karibu

PachiPara DL (DownLoad) Hyper Sea Story In Karibu (パチパラ DL(ダウンロード)ハイパー海INカリブ) is a downloadable game released on the Japanese PlayStation Store on July 2, 2008.

View More On Wikipedia.org
  1. Lord Denning

    Karibu nyumbani Balozi Emmanuel Nchimbi

    Naona Mheshimiwa Rais wa JMT ameamua kumrudisha nyumbani Mwanasiasa nguli Emmanuel Nchimbi. Nahisi kuna mabadiliko ya Baraza la Mawaziri siku si nyingi. Kama sio hivyo nahisi kuna mabadiliko yanakuja chamani CCM. Nimtakie kila la kheri Komredi Emmanuel Nchimbi. Mwanasiasa wa kimkakati.
  2. B

    Nimewaza nikaona kuwa Tanzania huwa tunaingia mikataba iwe mizuri au mibaya kipindi karibu na Uchaguzi.Je kuna uhusiano?

    Nimekuwa nikisikiliza maoni ya watu mbali mbali wasomi, wazalendo, wa chama tawala na wa vyama vingine pia. Wanazuoni na wananchi wa kawaida. Kwa ujumla kihistori na kwa haraka haraka mikataba mingi ya inayohusu Rasilimali za Taifa na Watanzania huwa inaingiwa kipindi karibu na Uchaguzi. Bado...
  3. Samia atosha tukutane2030

    Usimuunganishie ndugu, rafiki au mtu wa karibu nafasi ya kazi ofisini kwako

    Hii ni nature na hakika, Usijaribu kujionyesha kuwa u mwema au u mtoto wa mjini kwa kumuunganishia mtu wa karibu nafasi ya kazi kazini kwako. Mtavurugana mpaka mchanganyikiwe. Hii nimeiona kazini kwa watu kadhaa nami yalitaka yanitokee sema nikapanchi. Mtafutie kazi ndugu au rafiki katika...
  4. Liverpool VPN

    Karibu nanenane Mbeya tuonane

    INTRODUCTION Dah, mwaka huu nimechelewa kuingia Nanenane Mbeya. Badala ya kuingia tarehe 30/07 ""as usual"" ila mwaka huu nimeingia juzi tarehe 02/08/2023. Ila haina mbaya, Kazi iendelee. BODY Karibu kwenye Banda letu nikupe pindi/Shule kuhusu mambo ya biashara, Uwekezaji, kilimo, na viwanda...
  5. chiembe

    Naytrueboy, mwanamuziki aliyewahi kuwa maarufu na tajiri amefilisika baada ya kujiunga CHADEMA

    Watanzania tuna cha kujifunza, huwa tunasikia watu wanasema "Niko tayari kufa", "Niko tayari kufanya lolote". Mabadiliko ni process ambayo hutakiwi kuibeba peke yako, ni zao la jamii kwa ujumla na kwa pamoja, usije ukaumiza familia yako na kazi zako ukiamini wewe pekee utaweza. Kama jamii...
  6. R-K-O

    Maisha yanahitaji uwe karibu na watu na kujuana. Tabia za kuogopa kuchangamana na kujitenga tenga zinachangia sana umasikini

    Na si mara ya kwanza unaskia mtu anasema mimi sitaki mazoea na watu. Mimi sitaki marafiki. Mtoto wangu ni geti kali, sitaki hata marafiki zake waje. Niseme tu ya kwamba tabia hizi huwa zinachangia sana umasikini, Ni nani asiejua kwamba binadamu hawaaminiki ? lakini jibu ni kuwakwepa ? NO...
  7. K

    Viongozi Wote Walio Karibu au Wana Uwezo wa Kumfikia Rais

    Wanao wajibu wa kumweleza rais ukweli wanavyouona wao kwa msukumo wa uzalendo wao kwa nchi yao. Maswala mazito, kama hili la Bandari yanapotokea nchini na kuwa na mwonekano wa kuwagawa wananchi katika makundi yanayovutanai, siyo mambo ya kunyamazia, hasa kwa viongozi wa ngazi za juu mbalimbali...
  8. PANTHERA LEO

    KWELI Dan Friedkin ana hifadhi ya ardhi kubwa Tanzania

    Aprili 27, 2023, akaunti ya Mtandao wa Twitter inayotumia jina la MainLandAfrica iliweka chapisho linalodai kuwa Bilionea wa Marekani Dan Friedkin amekodisha takriban Ekari 6,000,000 za ardhi nchini Tanzania. Chapisho hilo lilienda mbali zaidi kwa kudai kuwa Friedkin ni mmiliki wa Ekari zingine...
  9. Samia atosha tukutane2030

    Karibu kinaumana huku. Jirani kamdanganya mke wake kuwa anafanya kazi TPA kumbe jamaa hana kazi

    Nyie kuna watu waongo aisee. Binti mrembo kajua kaolewa na mwasibu wa TPA kumbe jamaa ni day worker tu huko TPA. Ni kuli ambaye zikipatikana kazi makuli wenzake wanamshitua. Kuna wakati kazi za ukuli zikichanganya jamaa home haonekani kabisa. Sasa hivi zimekata. Binti mjamzito pesa imekwisha...
  10. R-K-O

    Karibu kila mkoa hapa Tanzania una sifa ya uchawi, kwanini mkoa wa Kilimanjaro umeshika mkia?

    Na hapa nikiwa specific zaidi ni sehemu walizopo wachaga maana Mkoa huu hata wapare wanaishi na habari za uchawi zipo huko kwao Same. Na kweli nikifikiria uchawi hauna maendeleo na nikiona vijiji vya huko vilivyoendelea watu wanashusha mijengo bila hofu ya kupigwa vipapai nazidi kuona huku...
  11. DR HAYA LAND

    Kama kijana hakikisha unakuwa karibu na Tajiri kwa vyovyote vile.

    Kama kijana Hakikisha unakuwa karibu na Tajiri . Tajiri watu muhimu Sana hawana baya . Na ukiwa na urafiki na Tajiri usiombe. Pesa omba connection tu . Na msalimie kwa maneno mafupi kwa kuanza na nomino pia tumia lugha ya mkato na sio vifupisho. Tajiri anapenda kujulikana uwepo wake...
  12. N

    SoC03 Asante Magharibi, karibu Mashariki

    Kwa takriban karne 21 sasa Bara la Afrika limekuwa likitegemea Teknolojia kutoka Nchi za Magharibi ikiwemo Marekani, Ujerumani, Uingereza na baadhi ya Mataifa ya Asia Magharibi. Kwa hili naomba niseme asante sana kwa Mataifa ya Magharibi kwani mmeweza kulisaidia Bara la Afrika katika nyanja...
  13. Lidafo

    Karibu Mwekezaji Kwaheri Uhuru

    Tanzania imekuwa ikipitia vipindi tofauti tofauti vya maswala makubwa ya kitaifa yanayohusu ushirikishwaji wa wanachi moja kwa moja, Suala linalotikisa kwa sasa ni suala la mkataba kati ya serikali yetu na kampuni ya DP world jambo hili linazidi kuchukua sura tofauti kila iitwapo leo kwani...
  14. D

    Miaka karibu 10 ya Jafo ubunge Kisarawe bado maji ni ya chumvi. Kuoga mpaka uogee detergents

    Huyu Jafo hakuna lolote analofanya Kisarawe mkoa wa Pwani. Ni ujanja ujanja tu nashangaa anapaje Uwaziri wakati uwezo wake mdogo sana. Mpaka Leo wananchi wa Kisarawe hawana maji mpaka ya kunywa ni shida mpaka wategemee mvua inyeshe. Kuoga mpaka uogee sabuni ya unga vinginevyo sabuni ya kawaida...
  15. Tarimofundiumeme

    Karibu Tukufanyie Wiring ya umeme kwema Jengo lako kwa gharama nafuu sana.Tuna leseni na tupo kwenye mfumo wa nikonekti TANESCO

    FUNDI UMEME.(Wiring za umeme) -Tunafanya Wiring za umeme kwa gharama nafuu sana. -Ikiwa umefikia stage ya kuweka miundombinu ya umeme kwenye Jengo lako wasiliana nasi, Kumbuka stage ya kwanza ni kabla ya kupiga plasta ambapo ni kuweka box za switches na kuchimbia conduit pipes ukutani. Tuna...
  16. KikulachoChako

    Ni kisa au mkasa gani uliwahi kufanyiwa na ndugu au mtu wako wa karibu?

    Habari za muda huu wapendwa Bila shaka kwenye safari ya maisha kila mmoja wetu amewahi kukumbana na visa na mikasa mbali mbali kwenye purukushani za maisha Mikasa ambayo imekuwa ikitupa mafunzo na mafundisho maishani mwetu na wakati huo huo kubadilisha kabisa mitazamo ya maisha yetu juu ya...
  17. ankol

    Tetesi: Florent Ibenge karibu Jangwani

    Salaam wananchi, Tetesi Zilizonifikia ni kuwa kocha maarufu Florent Ibenge, ambaye ashawahi ikoach RS Berkane na Al Hilal ndio mbadala wa kocha Nasredeen Nabi ambaye anatimkia South Africa. Vipi ataweza ama atazingua?
  18. MK254

    Kiwanda cha mafuta karibu na ikulu ya Putin chapigwa bomu ya drone

    Ukraine wanapiga ndani ndani karibu na ikulu ila pia wanakomboa maeneo nyumbani................. 'Ukraine drone' strike hits oil refinery just 80 miles from Putin's palace: Major explosion on tyrant's doorstep as Russia also loses another general amid surging Kyiv counteroffensive Video...
  19. NALIA NGWENA

    Yanga yamuuza Feisal kwa Azam FC

    Kutoka Yanga official page Amekwenda Azam Sc. ----- Uongozi wa klabu ya Yanga umethibitisha umefikia uamuzi wa kumuuza mchezaji Feisal Salum maarufu Feitoto kwa klabu ya Azam FC. Feitoto ameuzwa kwenda Azam FC kwa dau ambalo halijawekwa wazi na ataungana na timu yake mpya baada ya dirisha la...
  20. Fortilo

    Mshtuko: Bajeti ya Wizara ya Elimu Zanzibar ni karibu nusu ya Bajeti ya Elimu Tanzania Bara

    Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Bi. Leyla Mohamed, leo amewasilisha bajeti ya wizara yake na kuomba kuidhinishiwa kias cha shilingi 457B. Wakati hapo nyuma Kidogo Wazir wa Elimu Tanzania aliomba kuidhunishiwa kias cha Shilingi 1.55Trln. Nikiwa natambua kwamba Elimu ya Juu ni jambo...
Back
Top Bottom