Wale ambao kibaruani pasua kichwa, home napo kupo kama hakupo, siasa na mambo ya nchi yanatuumiza vichwa na mioyo - tukutane hapa tubadilishane mawazo.
Kama unajisikia kujibu maswali, fanya hivyo. Kama hutaki, utakua umetumia vizuri uhuru wako wa kuchagua!
Ukipewa nafasi ya kumuondosha...