📌 Kariakoo GPT na Pinduoduo – Hebu Tuchimbe Zaidi

Amba Samedi

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2024
Posts
205
Reaction score
336
Jana tuligusa wazo la Kariakoo GPT 🤖🛍️ – Post yenyewe ipo hapa.

Ahsanteni sana kwa jinsi mlivyonipa support kali 💯 na mawazo ya nguvu! Miongoni mwa ideas mlizotoa ni hizi hapa:

Kushirikiana badala ya kushindana – Mawinga wawe wabia, si washindani
Group buying ya nguvu – Wafanyabiashara na machinga wawe wananunua vitu kwa pamoja.

🧠 Leo Nataka Tupige Hatua Nyingine​

Swali hili hapa:

Je, tunaweza kutengeneza app au mtandao unaowezesha "group buying" Kariakoo na kwingineko Tanzania? 🇹🇿📱

Tuchukue inspiration kutoka China – Pinduoduo 👇

🌟 Pinduoduo: Machimbo (Group Buying) App Kutoka China​

Comment moja ilinigusa sana kutoka kwa Investaa

🗣️ “Nenda Kkoo tafuta machimbo ya bidhaa zinazotoka sana, tengeneza app ya group buying. Wewe unaweka markup ya 2%… idea ya machimbo inakuwa meaningful, unalipwa na unasaidia wafanyabiashara wadogo kukua!”

Nyingine:

🛍️ “Winga 10 wanagawana bundle ya vitenge kutoka kwa Mhindi, kila mtu anapata maua tofauti kisha anaingia sokoni. Hii ni ‘Pinduoduo Strategy’ kwa Tanzania.”

🏗️ Je, Tunawezaje Kuiweka Strategy Hii Hapa Nyumbani?​

Haya ndiyo maswali ninayowaza kwa sasa:

🔎 Kusanya Bidhaa: Tunawezaje kutengeneza kanzidata ya FMCGs kama simu, viatu, mabegi n.k?
👥 Vikundi vya kuweka Order: Je, watu wanaweza kuungana kupitia WhatsApp Groups kwa ajili ya oda za pamoja? Au kuna njia nzuri/rahisi kuliko hiyo?
🚚 Usafirishaji: Mfumo upi wa kusafirisha ni salama kufikisha bidhaa kirahisi na kwa usalama?
🎁 Huduma kwa Wateja: Mtu akileta marafiki kwenye app, apewe bonus au discount?

🧩 Vitu Muhimu vya Kuving’amua​

🔐 Trust Mechanism – Je, kuna njia rahisi ya kufanya watu wasiofahamiana wafanye biashara bila hofu ya utapeli? Sijaona public escrow kwa ajili ya wafanya biashara wadogo. Mbadala ni upi?
📲 Accessibility – Wengi wanatumia WhatsApp au simu za kawaida. Je, tunawezaje kutumia WhatsApp bot badala ya kutengeneza app nyingine?
💳 Hifadhi ya Pesa: Nani atahifadhi hela hadi oda itimie? Na je, kama kuna ucheleweshwaji au refund inahitajika?

Tuzungumze!
Hebu tusogeze hii idea karibu na uhalisia. 👨🏾‍💻👩🏾‍💼
Kama una uzoefu, ushauri au connection – karibu sana.
 
Kila kitu kinafanyika online , wholesale wanaweza kuweka template campaign ambazo zinaoneka kwa wateja wote ila washikaji wa kitaa wameshaelewana mmoja anafungua campaign based on bidhaa wanayotaka mathalani wanataka kununua jeans kwa jumla kwa bei ya 13k(18k kwa bei ya kawaida a.k.a kwa wamachinga), moq ni 10 kwa rangi 1 na size moja mathalani kiuno 32. Wawe wanafanya group buying based on location ili iwe rahisi kufanya delivery. Mzigo unaenda kwa admin(ALiyeanzisha campaign). Mfano wapo kibaha maili 1, group zima wanatakiwa wawe hiyo sehem ili wachukue mizigo yao.

Kuhusu kuweka oda, admin ambaye ndio kiongozi wao akishaanzisha campaign analipia kabsa then anashare link kwa wana nao wanajiunga wanalipia through payment gateway APIs. Usafirishaji unaweza ingia mkataba na kampuni ya usafirishaji wa mizigo nchi nzima na wengi wapo kkoo. Kuhusu discount , ni kama tayari wameshapata discount kwa group buying maana jeans ya 18k wananunua kwa 13k. Ambapo wewe umeongeza 3k kwa kila jeans. Ukitaka uwavuruge zaidi unaweza sema free delivery ili waone wamepata faida kumbe wewe unapunguza 1k kila jeans ili upate delivery fee .

Kuhusu trust ni simple tu kwakuwa mzigo umelipwa kwenye system na majina pamoja na namba za simu zipo watajulisha mapema kabla delivery boy hajafika kwenye hiyo locations.

Kila member ataona tarehe husika ya mzigo kufika pale alipo admin wao ili wachukue mzigo wote kwa pamoja.

APP ni best options coz inahifadhi kumbukumbu zote za miamala na locations. APP inasaidia mambo yawe auto, winga wewe ni kuhamisha pesa kwenye duka husika kuchukua bidhaa na kupeleka kwa delivery boy chaap bila kuchelewa.

Pesa zinahefanyiwa kwenye collection account ya mtandao husika kama uta integrate na APIs. Kuna vitu viwili kwenye hizi payment integration gateway:

1. Disbursement Account: Hii kutuma pesa either bank au mobile money
2. Collection Account : Kupokea pesa kutoka kwa wateja.

Unaweza ukaset ikawa auto kila campaign ikafika deadline inafunga oda na kutuma pesa kwenda kwenye duka husika kama mmeshafanya partnership. Hapa naongelea disbursement account.

++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++

Hii project ni kubwa sana ukisema ufanye peke yako, ingekuwa watz tuna umoja ambayo wenye maslani ya pamoja ya kujijenga kiuchumi nakutengeneza ajira kwa wengine , tungetengeneza kitu kama wale jamaa waliojenga kampuni kwa kujikusanya marafiki 20 , kampuni yao wakaiita G20 na kila mmoja akaweka pesa mezani 10M, lengo lao ni kufikisha mtaji wa 400M. Huu ndio urafiki wenye maana na wakuigwa.

Idea ya Group Buying ni mingi sana masee , issue how to implement. Unaweza deal pia na mambo ya Ujenzi ukabonga na viwanda then ukachukua MOQ zao ukaweka kwenye app watu wakafanya manunuz kwa group kwa kufikia MOQ ya kiwanda husika. Mfano cement, kiwandani labda ni 13k , mtaa 16.5k: Wewe kama winga ukauza 13.5k, ko unapata 500 kila mfuko . Nadhan usafiri unaweza ukawa ni FREE , sina huwakika sana ila kuna friend yupo shinyanga uwaga ananuna 30tan ya simba cement kutoka TA hadi Shy town free bot.

Bati ukaenda ALAF ukapiga nao story na kuomba MOQ na discount kama mzigo utakuwa mkubwa zaidi, hii bei mteja individual hawezi pata popote isipokuwa kwenye app yako. Haya yote yanawezekana kama utafanya kazi kwa group na kuwa na kampuni au jina la biashara kwa kutambulika brela, tra, manispaa. Ukiwa na hizo ID umepata gateway kwenda viwandani kusema nao pia kupata APIs kwaajil ya integration ya malipo ya bidhaa.
 
We jamaa! Asante sana. Sikuwahi kujua kuwa kuna watanzania wenzangu ambao nao wameamua kufikiria kwa mapana hivi. Kwa hiyo nnachopata hapa ni namna ya kufanya MOQ na viwanda, ndani na nje ya TZ.

Of course uwezo wa kuimplement nnao (endapo issue kubwa ni hela tu). Sishindwi kuraise 300M mwenyewe kwa ajili ya kitu kama hichi.

Kuna watu wa kutengeneza app wengi, na pia digital support team na mfumo wa matangazo. Nlishawahi kuongea na NMB kuhusu malipo,, maana wao ndo benki walio na public API kwa hapa TZ. Na of course tuna the likes of DPO ambao wana APIs zilizosimama kwa ajili ya kusupport kitu kama hichi.

Once the pilot project imekamilika na watu wakafahamu kuwa inafanya kazi, nadhani tutaenda vizuri.

Asante sana sana kwa jibu zuri kama hili. Mungu akubariki.
 
Siku hizi unaweza ukawa unasoma contents kumbe ni za roboti chat gpt.
 
Back
Top Bottom