kariakoo

Kariakoo is a ward in the Ilala District of Dar es Salaam, Tanzania. It has a population of 9,405 (2002). The name derives from a corruption of the British "Carrier Corps", that used to be based in this area. Today, Kariakoo is mainly known for its extensive market, that spans several city blocks.

View More On Wikipedia.org
  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Sare za Chadema zaanza kugombewa Kariakoo, Haifahamiki Sababu yake

    Hii ndio Taarifa mpya zinazozunguka kote mitandaoni, jioni ya leo kwa saa za Tanzania Unaambiwa Mauzo ya nguo hizo yamepanda ghafla hadi kuwatia hofu wauzaji wake, Si Magwanda wala Madela. Bado haijajulikana sababu hasa za mauzo hayo kupanda haraka kiasi hicho, Bali wadau wanaona labda kujaa...
  2. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania "Watekaji" wanatoa wapi pingu?

    Nilikuwa nikifikiri pingu zinapatikana Polisi tu, lakini kumbe hata "watu wengine" wanaweza kuwa nazo! "Watekaji" waliomteka marehemu Ally Kibao na hatimaye "kumpoteza", walikuwa na pingu. Lakini Jeshi la Polisi lilikana kuwatambua, kwa hiyo "hawakuwa" askari Polisi. Waliojaribu kumteka...
  3. KikulachoChako

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Kariakoo wameiomba serikali iwaondoe raia kigeni (Wachina) wanaofanya umachinga

    Wafanyabiashara Soko la Kariakoo, wameiomba Serikali kuwaondoa raia wa kigeni ambao wamekuwa wakiuza bidhaa rejareja kwa bei ya chini hali inayopelekea raia wa nchini kukosa wateja. Wakiongea na EATV, wanasema kwa sasa hali imekuwa mbaya zaidi kwani wengine wamekuwa wakisimama nje ya maduka na...
  4. kaligopelelo

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu chimbo la vifaa vya seremala kariakoo

    Wakuu nadhani mtakuwa wazima Afya . Ndugu zanguni nimekuja na ombi langu kwenu,na siku zote jamii forum ni sehemu imejaa waungwana kweli kweli. Ombi langu ni kufahamishwa chimbo la vifaa vinavotumiwa zaidi na mafundi seremala Kama vile tapes,misumari,msasa,gundi ya mbao aina zote,vanishi nk...
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Kariakoo: Dereva amtolea panga mwenzake wakigombea njia

    Watu wanahasira sana, yani jamaa kaamua kumtolea panga mwezie kisa kaingilia njia isiyokuwa yake! ================ Katika hali isiyokuwa ya kawaida madereva wawili eneo la Kariakoo mtaa wa Sikukuu, jijini Dar es Salaam, wamejikuta katika mzozo mkali wakigombea njia, huku mmoja kati yao akichukua...
  6. Magical power

    JamiiForums Tanzania Hapo ni Kariakoo Mwaka 1975

    Hapo ni Kariakoo Mwaka 1975
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Yanga imelimwa faini ya TSh. Milioni 10 kwa kupita mlango usio rasmi mechi ya Dabi ya Kariakoo

    Klabu ya Yanga imelimwa faini ya TSh. Milioni 12 na Bodi ya Ligi kwa makosa tofauti ikiwa ni pamoja na kupita mlango usio rasmi kwenye mechi ya Dabi ya Kariakoo, ambayo walishinda bao 1-0 mbele ya Simba SC Pia, Ramadhan Kayoko na Waamuzi waliochezesha mechi za Yanga (Vs Simba Vs Coastal Union)...
  8. technically

    JamiiForums Tanzania Wakinga Wana ajenda gani Kariakoo?

    Wakinga wamekuwa tishio sio tu kwenye kufanya biashara kariakoo Bali tuliwazoea Kama watu ambao wapo serious na utafutaji kariakoo Lakini sasa wamegeuka kuwa hatari kwa usalama wa raia idara za usalama zinatakiwa kufatilia Iko hivi sasahivi mkinga akitaka eneo kariakoo atalichukua tu utake...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Jengo moja lateketea kwa moto Kariakoo

    Jengo la biashara linalouza magodoro lililopo eneo la Mtaa wa Nyamwezi na Kipata katika Soko la Kimataifa la Kariakoo Jijini Dar es Salaam limeteketea kwa moto Jioni hii. Chanzo cha moto huo bado hakijajulikana. Soma Pia: Kariakoo: Moto Mkubwa unawaka Msimbazi
  10. aise

    JamiiForums Tanzania Basi la Mwendokasi limeua mtu Kariakoo, Dereva Bodaboda wamshambulia Dereva wa Mwendokasi

    Habari ya mchana wakuu, niko hapa maeneo ya kariakoo kuna ajali imetokea gari ya mwendokasi iliyokuwa inaendeshwa na mwanamke imemgonga mtu na mwili kusagika hapo hapo, inasemekana huyu ni mtu wa tatu anagongwa na kufa hapo hapo na huyu mwanamke. Mwenye maelezo zaidi kuhusu huyu mwanamke...
  11. Kasri Homes Tz

    JamiiForums Tanzania House4Sale Kariakoo: 4th Floor 3 Bdrm Apartment For Sale - Dar

    • Direction: Kibambawe Street • Facilities: 3 bedrooms, 2 washrooms • Document: Sub Title • Price: TZS 130 million . ✓ inauzwa bila samani (unfurnished) ✓ Ghorofa ya 4 (hakuna lift) ✓ vyumba master 1 na kawaida 2; jiko lenye makabati; balkoni zenye grill ✓ malumalu; madirisha ya aluminium; feni...
  12. Kasri Homes Tz

    JamiiForums Tanzania House4Sale Kariakoo: 200+ Sqm New 3 Bdrm Apartments For Sale - Dar

    • Direction: Ungoni Street • Price: USD 120,000 • Terms: 50% Upfront; the rest within 3 years • VAT & Transfer not inclusive in price • Monthly Service charge: TZS 180,000 . ✓ new built (not used before) ✓ lift & power backup generator ✓ unfurnished ✓ 200+ sqm ✓ 1 master & 2 common bedrooms...
  13. Dabil

    JamiiForums Tanzania Derby ya Kariakoo ichezeshwe na Marefa kutoka nje

    Marefa toka nje wawe wanachezesha derby ya kariakoo,inashangaza marefa wa ndani kurudia makosa yale yale kubeba timu moja.  Sehemu ambayo kadi nyekundu inatakiwa haitolewi,penati zinazostahili zinaminywa kubeba timu flani. Rushwa nje nje, Chama anaingia kupiga foul aliyotengenezewa mazingira.
  14. jmushi1

    JamiiForums Tanzania KARIAKOO DERBY-VIPIGO VIKUBWA!

    Huwa nashangaa sana kukuta thread ile ya ushindi wa Yanga wa 5-1. Nimeona nianzishe hii thread niwe nawakumbusha kuhusiana na rekodi za vipigo vikubwa. Simba 1 5 Yanga Simba 5 Yanga 0 Simba 6 Yanga 0 Yanga 5 Simba 0 Hadi sasa Yanga ndo wamepokea kichapo zaidi kwenye mizani ya vipigo vikubwa.
  15. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Derby ya Kariakoo kesho, tabiri tukio gani la kisiasa litajitokeza

    Kama mnavyojua, Simba na Yanga ndio mtaji wa wanasiasa wa Tanzania. Hebu tabiri unahisi tukio gani la kisiasa lazma litajitokeza uwanjani?
  16. P

    JamiiForums Tanzania Maofisa wadai service levy tax Kariakoo acheni jeuri na kiburi, wafanyabiashara ni uti wa mgongo wa Kariakoo

    Punguzeni jazba, waelemisheni wafanyabiashara watalipa kwa upendo, kulazimisha na kutishana kumepitwa na wakati, Leo nimekuta hiyo kesi kwenye duka moja kariakoo, mdai service levy analazimisha mfanyabiashara afunge duka au alipe, wakati mfanyabiashara anaomba muda wa wiki mbili ndio alipe...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Jonas Mkude: Nikitoka kuamka Derby nacheza ya Kariakoo

    Joto la Dabi ya Kariakoo linazidi kupanda, huku mchezaji Jonas Mkude, anayejulikana kwa kucheza mechi nyingi za Dabi hiyo, amesisitiza ukubwa wa mchezo huo katika maisha yake ya soka. Mkude amesema kuwa hata akiamka asubuhi, anakuwa tayari kucheza Dabi ya Kariakoo. "Ni kama sehemu ya maisha...
  18. Miss Natafuta

    JamiiForums Tanzania Dukani kariakoo live:simu,TV,majiko,vifaa vya simu na computer.bei jumla

    Naomba mods msifute hii thread yangu Wana jukwaa kila siku nitakuwa na post simu hapa na vifaa vyake pia laptop flat TV na majiko ya gesi ukiitaji chochote nitakuletea .bei ni za jumla na bidhaa zetu ubora umezingatiwa Nauza jumla na rejareja Karibuni sana. Kwa wale wafanyabiashara nawapa bei...
  19. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Kichekesho cha hizi 2 mbeleko fc za kariakoo kushangilia droo wakati hazijawahi vuka robo fainal upuuzi mtupu

    Mjadala ni tangu jana kutoka kwa droo ya Caf , washabiki maandazi wa hizo timu mbili mbeleko fc za kariakoo wacha nizitaje utopolo na makolo. Wanashangilia eti kwa kuwatizama wapinzani wao tayari wameshapita nasema shenzi tena hawana akili hizo timu zao kupita makundi si kawaida je mmeshawahi...
  20. K

    JamiiForums Tanzania NMB Kariakoo Siku ya Huduma kwa Wateja haiwahusu

    Tawi lenu lililipo mtaa wa Livingstone Kariakoo ni tawi linalotoa huduma mbovu zaidi ya matawi yote niliyowahi kuhudumiwa. Ni mara kadhaa inanichukua hadi saa tatu kuhudumiwa huku nikiwa na kadi yenu ya Loyal customers ambayo pia nailipia. Kuna madirisha manne lkn mara nyingi kama sio zote...
Back
Top Bottom