karibu

PachiPara DL (DownLoad) Hyper Sea Story In Karibu (パチパラ DL(ダウンロード)ハイパー海INカリブ) is a downloadable game released on the Japanese PlayStation Store on July 2, 2008.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Karibu Kwenye Programu Iitwayo Mbeya Real Estate Workshop Namba 01

    Tutakayojifunza: (A) Sehemu Ya Kwanza; Kuhusu Taarifa Tatu (3). ✓ Lengo kuu la programu. ✓ Shabaha/Fokasi ya programu ya leo. ✓ Chanzo cha taaarifa. ✓ Ufafanuzi wa Fokasi ya programu. ✓ Sababu za uwepo wa fursa kwa kila taarifa. (B) Sehemu Ya Pili: Kuhusu Fokasi Ya Programu ✓ Maana ya...
  2. JamiiForums Tanzania Uchafu na harufu mbaya machinjio ya kuku

    Nimekuwa kila nikipita maeneo ya masoko mengi yenye machinio ya kuku hapa Dar haswa Shekilango na Manzese ninarudishwa na harufu kali inayotoka kwenye machinjio hayo. Cha kushangaza uongozi wa masoko hayo, serikali za mtaa na uongozi wa halmashauri zimekuwa kimya kabisa. Kukiwa na mvua au...
  3. JamiiForums Tanzania Karibu Tujadili Fursa Ya Kumiliki Vibanda Vya Kukodisha

    Vibanda vya biashara kwa ajili ya kukodisha ni njia nzuri ya kutengeneza kipato endelevu kwa hapa Mbeya. Maeneo ambayo hulipa zaidi ni karibu na vyuo kama Chuo Kikuu cha Mzumbe, Chuo Kikuu cha CUCOM. Maeneo ya soko la kabwe unapambana na unaweka kibanda chenye mvuto cha biashara na unaingiza...
  4. JamiiForums Tanzania Karibu Dr Frank- Walter Steinmeier, President of Germany

    Today, the 30th October 2023 to November 1st, 2023, Tanzania will be hosting the President of the Federal Republic of Germany- His Excellency Frank Walter Steinmeier- on an official work visit. As announced in official communication, the purpose of the visit is to strengthen trade and...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Karibu tujadili fursa mbalimbali za kiuchumi, kibiashara, ujasiriamali na uwekezaji ndani ya nchi yetu

    💥SOKO LETU LEO ONLINE💥 🔥🔥MADA YA LEO🔥🔥 Fursa za kuanzisha biashara mbalimbali Habari wakuu kwa mujibu wa ratiba yetu leo kila Jumanne. Tunajadili Fursa mbalimbali za kiuchumi ambazo unaweza kuzifanyia kazi ndani ya nchi yetu kulingana na Mazingira uliopo. Wakuu kutokana na changamoto ya...
  6. JamiiForums Tanzania Moto Wateteketeza Bidhaa za Wafanyabiashara Karibu na Soko Kuu Katavi

    Moto mkubwa umeibuka katika maeneo ya karibu na soko kuu lililoko manispaa ya Mpanda mkoani Katavi na kuteketeza mali zinazotajwa kuwa na thamani ya Shilingi milioni tano ambapo jeshi la zimamoto na uokoaji limefanikiwa kuuzima moto huo. Shabani Hassani ni shuhuda wa kwanza kuuona moto huo na...
  7. V

    JamiiForums Tanzania Wanaoishi karibu na bahari kuchukua tahadhari kutokana na uwezekano wa kutokea Tsunami katika Bahari ya Hindi leo jioni

    Habari zenu ndugu zangu tunaomba tuchukue tahadhari ikiwa habari hii ni ya kweli, kwani Tsunami maafa yake ni makubwa.
  8. JamiiForums Tanzania Madogo mnatudharua Mabroo zenu kisa tumeshindwa karibu Kila kitu

    Mpo Pouwa. Haya bhana! Yote Kheri. Mungu ndio anajua. Dharau mlizonionyeshea hakika kama kungekuwa na uchawi ningewaloga wote Mbuzi nyie, watoto niliowaona mkizaliwa, tukawakuza wenyewe, leo ninyi ndio wakuturushia mavi usoni? Kweli! kweli? Kisa mmeshaanza kuzivua Sketi za Wadada sio? Au nini...
  9. JamiiForums Tanzania English Medium iliyo karibu na Chanika

    Mpangaji wangu amepanga kwangu Chanika anatafuta shule nzuri ya English Medium iliyopo karibu na Chanika. Au inayo weza kufikika kwa urahisi kutoka Chanika. Inaweza kuwa Mvuti, Chamazi, Segerea, Ukonga, Gomz etc. Ada kuanzia laki tisa hadi milioni moja na laki 2 kwa mwaka. iwe na watoto wengi...
  10. JamiiForums Tanzania Ni kweli kuoa mke mrembo ni sawa na kuwa na shamba la miwa karibu na shule ya msingi?

    Nauliza tu wadau..si kwa ubaya...Nick wa pili alitumia muda mwingi sana kumnadi mkewe mtandaoni kwamba ni mrembo.Nahisi Kwa sasa anajutia sana
  11. M

    JamiiForums Tanzania Pamoja na ziwa kuwa karibu kama Km 1 tu Chato maji hayatoki kwenye mabomba. Mkuu wa wilaya na Mbunge wapo kimya.

    Mdau mmoja kanipigia simu. Wiki na ushee sasa Chato maji hayapatikani. Ziwa lipo karibu kabisa kama km 1 tu. Mbunge na mkuu wa Wilaya hawana msaada . Huu ni uzembe mkubwa sana.
  12. JamiiForums Tanzania Wajuvi wa maswala ya barabara karibu hapa mnisaidiye.hata kama wewe si mjuvi tupe hisia zako.

    Nakumbuka huko nyuma barabara za mitaa zilipokuwa zinatengenezwa greda ikishachimba zinakuja lori zinamwaga kifusi kutwa,Hadi kazi kukamilika unakuta wiki nzima vifaa vya kazi vipo hapo na barabara ikishatengenezwa inadumu.kwanini sasa greda inachimba halafu boza inamwaga maji na kushindilia...
  13. JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Chande Maharage karibu Shirika la Posta

    Tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu hapa Shirikani. Digitali kizazi sana! Tupo tayari
  14. JamiiForums Tanzania Karibu tanzania nchi isiyoisha matukio na watu wake wanaendeshwa kwa matukio

    Kicheko na kilio havifanini japo zote hali za hisia 0.KARIBU TANZANIA Nchi isiyoisha matukio na watu wake wanaendeshwa kwa matukio(mitandao) kila mtu anajua yaani mchumi atakupa habari au sheria za utabibu na mwanasheria atakuambia mambo ya uchumi. Leo hili kesho lile na kila mtu anajifanya...
  15. JamiiForums Tanzania Nimekuwa mpweke sana, sina rafiki wa karibu. Je, kuna madhara kuishi hivi?

    Habari? Mimi ni baba wa watoto 2 na mke mmoja. Jumla home kwangu sasa tuko watu 7, wakubwa hasa ni Mimi na wife tu wengine ni watoto wadogo wa primary na kindergarten na wengine ni wadogo zaidi. Ratiba yangu ni kazini- nyumbani, nyumbani- kazini. Ila muda mwingi niko nyumbani. Napiga stori na...
  16. JamiiForums Tanzania Karibu Mwenge wa Uhuru Ndani ya Mkoa wa Tabora

    MBUNGE KAINJA - KARIBU WANANCHI WOTE WA MKOA WA TABORA TUUPOKEE MWENGE WA UHURU Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora, Mhe. Jacqueline Kainja Andrew anawakaribisha Wananchi wote wa Mkoa wa Tabora kushiriki Mapokezi ya Mwenge wa Uhuru ambao umeanza kuzindua miradi mbalimbali ndani ya Mkoa wa...
  17. JamiiForums Tanzania Mlio karibu na Tundu Lissu mumkanye aache mara moja kuropoka ropoka!

    Huko nyuma tuliwahi kumchambua Tundu Antipas Lissu na kuhitimisha siyo presidential material. Amekuwa akiropoka ropoka hovyo bila kupima athari za kauli zake na mbaya zaidi mbali ya kunyanyapaa wapinzani wake wa kisiasa pia hana majibu ya matatizo yaliyopo. Ukikosoa kwamba mkakati huu haufai...
  18. JamiiForums Tanzania Kipi unahitaji kufahamu kuhusu GPS trackers? Karibu kwa maswali

    Kipi unahitaji kufahamu haswa?, Uliza swali lako na nitalijibu hapa kwa kina.
  19. JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano wa karibu wa maumivu ya mwanamke na upendo wake

    Anaandika Robert Heriel Chunguzi zangu zinaonyesha kuwa kuna uhusiano wa karibu wa Maumivu ya Mwanamke na upendo wake. Wanasema chungu tamu. Chunguzi zangu zinaonyesha kuwa kadiri Mwanamke anavyoumia na kupata uchungu kwàajili yako ndivyo unavyozidi kuuteka Moyo wake. Yaani ndivyo anavyozidi...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mkandarasi barabara ya Itoni- Lusitu (Njombe) adaiwa kuwa na mpango kutahatarisha mito na maisha ya wananchi

    Kwa habari nilizozipata nikuwa ili kupunguza ghrama za ujenzi mkandarasi anayejenga barabara ya ITONI- LUSITU kwenye eneo la Kitulila anafanya MPANGO wa Kuchepusha Barabara ambako ni karibu sana na vyanzo vya maji na kuacha barabara kuu ambayo Haina shina kwa kigezo cha kupunguza ghrama za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…