kariakoo

Kariakoo is a ward in the Ilala District of Dar es Salaam, Tanzania. It has a population of 9,405 (2002). The name derives from a corruption of the British "Carrier Corps", that used to be based in this area. Today, Kariakoo is mainly known for its extensive market, that spans several city blocks.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kupunguza idadi ya Maegesho Kariakoo ili kuongeza usalama wa Watu na mali zao

    Nimesoma hivi karibuni Ufaransa itapunguza maegesho 70,000 ya magari katika mji wa Paris,hii inatokana na sababu kuwa maegesho ya magari yanachukua takribani nusu ya eneo la mji wa Paris yakiwa na idadi ya asilimia 13% ya watu katika mji wa Paris. Hapa Tanzania eneo la Kariakoo ambalo ni eneo...
  2. JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Baadhi ya mahitaji ya wadau: Naombeni kupewa orodha ya maduka ya suti za kiume (za kisasa) yaliyopo Kariakoo. Nahitaji kuyazungukia. Kwasababu ya muda siwezi ku-design kwa fundi ndo maana nataka kuitungua dukani. Shukrani. Kariakoo au Dar ni wapi tutapata pochi, vitenge na viatu vya kike bei za...
  3. JamiiForums Tanzania INAUZWA Jipatie viatu vizuri kwa bei nafuu

    Brand: air Jordan sneakers Size kuanzia 40, 42, 43, 44, 45 Bei sh 45000 Dar es salam tunakufikishia mpaka ulipo na mikoani tunatuma Contact 0715621701
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu atinga Kariakoo kutafuta mahitaji

    Makamu Mwenyekiti CHADEMA Mh Tundu Lissu ameingia Kariakoo kununua mahitaji mbalimbali Huyu hapa
  5. JamiiForums Tanzania Simu gani nziuri napata Kwa bajet ya sh 250,000 pale kariakoo

    Ambayo ina 4G... hiyo ndio kigezo kikubwa. Pia maduka ya hizi simu (za bei hiyo) yapo mtaa upi pale kariakoo?
  6. JamiiForums Tanzania Utapeli Kariakoo: Kuna tofauti kubwa sana kati ya kusoma na kuwa na akili nyingi. Kuna watu waliishia darasa la saba (7) tu kwa sababu ya umasikini

    S.hikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Ndugu zangu Watanzania; Kuna tofauti kubwa sana kati ya kusoma na kuwa na akili nyingi. Kuna watu waliishia darasa la (7) tu kwa sababu ya umasikini wa nyumbani kwao wakashindwa kuendelea na masomo. Kuna watu hawajasoma sana (unakuta mtu...
  7. JamiiForums Tanzania GE2020 Michango kwa Tundu Lissu: Huyu mbeba mizigo Kariakoo amenitoa chozi

    Katika Mishe mishe zangu Kariakoo kuna jamaa huwa ananishushia mizigo kwenye gari, Kijana mchangamfu mwenye bashasha na anependa sana kujadili mambo ya siasa, nimemfahamu kwa muda sasa.. anampenda sana Rais Magufuli... Sasa Jana kama kawaida niakenda kariakoo (Sijaonekana kwa muda)...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Wanaouza viungo kwa kilo Kariakoo Soko Dogo wananunua wapi?

    Nahitaji kujua supplier wa viungo kwa jumla. Viwango vya kilo 50 kwenda juu. Wawe juu ya wanaouza viungo Kariakoo.
  9. JamiiForums Tanzania Msichana huyu Single Mother ana nyota kali sana. Juzi nimekutana naye jana nimeingiza sales Milioni 27 dukani kwangu Kariakoo

    Kuna watu watasema " oooh mods Uzi huu upelekeni jukwaa la intelligence kwa sababu Una madini mazito Sana" Haya Bana. Nianze kwa kusema Singo mazas sio wabaya kihivyo Kama tunavyo jaribu kutaka Ku uaminisha Uma. Pili niombe radhi kwa Singo mazas wote walio kwazika na threads zangu za nyuma...
  10. JamiiForums Tanzania Tupeane connection za kuagiza moja kwa moja laptops zinazouzwa bei nafuu Kariakoo

    Kuna maduka kama laptop city, Discount kubwa, zawadi computers na maduka kibao ya wasomali wanauzaga hizi laptops kwa bei chee kidogo. Niliwatafuta wanipe connction ila waligoma, Sikuwa na nia ya kuharibu biashara zao ila nlikuwa nataka tu nijipigie order kuna pc ni bei sana sasa nikataka...
  11. JamiiForums Tanzania Kumbukumbu: NCCR CCM Wapigana ngumi kariakoo

    Kama gazeti letu lilivyoandika Wakati wa uchaguzi 1995. Watu wenye mahaba na wagombea wao walikuwa wanawatetea kinagaubaga...walikuwa wanawatetea mbwai kwa mbwai hakuna kulemba. Sasa hizi CCM inatetewa na dola badala ya kujenga hoja wanalipua mabomu na kupiga watu mawe .
  12. T

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara Ramadhan Hamis Ntunzwe, adai TRA hawajatekeleza agizo la Rais. Je, Kamishna Mkuu TRA afukuzwe kazi na Yono ifilisiwe mali zake?

    Kusema kweli mimi mkiristu kisa cha Ramadhani Ntunzwe kimenisikitisha Mwenye MB zako nisimwage chumvi Ona hapa[emoji116][emoji116][emoji116] Hii issue ikianza hivi natoa pongezi kwa Ramadhani kwa uvumilivu VIDEO: Hivi ndivyo mfanyabiashara aliyetajwa na Magufuli Baadae ikafuata hii mpaka...
  13. JamiiForums Tanzania Nataka kuingia kwenye biashara ya vitenge niwe nachukua mzigo Kariakoo naenda kuuza mikoani

    Ndugu zangu kama kichwa cha habari kinavojieleza. Mimi nataka kuingia mwenye biashara ya vitenge niwe nafata mzigo Kariakoo then naenda kuuza mikoani. Kwa ambaye anauzoefu kuhusu biashara anambie challenges za hii biashara.
  14. JamiiForums Tanzania Nani mwenye historia ya John Rupia, Mwana TANU na tajiri wa kwanza mweusi mitaa ya Kariakoo?

    Mwenye ndondoo za mzee wetu huyu marehemu atushushie. Inasemekana alikuwa mfadhili wa TANU na tajiri wa Kariakoo.
  15. JamiiForums Tanzania Tangazo la kazi shirika la masoko Kariakoo

    Wadau kazi hizo hapo mwenye sifa na aombe SHIRIKA LA MASOKO KARIAKOO (KARIAKOO MARKETS CORPORATION) S. L. P. 15789, SIMU: 2180678 Dar es Salaam. Tanzania. 27 March , 2017 TELEGRAM “MASOKO’ www.kariakoomarket.co.tz Kariakoo Market Corporation is an autonomous...
  16. JamiiForums Tanzania Ni kwa namna gani Julius Nyerere aliwazidi "Ujanja" wazee wa Kariakoo waliompokea kwenye siasa za Dar es Salaam?

    Ni wapi Julius Nyerere aliwazidi "ujanja" wazee wa mjini,born town na Watoto wa K'koo? Wazee wake na gwiji wetu wa historia Mohamed Said Ukifuatilia historia na harakati za Uhuru,unaona kuwa huyu kijana wa Kizanaki,mtoto wa Chief na "mvaa kaptula" alikuja baadae sana Dsm wakati wenzake wakiwa...
  17. JamiiForums Tanzania Historia ya Soko la Kariakoo na Mchora ramani Beda Amuli

    Historia ya jina la Kariakoo na soko la Kariakoo inaanzia tangu enzi za ukoloni wa Mjerumani wakati Tanzania Bara ikiitwa Tanganyika. Mahala lilipo soko hilo palijengwa jengo la utawala wa Wajerumani ambalo lilikusudiwa litumike kama ukumbi wa kuadhimisha sherehe za kutawazwa kwa Mfalme Kaiser...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…