Siku za Mwisho zi Karibu Yesu Anarudi

Siku za Mwisho zi Karibu Yesu Anarudi

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
9,274
Reaction score
12,237
Tunapo endelea kutafakari matukio yakuogofya yanayo endelea kutokea duniani tusisahau kujitakasa miili na roho zetu ili muda utakapofika tufae mbele zake.

Kujitakasa ni kujiweka mbali na dhambi.
Kujitakasa ni kukaa mbali dhambi
Kujisafisha miili yetu na roho zetu ili hatimaye tufae mbele za Mungu wetu aliyetuumba.

Tupo kwenye kipindi cha mmomonyoko mkubwa wa maadili ya binadamu na mapinduzi makubwa ya teknolojia ambayo itaenda kuharibu kabisa utu wa binadamu.

Tujiweke tayari ili tuweze kushinda. Tumkimbilie Yesu Kristo tutashinda.
 
Back
Top Bottom