ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,493
- 41,479
Guys leo ni weekend, tutaenda kushuhudia baadaye derby ya Kariakoo na kuona magoli ya moto 🔥
Kabla ya hiyo derby sasa, hebu tuzungumzie magoli ya kwa bed 😅
Kuna goli likifungwa unasahau kabisa kuwa mboga mboga bado wapo sana mpa ripoti ile unasahau kabisa yoooooo ni fire 🔥 😅
Ni derby gani ulikutana nayo ukasema hapa umechezwa mpira mkubwa? 😉
NB: Wanaume hakuna kiba 100, ila tu unakutana na nani 👍
Wanaume wengi hawana shida ya nguvu za kiume, shida ni kitete tu au mazingira sio mazuri.
Ni weekend yoooo… chill, relax, enjoy 😎
Kesho kazi na dawa
Kutafuta mkate👍