kariakoo

Kariakoo is a ward in the Ilala District of Dar es Salaam, Tanzania. It has a population of 9,405 (2002). The name derives from a corruption of the British "Carrier Corps", that used to be based in this area. Today, Kariakoo is mainly known for its extensive market, that spans several city blocks.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Utitiri wa maghorofa yanayojengwa Kariakoo siku hizi inaashiria nini?

    Mitaa mingi Kariakoo majengo mengi yanajengwa hii Ina ashiria nini? Naombeni majibu wale wazee wa kusoma alama za nyakati ndio naowataka.
  2. JamiiForums Tanzania DOKEZO Rais Samia, Mwanao Abdulhalim Amer adaiwa kuwapa tabu sana maofisa wa TRA kutekeleza majukumu yao Kariakoo

    Abdullahim Amer ni jina la mtoto wa kiume wa Rais Samia. Huyu kijana ana biashara ya kuuza matairi ya magari pale livingstone Kariakoo. Toka mama yake aingie madarakani amekuwa tatizo sana kwa maofisa wa TRA wanaojaribu kutekeleza majukumu yao pale Kariakoo kwa sababu anafanya biashara...
  3. JamiiForums Tanzania Kuondoa machinga halafu kuruhusu ujenzi holela wa vibanda vya biashara sio sawa

    Ni kweli Kariakoo ni sehemu ya biashara hilo halina ubishi, lakini ukweli mwingine pia ni makazi na matumizi ya wengi wapitao njia. Embu pita tu pale Kariakoo uone jinsi nyumba zinavyobadilishwa, vichochoro vyote sasa ni viduka, gorofa zinabadilishwa kutoka makazi kuwa maduka kimya kimya...
  4. JamiiForums Tanzania Mwisho wa Kariakoo huu hapa: Serikali yapitisha gulio la Wachina Kurasini

    Kati ya vitu vya kijinga serikali inaenda kufanya kwa watu wake ni kuua soko la Kariakoo kwa kuruhusu gulio la Wachina Kurasini ili wauze bidhaa zao bila kodi na kodi ikusanywe pale tu bidhaa inapotoka. Hizi akili itakuwa kazitoa Mwigulu lakini ikitokea hili limefanikiwa basi Kariakoo haitakuwa...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Wakusanya Ushuru wa Maegesho Kariakoo na Posta wakamatwa na Halmashauri

    Baadhi ya Wafanyakazi wa kutoza ushuru wa maegesho ya magari Dar maeneo ya Posta na Kariakoo (zaidi ya 40) wamekamatwa na magari ya Halmashauri na kupelekwa Polisi kufuatia mkataba wa mzabuni kuisha. Wafanyakazi hao wamehoji, kama issue ni mkataba wa mzabuni kuisha kwanini wanakamatwa...
  6. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kwa soko la Kariakoo kuhamishiwa Ubungo?

    Kuna tetesi nimesikia kwamba Soko kuu la Kariakoo linataka kuhamishiwa Ubungo, kwamba watu badala ya kwenda hadi Kariakoo wataishia tu Ubungo. Je, hii imekaaje kaaje, nini mtizamo juu ya hili? Video chini ina maelezo ya ziada. ========================...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi klabu za Kariakoo zinatuchukuliaje sisi mashabiki?

    Yaani wanatufanya mashabiki kama hayawani muda mwingine. Tabia zao za uongo na kukuza mambo na mbaya zaidi ni tabia ya kutagaza wachezaji usiku naichukia sana, sio jambo fair kwa mashabiki waliokuwa na haki ya kupata taarifa juu timu yake kuhusu usajili. Tabia hii ya kipuuzi walikuwa nayo...
  8. JamiiForums Tanzania Hii ni mara ya pili polisi wanashambuliwa mtaa wa Narung'ombe na Ndanda, Kariakoo

    Siungi mkono polisi kupigwa , wala polisi kuonea watu, lakini inafikirisha kidogo, haiwezekani eneo moja hilo hilo mpigwe na kuzomewa mara mbili na mshindwe kufanya kazi iliyowapeleka pale isipokuwa operation mfanyayo ni batili Wakiwa kwenye msako wa kukamata bodaboda wakorofi kila wakifika...
  9. JamiiForums Tanzania Mashahidi 10 kupanda Kizimbani kesi ya kukata Nyaya za Umeme Kariakoo

    Mashahidi 10 na vielelezo nane vinatarajia kutolewa katika kesi ya kukata nyaya za umeme katika Soko Kuu la Kariakoo lililopo jijini Dar es Salaam na kusababisha hasara ya Sh316 milioni, inayowakabili wafanyabiashara watatu wakazi wa Mbagala na Tandika. Washtakiwa katika kesi hiyo ni Erick...
  10. JamiiForums Tanzania Niliishi miaka kadhaa Dar kwa kukopesha watu pale Kariakoo kwa rejesho la asilimia kumi kwa siku

    Wanasema mjini akili. Miaka kadhaa nilikuwa napambana kukuza mtaji kwa kukopesha watu kuanzia elfu ishirini mpaka elfu hamsini kwa marejesho ya kila siku. Pale Kariakoo kuna watu hawana mtaji ila wanafahamu chimbo la bidhaa na wapi atauza. Walikuwa wanakuja na kuchukua hela halafu anarudisha na...
  11. JamiiForums Tanzania Machinga Kariakoo walalamika kutoshirikishwa katika mchakato wa kupata EFD

    Mkuu wa Machinga eneo la Kariakoo, Steven Lusinde amesema zoezi la kuwapatia mashine za EFD wamachinga walioko maeneo ya Kariakoo linatekelezwa bila kuwashirikisha bali wamepewa taarifa na Mamlaka ya Mapato (TRA) kuwa wanatakiwa kupewa mashine hizo za kikodi. "Niseme ukweli kwamba jambo hili...
  12. JamiiForums Tanzania TRA kukusanya Kodi kwa Machinga wote Kariakoo

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeanza kuwasajili wafanyabiashara wadogo ‘wamachinga’ waliopo katika Soko Kuu la Biashara Kariakoo Akizungumza na wanahabari leo Jumatatu Desemba 12, 2022 Meneja wa Mkoa wa Kikodi, Alex Katundu amesema tayari machinga 5273 wameshasajiliwa ili kuingizwa kwenye...
  13. JamiiForums Tanzania Sajili Muhimu kwa vilabu vya Kariakoo

    Vilabu hivi viwili SIMBA pamoja na YANGA vina mapungufu katika vikosi vyao ukianza na mabingwa watetezi YANGA wamekuwa na tatizo kwenye safu yao ya ulinzi pamoja na kiungo wa kati nafasi ambazo humlazimu Yanick Bangala kucheza nafasi zote mbili kadiri ya mahitaji ya meji hivyo yanga inahitaji...
  14. JamiiForums Tanzania Kariakoo Sasa Majenerator yanaunguruma. Gegegeeee, Dododooo, Gigigiiii

  15. JamiiForums Tanzania Nipo tayari kujitolea gharama za matibabu ya akili kwa mkurugenzi wa Tanesco Kariakoo CBD

    Kwa kweli, kwa kweli, jamani, kwa hili la kukata umeme Kariakoo tangu asubuhi hadi muda huu umeme haujarudi kwa maeneo mengi ya Kariakoo, binafsi nipo tayari kutoa usafiri hadi Milembe, na nitalipa gharama zote za matibabu, this is Insanity!!!!!!!
  16. JamiiForums Tanzania Vijana tokeni Kariakoo nendeni kijijini mkalime

    Vijana wenzangu nipo hapa kuwapeni ushauri, jembe halimtupi mkulima shida yenu mpo dar kuokoteza miamia mnaacha kutumia fursa za ardhi yetu yenye rutuba. Huu ni msimu wa mvua njooni mashambani mlime. Kuna mapori kibao katavi huko. Ukilima ufuta, mahindi na arizeti hutajuta. Sasa mpo tu mjini...
  17. M

    JamiiForums Tanzania TRA inapataje kodi za Kariakoo wakati jamaa hawatoagi risiti

    Kariakoo ni kituko sehemu kama ile ningefikiria ndiyo iwe focal point ya ukusanyaji wa mapato lakini nenda duka lolote kariakoo ukanunue kitu alafu omba risiti uwone. Kwanza wana kali moja hiyo, wanakuambia bila risiti bei inapungua, mbili, ukiwa unachukua mzigo mkubwa unapeleka mbali...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Hivi ile tume iliyoundwa kuchunguza kisa cha moto wa soko la kariakoo ilifikia wapi?

    Siyo mara ya kwanza kuundwa tume ya uchunguzi kufuatia majanga yanayotokea, mbaya sasa hakuna majibu yanayotolewa kama matokeo ya uchunguzi wao. Ni kwamba hatupaswi kujua? Zinaundwa za nini, kujua nini na zinafanya kazi kweli? hatuoni kujifunza kutokana na makosa hivyo inatia wasiwasi juu ya...
  19. JamiiForums Tanzania Mambo ya kichawi niliyoyaona kwenye Derby ya Kariakoo jana kabla ya mchezo

    Natamani siku hizi timu mbili ziache kurogana kipigwe kavu kavu tuone kiuhalisia ni nani bora zaidi uwanjani na siyo haya mazingaumbwe wanayotufanyia. Haya ni baadhi ya mambo nikiyoyaona jana uwanjani; ~ Yanga SC ndiyo walikuwa wa kwanza kuingia uwanjani majira ya saa 3:05, baada tu ya kuingia...
  20. JamiiForums Tanzania Kariakoo Derby 23 October

    Mchezo huu ambao huteka hisia za mashabiki wengi wa mpira wa miguu, utakuwa na msisimko mkubwa sana. Sababu ikiwa ni kila timu kuwa wakati wa kipekee, Yanga akiwa kabeba ubingwa bila kupoteza mechi lakini kashindwa kwenda hatua ya makundi, anasubiri kucheza na Africain ili afanikishe kwenda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…