4. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Trump asema huenda akakutana na Putin hivi karibuni.

    Rais wa Marekani Donald Trump amesema huenda akakutana na rais wa Urusi Vladimir Putin hivi karibuni kabisa. Rais wa Marekani Donald Trump alikuwa akijibu swali aliloulizwa na waandishi habari katika ikulu yake ya White House mjini Washington ni lini atakapokutana na marais wa Ukraine na Urusi...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima karibuni sana Kanisa Katoliki kusali tunawapenda sana hapa ndio nyumbani kwenu hasa, msiogope sanamu mnazoziona

    Sanamu zilizopo makanisani kwetu ni picha tu, ni kama zile zilizopo maofisini za Nyerere, Samia, n.k. kwani mnaziabudu? Hapana ni vielelezo tu na sisi hatuwezi kuwa wajinga kiasi hicho cha kuabudu sanamu! Tunajua kuwa Mungu ni Roho na anabudiwa katika Roho na Kweli. Sisi Wakatoliki kama Kanisa...
  6. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Viongozi CHADEMA kutoka chama A kwenda chama B si dhambi. Karibuni CHAUMMA!

    Zipo tetesi kutoka kwenye chanzo makini zinazosema viongozi wengi CHADEMA wapo njia panda, na wengi wanamuogopa mwenyekiti wao, kwa kuonekana wamemsaliti Chanzo chetu kinaendelea kudodosa viongozi wengi mpaka wa ngazi za juu wanania thabiti ya kuingia CHAUMMA, lakini kauli na morali zao zao...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Nauza mashine ya kucha bei kitonga 80k tu

    Contact 0620813101 karibuni
  8. H

    JamiiForums Tanzania Karibuni kujaribu mfumo wetu wa Usimamizi wa Biashara za Mikopo

    Habari, Nawakaribisha wafanya biashara za utoaji mikopo (Microfinance) kuweza kuujaribu mfumo wetu wa usimamizi wa biashara za mikopo. Login - Peloo Tunamba feedback zenu ikiwa kuna maboresho mtahitaji yafanyike
  9. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Karibuni wadau wa vitabu

    Nauza kitabu kidogo lakini chenye maudhui yaliyojitosheleza yatakayokuvusha kiuchumi hasa wa kifamilia Kitabu kina page 29 tu na hakichoshi kusoma. Kwa atakaevutiwa karibu pm soft copy ni 5k hard copy ni 10k kama upo ndani ya Dar delivery ni free
  10. Program Manager

    JamiiForums Tanzania Ile Drama imeisha. Kuachiliwa hivi karibuni

    Hivi Sasa inaarifiwa kuwa ile drama ya "shujaa" inaelekea mwishoni na baadhi ya waigizaji wakuu kwenye hiyo drama wameona isiwe "kesi" kwani watazamaji hawapendi hizo series,ni kama vile kupotezeana muda tu. Director ashapewa maelekezo na wachora script kwamba asiendelee kuongoza mchezo Ili...
  11. S

    JamiiForums Tanzania World Footballers Award 2024-25: Karibuni mchague wachezaji na kocha wenu bora wa msimu ulioisha Katika dunia ya mpira.

    Vote for your best player, youngster, goalkeeper and coach. For the 2024-25 World Footballers Award.
  12. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Waliochukua fomu karibuni kwa Mwamposa

    Leo mtoto hatumwi dukani. Wote tunaelekea KAWE kwenye uzinduzi wa Hema la uponyaji. Karibuni Wagombea (waliochukua fomu) wote. https://www.youtube.com/watch?v=pAiducssxYs
  13. Khanji kapoor

    JamiiForums Tanzania Iran na israel watabadilishana majasusi hivi karibuni

    Iran iliwakamata majasusi watano wa Israel ikiwahusisha na kudukua mfumo wa anga la tehran na kuwatumia wenzao wa israel na siku moja baadae Iran ikapoteza uthibiti wa anga na kupelekea kushambuliwa vibaya Sasa kumbe israel ilikuwa inawajua majasusi ya tehran baada ya kuona ile habari na wao...
  14. Bwege2030

    JamiiForums Tanzania Uhalisia ni kwamba,humiliki chochote hapo ulipo,ile gari Yako uliyonunua hivi karibuni siyo Yako,nyumba nzuri uliyojenga siyo yakwako humiliki kitu

    Umiliki na Usajili wa Mali Wapenzi wageni, mabibi na mabwana, leo tunakusanyika kujadili mada muhimu inayohusiana na umiliki na usajili wa mali. Katika ulimwengu wa kisasa, neno "usajili" limekuwa na maana pana, na linaweza kuhusishwa na masuala mengi, ikiwemo usajili wa magari, nyumba, na hata...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Netanyahu asema Ndege za kivita za Israel hivi karibu zitaruka juu ya Tehran na kushambulia shabaha zote muhimu

    saa 2 zilizopita BREAKING NEWS Ndege za kivita za Israel zitaruka hivi karibuni juu ya Tehran, Netanyahu anasema Ndege za kivita za Israel hivi karibuni zitaruka juu ya Tehran na kushambulia shabaha zote muhimu za kuanzishwa kwa makasisi wa Iran, Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu alisema Jumamosi...
  16. kalisheshe

    JamiiForums Tanzania Imekua ni hatari sana kuwa mpinzani kwa miaka ya hivi karibuni hapa nchini, je ni nini kimetufikisha hapa?

    Awamu ya tatu na nne vijana wengi walihamasika kuingia upinzani na ilionekana ni kitendo cha kishujaa huku wakiungwa mkono na familia zao. hali imekua tofauti kwa vipindi vya awamu mbili za hivi karibuni, ambapo kuwa mpinzani imeonekana ni kitendo cha kuuweka rehani uhai pamoja na furaha ya...
  17. Tauceti Rigel

    JamiiForums Tanzania Kwa Wale Wanaoshindwa Kuacha Pombe, Umalaya na Tabia Nyingine Zinazotia Kutu Nafsi Karibuni Hapa Tuelewe Wapi Tunakwama

    Kukubaliana na Kikwazo cha Mabadiliko: Uchanganuzi wa Tabia za Binadamu na Uundaji wa Mabadiliko ya Kudumu Ikiwa wewe ni kama watu wengi, kuna pengo kati ya mtu ulivyo sasa na mtu unayetamani kuwa. Kuna vitu vidogo unavyofikiria unapaswa kufanya na mambo makubwa unayotakiwa kufikia. Kutoka kwa...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makalla: CCM kuzindua Ilani mpya ya 2025–2030 na kufanya marekebisho ya Katiba katika Mkutano Mkuu Maalumu Mei 29–30

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, leo tarehe 17 Mei 2025 amezungumza na waandishi wa habari katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. Katika mkutano huo na waandishi wa habari, CPA Makalla ameeleza kuwa Chama Cha...
  19. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Karibuni Dodoma wajumbe wa mkutano mkuu maalumu wa CCM Taifa , 29-30 Mei 2025

    Karibuni Dodoma wajumbe wa mkutano mkuu maalumu wa CCM Taifa , 29-30 Mei 2025
  20. Brayan_Jk

    JamiiForums Tanzania 🐔 Wafugaji wa Kuku Karibuni! Jibu Maswali 3 Tu Upate Nafasi ya Kushinda Vocha ya Bure! 📱💰

    Habari ndugu mfugaji! 👋 Tunatengeneza App ya kusaidia wafugaji kama wewe kufuatilia chakula cha kuku, chanjo, matumizi na kupata faida zaidi 💪🐓 Tunaomba tusaidie kutengeneza App bora kwa ajili yako kwa kujibu maswali kadhaa kwenye fomu hii 👇 📋 Bonyeza hii Link kujaza fomu ...
Back
Top Bottom