karibu

PachiPara DL (DownLoad) Hyper Sea Story In Karibu (パチパラ DL(ダウンロード)ハイパー海INカリブ) is a downloadable game released on the Japanese PlayStation Store on July 2, 2008.

View More On Wikipedia.org
  1. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Siku za Mwisho zi Karibu Yesu Anarudi

    Tunapo endelea kutafakari matukio yakuogofya yanayo endelea kutokea duniani tusisahau kujitakasa miili na roho zetu ili muda utakapofika tufae mbele zake. Kujitakasa ni kujiweka mbali na dhambi. Kujitakasa ni kukaa mbali dhambi Kujisafisha miili yetu na roho zetu ili hatimaye tufae mbele za...
  2. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Karibu tupige gumzo kuhusu Biashara ya Duka genge

    Naam kwa mtu unayetaka kuishi kiungwana bila makuu, Yaani mtu usiye na tamaa na anasa. ''Decent kind of life,'' Wazo ni nje ya mji pahala kwenye makazi mapya ya raia. KImsingi usubuhi unafungua unafanya uswafi unafyagia fyagia then unarusha tumaji kuondoa vumbiy...kama ni tumaji twa upako nayo...
  3. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Hivi Nchimbi hana watoto, kaka, dada, mabinamu, na ndugu wengine wa karibu?

    Tukikubali ku normalize binadamu kupotea kama vile mtu unavyopoteza funguo au goroli, halafu kunakuwa hakuna outrage kwenye jamii, tutakuwa tunawapa ushindi mkubwa sana Samia na hao watu wake. Hivi inawezekanaje kwa mtu aliyekuwa makamu wa Rais ajiuzulu hiyo nafasi yake halafu watu tunakuwa...
  4. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Mlio karibu na huyu jamaa muambieni walikuwepo akina Musiba

  5. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa karibu na Leaders Club, Kinondoni – Bei tsh bilioni 5

    🔥Tunakuletea🔥 NYUMBA INAUZWA IPO KARIBU na LEADERS CLUB KINONDONI LAMI MPAKA MLANGONI IPO MAENEO TULIVU SAANA USHUANI Umiliki (HATI SAFI) (MIRATHI HALALI) Kiwanja (SQM 1,935) 👉Price (Billion 5) Maongezi kidogo Call/WhatsApp +255758844717
  6. passioner255

    JamiiForums Tanzania ukiona farao anajaa kiburi ujue anguko lake lipo karibu

    Mambo yanayoendelea TANZANIA ni kwa sababu Farao amejaa kiburi kaona liwalo na liwe mfano kutumia vyombo vya kimaamuzi kuwatesa watu.Ni suala la muda huyu FARAO kuanguka na litakuwa anguko kubwa na la aibu kwa sababu ya laana aliyojitengenezea.tuwe na Subira.
  7. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Alikuwa karibu kuwa mmoja wa watawala wenye nguvu zaidi barani Ulaya

    Kisha tatizo dogo likatokea kwenye koo lake. Ndani ya miezi michache, Kaizari alikuwa hawezi kabisa kuongea. Na madaktari wake hawakuweza hata kukubaliana ni ugonjwa gani waliokuwa wanakabiliana nao. Mnamo mwaka 1887, Mwanamfalme Friedrich wa Ujerumani alipata tatizo ambalo hapo awali...
  8. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Alieko karibu na kalapina amwambie kuwa sugu sio level yake. Mtu mzima bado mtaa upo kichwani wakati sugu ni executive mind.

    Mtu huyu atakuwa katika 40s ili bado mtaa umemkaa kichwani, Hurka yake ni fujo za mitaani ambazo zilipekea hadi watu kuumia. Wakati huo bado anapambana na upumbavu wa mitaa na umri ukiwa umeenda, mr 2 sugu aka 2 proud anafanya mambo international na anasaini mikataba ya mpunga. Mtu mwenyewe...
  9. Fbn

    JamiiForums Tanzania Familia ya Muigizaji wa wakanda, Chadwick Boseman Yadaiwa Kukabiliwa na Bili ya Hospitali ya Karibu Dola 900,000 Baada ya Kifo Chake

    Kifo cha mwigizaji maarufu Chadwick Boseman mwaka 2020 kiliwashtua mamilioni ya mashabiki duniani kote. Boseman, aliyefahamika zaidi kwa nafasi yake ya T'Challa katika filamu ya Black Panther, alikuwa akipambana kwa siri na saratani ya utumbo mpana (colon cancer) huku akiendelea kufanya kazi...
  10. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anachekesha kama si mtu wako wa karibu

    Nyie mnaomcheka ni sababu si ndugu yenu. Kichaa anachekesha kama si ndugu yako. Mambo anayoyafanya ni ya aibu sana. Lakini si wa kumcheka. Lazima mjue ametokea wapi na amepitia hali gani. Ni kujaribu tu kumwelewa kuwa hapo ndo ukomo wake wa akili ulipoishia. Hakuna maajabu yanaweza tokea tena...
  11. britanicca

    JamiiForums Tanzania Hata kama uko nje ya nchi usiamini sana watu wa karibu ndo wauza Taarifa na kukamatishana

    Watu mnajidanganya sana kwamba mtu akiwa nje ya Tanzania hawezi kamatwa, it depends na nchi , kama uko Russia, Japan, China, Au Asia kwa Ujumla kukukamata ni rahisi sana , ila kama ni Marekani na baadhi ya nchi za ulaya si rahis, labda iwe kesi ya Jinai Mataifa hayo hayana mambo ya Uhuru wa...
  12. TUMBOO

    JamiiForums Tanzania Nyumba (pagale) inauzwa marambamawili karibu na shule ya msingi king’azi

    Habari wakuu nyumba ( pagale). Linauzwa …. ipo mbezi marambamawili karibu na shule ya msingi kingazi jirani na tank la dawasco … Ukubwa wa eneo ni sqm400…… Mauziano serikari za mitaa… Bei sh 21m(bei inapungua).. (Lina vyumba 6 (sio vikubwa) 0692669235 N:B.. amna udalali (karibuni)
  13. Sprouts pre School

    JamiiForums Tanzania Karibu Elite Home tuition dar es salaam

    Unatafuta mwalimu bora wa kumsaidia mtoto wako kufanya vizuri shuleni? Elite Home Tuition tunaleta walimu wenye uzoefu nyumbani kwako kwa muda unaokufaa. Huduma zetu zinapatikana kwa: Pre-School, Primary na Secondary Mitaala ya Tanzania na Cambridge Masomo yote ya Sayansi, Sanaa na Biashara...
  14. Mafunzo ya Udereva

    JamiiForums Tanzania Karibu kwa Mafunzo ya Udereva, Dar es Salaam

    KARIBU SANA ESSENCE DRIVING SCHOOL Tunatoa mafunzo ya udereva wa magari aina zote ada zetu ni nafuu. Uhakika wa kupata cheti na kupelekwa test kwa ajili ya leseni baada ya kufuzu mafunzo. Tunapatikana TEGETA GOBA na MABIBO Tuwasiliane hapa +255625085224 Ada zetu kwa wiki sita ni 250000 tu
  15. idiomer

    JamiiForums Tanzania Karibu Tanzania nchi yenye mizaha sana

    Ukianzia Elimu Kilimo Afya Sekta ya usafirishaji Katiba na sheria Elimu mtoto analipiwa na bodi ya mikopo 1M ila hela ya kujisajili 50k Inamfanya asifanye mtihani Mtaala mpya wa Elimu sekondari vyuoni mtaala wa zamani Kilimo Kilimo kwanza, ikafa , Build Better Tomorro ikafa Afya Bima kwa...
  16. O

    JamiiForums Kenya Watu 45 Wafikishwa Mahakamani kwa Kuzuia Trafiki Karibu na Daraja la Nyayo Stadium

    Watu 45 wamefikishwa mahakamani baada ya kukamatwa kwa madai ya kuzuia mtiririko wa magari katika eneo la daraja la waenda kwa miguu la Nyayo Stadium, kando ya Barabara ya Mombasa, Nairobi. Mamlaka ya Kitaifa ya Usalama wa Usafiri na Barabara (NTSA) imesema hatua hiyo ni sehemu ya operesheni ya...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Wakulima karibu wote wana msiba wa bei za mazoa yao, ila wakulima wa kahawa wana furaha sana

    Mimi ni mkulima wa Muda mrefu kidogo nalima viazi kama zao la urithi, parachichi na sasa nimeanza kulima kahawa( sijafanikiwa kulima kahawa kwenye kiwango kizuri) nadili na nafaka kwa kununua na kuuza. Nimejaribu kufuatilia trend ya Bei ya mazao kwa Miaka kadhaa hadi nikamua kuanza kulima...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Karibu Tanzania Mhe. Abdel Fattah El - Sisi, Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri

    Karibu Tanzania Mhe. Abdel Fattah El - Sisi, Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri Ziara ya Kitaifa 18 Julai, 2026.
  19. Malaika wa Misukosuko

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Dodoma mjini Mtaa wa Chinyoya karibu na Mtaa wa Uzunguni, kina sqm 800 na kina Hati, Maji na umeme vipo vyote

    Habarini wakuu, kiwanja kinauzwa Dodoma Mjini mtaa wa Chinyoya uliopo karibu na Uzunguni kina ukubwa wa Sqm 800 pia kina Hati, Huduma za maji na umeme zipo zote kwenye kiwanja kwahiyo ukinunua huna haja ya kuvuta umeme wala kuunganisha maji..... Bei yake ni 60M kama ukihitaji nicheki Dm tuongee.
  20. Sprouts pre School

    JamiiForums Tanzania Karibu katika huduma bora Tanzania ya Masomo ya ziada yenye matokeo ya haraka.

    Tunawafikisha Walimu Bora Mahali Ulipo – Tanzania Nzima! Je, unataka kuongeza ufaulu wa mtoto wako au kujifunza ujuzi mpya ukiwa nyumbani? Elite Home Tuition Services ndiyo suluhisho sahihi. Tunatoa huduma za walimu wa nyumbani na mtandaoni kwa viwango vyote vya elimu, tukikuhudumia popote...
Back
Top Bottom