kariakoo

Kariakoo is a ward in the Ilala District of Dar es Salaam, Tanzania. It has a population of 9,405 (2002). The name derives from a corruption of the British "Carrier Corps", that used to be based in this area. Today, Kariakoo is mainly known for its extensive market, that spans several city blocks.

View More On Wikipedia.org
  1. Kasri Homes Tz

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kariakoo: 850 sqm Plot For Sale - Dar

    • Direction: Muhoro • Plot Area: 850 sqm • Document: Title deed • Price: TZS 800 million • Viewing charge: TZS 30,000 . ✓ hapa ni mahali pa soko la kibiashara la kimataifa ✓ plot inafaa kwa makazi na biashara . Call/Watsap: +255 767 15 77 88 . In Real Estate We Connect
  2. Yoda

    JamiiForums Tanzania Tunawakosesha fursa wazawa kwa kuwekeza nguvu kwenye timu mbili za Kariakoo tu.

    Tangu nimsikie Mbwana Samatta katika jukwaa la kimataifa sijamsikia tena mzawa mwingine Mtanzania akiwa maarufu hapa Africa au duniani kwa ujumla katika sekta ya michezo. Huenda sababu mojawapo kubwa ni serikali na raia kuelekeza nguvu zao na focus yao yote katika vilabu viwili zaidi vya...
  3. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Sold out ila bado tiketi zanauzwa kwa lampard electronics kariakoo

    Angalia hii picha unaona bado watu wananunua tiketi sasa nashangaa sababu tuliambiwa ni sold out na mimi niliuamin uongozi wa simba kwa asilimia 100 sasa nimepita lampard electronics nimeshangaa kuona msururu wa watu wakiwa bado wananunua tiketi
  4. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Mwizi kachomwa moto muda huu Kariakoo

    Hivi wadau kumbe style ya wizi wa kizamani ya mtu kujifanya umemkanyaga anakugusa halafu unaibiwa bado ipo aisee. Leo kuna mwizi kajaa kwenye kumi nane za watu hapa Kariakoo kamgusa mtu sijui alishawahi kuibiwa Kwa aina hii si ndio kamshtukia kamwitia mwizi aisee jamaa kachomwa na petrol muda...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Connection ya kuagiza mzigo Kariakoo bila kwenda

    Naomba connection nikitaka agiza mzigo Kariakoo bila mimi kwenda huko
  6. Mzee Kimamingo

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa namna bora ya kupata fremu Kariakoo

    Wasalam wana Jamvi. Naomba kwa wataalam wa Kariakoo mnipe namna bora ya kupata Fremu kariakoo maana Naona madalali ni wengi nisije kupigwa hela yenyewe ya Mkopo hii.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kariakoo kuvutia wateja wa nchi tisa Dar es Salaam kupitia Kariakoo Festival

    17 JULY 2024 MSIMU WA PUNGUZO #Twenzetu Kariakoo Kariakoo Festival 2024 inakuunganisha na Biahara zinazo toa Punguzo la bei katika msimu huu. KARIAKOO KUVUTIA WATEJA WA NCHI TISA DAR ES SALAAM KUPITIA KARIAKOO FESTIVAL...
  8. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Nimeshangazwa na uwezo wa kufanya masaji wa msichana huyu wa kiarabu kutoka Kariakoo jijini Dar es Salaam

    Umri wake ni miaka 26 na jina lake linaanzia na herufi H. Wakati naenda kukutana nae kwa mara ya kwanza I thought my friend was joking with me. Kwa sifa alizo kuwa anampa kwa sababu alikuwa anampa sifa ambazo tumezoea kuzisikia kutoka kwa wasichana wa kimwera, wayao, WAMAKONDE, wadigo etc...
  9. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Dar wapige chini baadhi ya Viongozi wa mashirika Soko la Kariakoo

    Gazeti za jana zimesikitisha sana kwa yanayoendelea pale Kariakoo. RC wangu, wakati doll ikikagua yale majina, nikujuze tu kuwa mamlaka yako inaruhusiwa kuwaondoa viongozi wa Shirika la Masoko Kariakoo mapema. Kumekuwa na kama dili za ajabu, soko likiungua viongozi wanafikiri ndio sehemu ya...
  10. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania DC Ilala awatuliza wafanyabiashara Kariakoo, kukutana na Chalamila kesho

    Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo amewatuliza wafanyabiashara zaidi ya 800 wanaodai majina yao hayamo kwenye orodha ya watakaorejea katika Soko la Kariakoo, walioandamana hadi ofisi ndogo za CCM Lumumba. Amewaahidi kesho Julai 12, 2024 watakutana na Mkuu wa Mkoa kwa ajili ya kujadili...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila atoa maelekezo mahususi ukanda wa kibiashara Kariakoo

    -Ataka kutekelezwa haraka kwa maelekezo yake ili kufikia adhima ya serikali kufanya biashara saa 24 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Julai 10,2024 amefanya kikao na viongozi wa wafanyabiashara pamoja na viongongozi wa Serikali, Taasisi, Mashirika na wataalam kutika ofisi...
  12. OR TAMISEMI

    JamiiForums Tanzania Orodha kamili ya majina ya wafanyabiashara wenye sifa na vigezo vya kurejeshwa sokoni Kariakoo yatolewa

    Shirika la Masoko ya Kariakoo linautangazia umma orodha kamili ya majina ya wafanyabiashara wenye sifa na vigezo vya kurejeshwa sokoni Kariakoo baada ya ujenzi wa soko jipya na ukarabati wa soko kuu kukamilika. Taarifa hii inapatikana katika tovuti ya Ofisi ya Rais –TAMISEMI www.tamisemi.go.tz...
  13. econonist

    JamiiForums Tanzania Mambo matano aliyosema Rais Samia jana yaliyonisikitisha

    Wakati Rais Samiah akiwaapisha Viongozi Jana , Kuna mambo matano aliyasema kwenye hotuba yake ambayo yalinisikitisha. 1. Jambo la kwanza Rais kadai mikopo inaifanya Tanzania inyayasike Nimehuzunika Rais anapokiri ya kwamba mikopo tunayokopa inatufanya tunyanyasike. Huyu ni udhaifu mkubwa wa...
  14. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Kariakoo pamng'oa Kidata TRA

    Jinamizi linalosumbua TRA na wafanya biashara sio Kamshna bali ni sheria zetu kandamizi za Kodi. Pale TRA hata tuamue kuajiri Malaika Gabrieli akae pale hapatakua na mabadiliko na migogoro haitakaa iishe bila kuleta na kukubali mabadiliko ya sheria zetu za kodi. Kwa nini tusijifunze kwa...
  15. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Tunashukuru Mgomo Kariakoo umekwisha salama

    Maduka Kariakoo yamefunguliwa wananchi wanachapa KAZI. Asanteni
  16. BigTall

    JamiiForums Tanzania KERO Bodaboda ni kero kubwa na chanzo cha ajali kwenye Zebra ya Msimbazi Kariakoo ambazo zimefutika

    Mamlaka za Jiji kwa kushirikiana na Kitengo cha Usalama Barabarani (Polisi) waangalie kwa jicho la tatu namna Bodaboda wanavyotumia vibaya kipande cha Mwendokasi eneo la Msimbazi la Kariakoo, Dar es Salaam. Bodaboda wamekuwa kero kubwa na kusababisha ajali za mara kwa mara kwenye njia hiyo...
  17. kavulata

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Kariakoo ni wakwepa kodi, wasichekewe.

    Wengi wao hawataki katakata kutoa risiti halali kwa malipo halali. Unanunua bidhaa kwa bei kubwa wanakupa risiti yenye malipo pungufu. Ukikataa wanakwambia rudisha mali. Fukuza wote wenye tabia hii hata kama awe nani.
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania RC wa Dar Chalamila vitisho vyako vya Siku Mbili Tatu kwa Wafanyabiashara wa Kariakoo vimesaidia nini kama bado Wanagoma na hakuna Suluhisho?

    Wafanyabiashara wa Kariakoo, Dar es Salaam waliogoma kufungua maduka tangu juzi, Juni 24,2024 wamemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kutoka hadharani na kutoa tamko. Wametoa maombi hayo leo Jumatano Juni 26, 2024 baada ya kufanya kikao na mwenyekiti wao na kuonekana kutoridhishwa na tamko...
  19. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Kwanini wafanyabiashara wa Kariakoo wasipeleke maumivu kwa mtumiaji wa mwisho(mlaji)?

    Nipo napitia pitia vitabu vya biashara naona kama wafanya biashara wa Kariakoo wako against na sheria za Biashara hii ni maajabu kidogo. Kwa sababu kikawaida kama kodi iko juu anaye takiwa kulia ni mnunuaji wa mwisho yeye ndie anapaswa kulia na hata kuingia Barabarani. Sasa hii ya Kariakoo ni...
  20. toriyama

    JamiiForums Tanzania Raia wa Kichina (mfanyabiashara ) achezea kichapo leo Kariakoo kutoka kwa kina mama wanyonge wenye hasira kali

    Raia wa kichina (mfanyabiashara ) achezea kichapo Leo KARIAKOO na kina mama wanyonge wenye Hasira kali https://x.com/OKisioki/status/1805534690570273276?t=yZtJYTPn70h-bZuPEx2PAQ&s=19 #mgomo KARIAKOO 24/6/2024 Kosa la mchina: Kafungua Duka wakati wenzake wamefunga
Back
Top Bottom